NAITAFUTA FURAHA YANGU 19






Story :NAITAFUTA FURAHA YANGU 


----sehemu ya 19---
         Tulipo ishia jana, Kelvin aliletwa akiwa amefugwa pingu ,adinani alimwona alishangaa na kushituka mno,aliweza kumtambua ndie aliye mwibia piki piki na kumkata shingo na msumeno na kupelekea adinani kunusurika kifo,pale pale ,nusra aliongea kwa nguvu "kaka huyu mtu ndio alimvunja mudrick mguu na kunipakia mimi kwenye gunia kisha wakatupakia kwenye piki piki ,suhaila kuitizama sura ya kelvin nae alitiririsha machozi ndie aliyehusika na kifo cha wazazi wake ,vile vile anayo picha ambae alishuhudia amewaua watu wawili kwa kuwagonga na piki piki.

Askari aliuliza wewe mtoto unamjua huyu?,nusra alijibu ndio huyu na kelvin huwa anakuja kuja kwetu kumtembelea daniel . alikuja kwetu walitukamata ,na kutufunga midomo ,miguu na mikono na ndio amevunja mguu wa kaka mudrick ,pale pale nusra alianza kulia hiiiiii hiiiiii

Askari aliandika maelezo ya nusra  ,kisha zumra alimnyamazisha nusra ,wakati huo kelvin amekodoa macho tu,adinani aliulizwa unamfahamu huyu mtu?,
Adinani aligusa kwanza shingo yake ambae kelvin aliikataga na msumeno ,kisha akamwangalia askari alimwambia " mwezi wa saba tarehe kumi niliporwa piki piki yangu , na kujeruhiwa shingoni kwa kukatwa na msumeno ,piki piki yangu no.T345 Dfp pia  niliripoti kituo cha mtongania kunduchi ndiko niliko ibiwa na huyu bwana.
Adinani alivyotaja namba ya piki piki yake ,ndipo askari nae aliongezea pia kutokea tukio la kutekwa kwa hawa watoto tuliweza kuikamata hio piki piki yako unae isemea uliibiwa ,vile vile huyu mtoto alisema huyu kelvin aliwateka na kuwafungia kwenye piki piki na ndio hio ambayo tumeikamata.

Zumra alimsogelea askari na kumwambia tulia usiendelee kumhoji ngoja tumchanganye ataje watu anae shirikiana nao wapo wapi?
Zumra alitoa vibunda vya pesa vitatu akaweka mezani na kumwambia kelvin"wataje watu unaoshirikiana nao ,ukiwataja hizo pesa milion tano unazichukua vile vile kesi yako hii nailipia na unakuwa huru.

Kelvin anatatizo akiona pesa anasahau kila kitu "alitabasamu na kusema ,nadhani ulimsikia mtoto kaeleza vizuri mimi niko nashirikiana na danieli vile vile hii kazi huwa tunapewa na juma.
Kitendo cha kelvin kutaja juma,pale pale ,suhaila aliinuka vile vile na adinani waliinuka wote wanamjua juma vizuri yaani ni mjomba wake kabisa suhaila .

Askari aliwauliza vipi mbona mnashangaa ,adinani hapo aliuliza kwa nguvu "niambie na wewe ulihusika na kifo cha wazazi wangu ,keliblvin alitabasamu huku akiangalia pesa alijibu ndio tena mimi nilikuwa dereva na niliwagonga.
Suhaila nae aliuliza "je unalikumbuka tukio la miaka kumi na saba iliyopita maeneo ya sinza mlivyovamiaga nyumba na huyo juma uliyomtaja mkamuua baba yangu ,mama na wewe ulitaka kuniua na mimi je unalikumbuka.

Kelvin alimwangalia suhaila akasema kweli hilo tukio nalikumbuka ni la kweli ila nakumbuka tuliua familia yote sasa wewe sikumbuki ulikuwaga wapi.

Kituo chote cha polisi walishangaa kumbe kelvin na wenzake wamefanya matukio makubwa polisi aliongea nami naongeza pesa unaweza kugltuonesha mahali anapatikana huyo juma ,
Kelvin akasema ndio anapatikana kinyerezi naweza kuwapeleka.

Zumra alimkonyeza polisi wafanya hivyo kisha askari mwingine alimchukua suhaila nae aeleze tukio la wazazi kuuliwa ,aliwaelezea kisha akasema nina picha ya huyu mtu aliua watu kwenye piki piki na nilipiga picha aliwaonesha .
Adinani alivyoangalia aliweza kuona namba ya piki piki ambayo baba yake alikuwa anaitumia ,alijibu "suhaila walio uliwa ni wazazi wangu na hio piki piki ilikuwa ya baba yangu.

Suhaila na adinani wakabaki kuangaliana imekuwaje wazazi wao wakauliwa na hawa watu ,zumra alimshika mkono ,nusra na kumtoa nje hadi kwenye gari alimuuliza unasikia njaa ,nusra alitikisa kichwa na kusema hapana nitaenda kula pamoja na mudrick hospitalin.

Askari walimubeba  kelvin hadi maeneo ya kinyerezi iliko nyumba ya juma ,siku hio daniel aliachwa nyumbani wakati huo juma ashaondoka kitambo ,geti linagongwa ,daniel alihisi huenda juma amerudi maana aliondoka bila gari na mara nyingi huwa anatembea bila gari.
Ile anafungua geti alishangaa bunduki tatu zimemnyoshea na kuambiwa ajisalimishe laa sivyo anauliwa.
Danile alitizama difenda ya polisi alishangaa kumwona kelvin akiwa ametabasamu ,daniel akajua hapa tayari kelvin ameoneshwa pesa maana huo ndio ugonjwa wake.
Ukimwonesha pesa anakutajia siri zote lakin bila pesa unaweza ukamuua kabisa hasemi hata kidogo.

Askari walisachi nyumba  ya juma hawakumkuta mtu ndipo walimuuliza daniel ,juma yuko wapi?,danie alikuwa mbishi mno alijibu kwa jeuri simjui huyo juma leo ndio kwanza analisikia hilo jina.
Askari mmoja alimpiga kelvini mdomoni na kitako cha bunduki ,paaaaah ,danile alikodoa macho alipofungua mdomo meno nane hamna hata moja yote yaling'ooka damu huku lipsi zikaanza kuvimba baada ya kupigwa.

Askari mwingine alimwambia "unamwona huyu mwenzako ee ,kaeleza kila kitu na wala hatujamgusa ,tutajie juma yuko wapi.
Danile na pengo lake huku likivuja damu alijibu kwa jeuri simjui juma na wala siqjawahi kumsikia.

Gari iliwashwa hadi kituoni ndipo waliwakuta akina adinani na nusra wapo ,kitendo cha daniel kushushwa kenye gari ,nusra alisema daniel kwanini ulinifunga mikono yangu.danil alivyoona vile akajua kweli hamna namna ila akajitia kichwa maji alisema sisemi juma aliko

Suhaila alivyomtizama danile alikumbuka tukio la miaka kumi na saba ,danile nae alikuwepo tena daniel ndiye aliye muua mama yake .suhaila aliendelea kukumbuka wakati amewekewa kisu shingoni na kelvin ,basi danile alimsogelea mama yake kabla hawajampiga risasi ya kichwa ,alimchania gauni  mama yake ,kisha alikamata ziwa la mama yake akalipasua kati kati.
Huku akiuliza mama wewe lazima tumuue sema pesa mmeweka wapi?,mama alilia huku amechaniwa gauni lake na  kifua kipo wazi ,ziwa lilichanwa na damu kumwagika kama maji .wakati huo wamemziba mama mdomo na vitambara

Ha ha ha daniel alicheka na kuuliza ",kumbe maziwa ya wanawake hayana maziwa ee mie najua ukichana maziwa yanatoka kumbe damu .daniel aliendelea kufanya ukatili alishika kisu na kukamata ziwa la mama lingine nalo alipasaua  kisha akasema ,hapa huwezi ukawa hai sema tu pesa ziliko.
Mama akiwa hoi damu zinamwagika kwenye maziwa baada ya maziwa kupasuliwa aliomba afunikwe macho asiweze kumwona mtoto wake aliyoko mbele yake ashuhudie jinsi mnavyoniua nifunikeni macho nimesema .

Daniel alicheka kwa dharau na kusema ,"sio kufunika macho tu mama hata macho tuna yafanyaga hivi ,ukitaka usione tena ee ,danile alitoa bisi bisi na kumtoboa mama yake suhaila macho. alivyomaliza kuna mtu alimpiga mama risasi ya utosini pale pale mama alipoteza maisha.

Suhaila alivyomwona daniel hasira zilioanda ,alipiga sarakasi kisha alipaa alimtandika mateke mawili yaadabu alimpiga sehemu za siri kisha akampiga kwenye jicho ,yaani jicho la danile likapasuka paaaaaaa.
Suhaila alijizungusha na kusimama ,nusra alisema wao anti kumbe unajua kuruka na kupiga kama kwenye video.nusra akapiga makofi .
Polisi wenyewe walishangaa ndipo waliamuru hata suhaila akamatwe ili asijejitengenezea kesi ya mauaji,zumra anamjua vizuri suhaila akikasirika kwa uwezo wake aliokua nao anaweza kuwapiga askari wote .aliwahi na kumkamata suhaila akamuuliza nini unataka kufanya.

Suhaila alikaa chini na kulia huku akisema huyu mtu ,ndio alihusika kumuua mama yake na alimfanyia unyama na alivyomwona ameshidwa kujizuia hivyo aliomba kwa polisi ni hasira tu.

Adinani alimtizama danile ambae ametapakaa damu mwili mzima,hana meno yote yameng'olewa ,jicho limepigwa teke na kupasuka kabisa ,halafu sehemu za siri alikopigwa ,daniel hata kutembea hakuweza.
Alimtizama adinani kwa umakini na jicho lake moja,akakumbuka vitu vingi mno,ameuza vitu vya wazazi wake tena kwa kuviiba,tv ,kabati na godoro,alichoma duka la baba yake .
Daniele alipelekwa sero huku anahali mbaya ,alijisemea moyoni ,
Ukitenda ubaya ,zawadi yake ni umauti tu.hata nikikataa hii kesi pia ninakesi nyingine
Danieli akiwa amechoka alikaa sero kama gunia huku akiehema.

Waliwekwa sero ndipo adinani na akina zumra waliruhusiwa kuondoka watarudi siku nyingine ,basi kituo cha polisi ,kelvin huwa anaugonjwa wa kifafa ,basi alipiga kelele aaaaaaaaaaah 
Kisha akaambaa kwenda chini sehemu ambayo anaenda kudondoka ,kulikuwa na nondo yenye icha kali na ilikuwa ipo mlangoni

Kelvin alishuka na kujikuta anaipiga hedi ile dondo yenye icha kali,ilimtoboa kuwenye utosi kisha ikatokeza upande wa pili kisogoni.askari wote waligeuka kwa mshangao

JE NINI KITAENDELEA?


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: