SIMULIZI : RAHMA 05
.
Hadithi ____ RAHMA
Mtunzi ____Ruvuly De finisher
👉NAMBA 05
Tunaendelea ......
Fatuma alipowangalia walioingia akastuka mno akasema #SULEYMAN !!!!!!!!!!!! . Fatuma akasimama akachomoa ile sindano iliyokuwa mkononi mwake kwa hasira kisha akasogea sehemu aliyokuwepo kaka yake na yule dereva akamshika shati kwa nguvu , Fatuma baada ya kumshika suleyman alianza kutamka maneno hayo :-
**Suleyman , suleyman leo sikuachi bora nife Mimi au ufe wewe huwezi kunifanyia ujinga ulionifanyia , Umeniharibia maisha yangu , ukanifanya niwe katili kwa mtoto wangu nakuua leo siwezi kukuacha*
Yule dereva alikuwa bado yupo anashangaa kwa kilichokuwa kinatokea mbele yake , Vurugu ikiwa inaendelea hapo hospitali Mdogo wake suleyman (Dereva) alimshika Fatuma , suleyman alipoona juma (Dereva) amemshika Fatuma alijitoa katika mikono ya Fatuma akakimbia nje na kutoweka hapo hospital , Baada ya juma kumshika Fatuma kwa muda mrefu fatuma alikuwa analia sana , juma alijitahidi sana kumtuliza Fatuma. Fatuma alilia kwa uchungu kilio kilikuwa kikubwa sana sauti ya majonzi toka kwa fatuma ilisambaa eneo kubwa ndani ya hospital ile hali iliyosababisha madaktari waje katika wodi hiyo na kumtuliza fatuma ,Juma aliondoka ndani ya wodi hiyo akaenda kwa daktari mkuu akaomba ruhusu, Kwakua hali ya fatuma haikuwa mbaya sana juma alikubaliwa na kupewa ruhusa, Fatuma alipofika nje ya hospital hakutambua sehemu ya kwenda juma akamuuliza :-
"" Unaishi wapi dada yangu nahitaji nikupeleke kwako kwa sababu bado haupo vizuri kiafya .
"" Mmh ukweli kwa hapa mjini sina sehemu ya kwenda kaka yangu nashukuru kwa msaada wako usijali nitapambana mwenyewe hapa hapa .
"" Hapana naomba twende nyumbani kwetu tafadhali kama hautajali .
Fatuma alipatwa na wasiwasi kidogo kwa sababu alikuwa hamfaham juma amekutana nae hospital tu baada ya kumgonga na gari lakini kwakua alikuwa hana sehemu ya kwenda ilibidi akubaki kuongozana na juma.
Walipofika nyumbani juma alimkaribisha fatuma ndani , Fatuma aliingia ndani sebuleni akakaa kwenye kiti akiwa na mawazo mazito na huzuni iliyotawala uso na akili yake , juma alifungua friji akachukua maji pamoja na machungwa , akafuatia kisu jikoni akampatia fatuma. Juma alitamani kujua kilicho nyuma ya pazia ikabidi amuulize fatuma :-
"" Samahani dada yangu suleyman unamfahamu ? namanisha yule kijana niliyekuja nae hospital .
"" Ndio namfahamu vizuri sana alichonifanyia hakika siwezi kumsahau katika maisha yangu, Daaaah siwezi kumsahau kijana yule kaka siwezi mimi 😭
"" Kwanini unasema hivyo dada yangu ?
"" Ni stori ndefu kaka lakini itabidi nikueleze japo inaniuma sana .
Jina langu naitwa fatuma nimezaliwa kijiji jirani hapo kinaitwa #Bitale Nilikuwa naishi na mama yangu tu na mama yangu alikuwa anaumwa ugonjwa wa presha . Nilisoma mpaka kidato cha nne sikufanikiwa kuendelea mbele zaidi kutokana na kutokupata alama zilizohitajika. Baada ya kufeli shule nilikuwa binti wa nyumbani nikaanza kuuza biashara ndogondogo za matunda ili kujipatia pesa kwa ajiki ya chakuka na vitu vingine pale nyumbani kwetu. Siku moja nikiwa katika biashara zangu nilikutana na suleyman nilikuwa hata simjui kabisa , suleyman alinitamkia kwamba ananipenda Mimi nikamkataa kwakua sikuhitaji mvulana wala kujiingiza katika mahusiano na nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi na mtu yeyote. Suleyman alinisumbua mno lakini bado sikuweza kukubali alichokuwa anahitaji kwangu. Nakumbuka Siku moja nikiwa narudi nyumbani siku hiyo nilichelewa sana nilirudi majira ya saa moja na nusu jioni, nikiwa njiani nilihisi kitu kizito kimenigonga kichwani Nilipata maumivu makali nikadondoka chini. Nilikuja kujitambua baada ya kusikia sauti za watu karibu yangu nilipofumbua macho nilikaa chini kichwa kikiwa kinaniuma zaidi lakini cha ajabu maumivu hayakuwa kinywani pekee nilijikuta naumia sana sehemu zangu za siri mbele yangu nilimuona suleyman akiogopa akarudi nyuma akiwa ananiangalia kisha akakimbia, Yaani kaka yangu sikuamini kama suleymani anaweza kunibaka mimi daaaah..
Wakati fatuma anasimulia yote hayo suleyman alikuwa anayasikia , Suleyman alijitokeza akiwa amepiga magoti akimuomba msamaha fatuma, Fatuma alisimama akachukua kisu kilichokuwa juu ya meza akamsogelea suleyman akamwangalia kwa hasira kisha.....
___________ITAENDELEA___________
#SHARE ili na mwingine ajifunze kitu kama wewe unavyojifunza ahsante.

🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: