UTAMU WA BINAMU 64




SEH.64  Basi nikamaliza na kwa kuwa nilihiis njaa nilienda jikoni nikamkuta baeki tatu akiandaa breakfast nilimwambia ainiibie kidogo uji maalumu kwa ajili ya mjomba maaana anakuwaga na vidonda vya tumbo hivyo vyakula vayke huwa ni special na vinawahi kupikwa.Beki tatu hakukataa alinipa na kupooza njaa.Aliniuliza vipi mbona siku hiyo nilikuwa na huzuni sana na sura ya kukataa tamaa tofauti na siku zingine.Lakini nilimjibu tu kwa kifupi kuwa siku hazilingani
.Baadaye mjomba na mkwe waliamka na nilishngaa maana siku hiyo waliwahi kuamka tofauti na siku zingine.Walinita na kunieleza jambo. “Uncle mimi nitaondoka jioni ila nataka umsindikize shangazi yako mjini umsaidie kufanya shoping alafu kuna namba hizi huyu bwana mtampigia kisha umpelekee CV zako amenambia kuna kazi nono yenye mshaahra mzuri imejitokeza.Kusikia kazi nilifarijika kidogo maana kiukweli mimi nisingeendelea kukaa hapo hata kama wangenilipa pesa nyingi kiasi gani.
Basi niliingia bafuni kuoga na kujiandaa tayari kwa safari ya kwenda mjini na mama mjomba ua shangazi kama wengine mnavyopenda kumwita.Kwa kuwa mimi tayari nilishajifunza kuendesha gari na nilishakatiwa leseni basi mama mjomba alinikabidhi funguo.Tulipotoka hatua chache tu mama mjomba aliniomba nisimashe gari na kuniambaa nirudi kinyume nyume kuna kitu amekisahau.Nilifanya kama nilivyoagizwa basi akashuka na kabla hajashuka kuna kidude kipo kama kamera alijaribu kukiweka kwenye gari na kukiseti alafua akakichomoa na kukiweka kwenye tablet yake.Sikujua nii kinini lakini ni kwamba kinauwezo wa kurekodi maan alivyokichomeka kwenye tablet kilituonesha sisi kama tulivyo na kila kitu humo kwenye gari.
****ITAENDELEA***


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: