UTAMU WA JIRANI 08
UTAMU WA JIRAN
SEHEMU YA 8
Ilipoishia….”inabidi umbebe na kumpeleka chumbani kwake”….endelea…………
“Mimi naenda nje kuangalia usalama ukisikia nimeanza kuimba ule mwimbo wa mwanzo mtoe haraka”
Mama menyenyumba aliniambia vile kisha akaanza kuuelekea mlango wangu na kutoka nje huku akitoa tabasamu la aina yake”
baada ya mama mwenyenyumba kutoka nje sikutaka kulaza damu nikanyanyuka na kwenda kumbeba witi pale kitandani kisha nikakaa nae pale mlango tayari kusikiliza ishara ya mamamwenyenyumba”
mda ulizidi kusonga bila kuonenakana ishara yoyote ya mama mwenyenyumba hofu ya kuhisi mama mwenyenyumba amenisaliti iliniteka kwa mda huo japo sikutaka kabisa kuamini mawazo ya mama mwenyenyumba amenisaliti,
“mmmmh mbona anakawia huyu mama au anataka kuniaibisha nilijiuliza pasipo kupata majibu sahihi ya maswali yangu”,
nikiwa bado nipo pale mlangoni nikifikilia nitoke huku nikijisemea moyoni lolote litakalotaka kutokea litokee mara sauti ya nyimbo ile aliyonifahamisha kama ishara ikaanza kupenya masikioni mwangu na kujikuta nikitoa tabasamu pana,
sikutaka kuchelewa nikatoa kichwa changu nje taratibu na kuchungulia nje macho yangu yalishuhudia kumuona mama mwenyenyumba akinipa ishara ya mkono kuwa nifanye haraka kumpeleka witi nami nikatii kwa kutikisa kichwa kisha nikarudi ndani na kumbeba witi ambae nilimlaza kwenye kochi moja la chumbani kwangu wakati huo nilikwisha mvalisha nguo zake na mimi nikivaa pens yangu na vest nyeusi
nilimbeba witi kama mtoto kisha nikaanza kumtoa pale chumbani kwangu kwa harakaharaka hadi chumbani kwake na kumlaza kitandani kwake kisha nikatoka na kwenda chumbani kwangu kwa mwendo wa harakaharaka
huku nikimshuhudia mama mwenyenyumba akinikazia macho yenye ujumbe wa nifanye haraka kuingia chumbani kwangu,
niliingia chumbani kwangu kisha nikajibanza mlangoni kwangu kushuhudia kama witi atanyanyuka au laah kwani wakati nilipokuwa nimembeba alikuwa amefumbua macho na kuniangalia kwa shida”
nikiwa bado nipo pale mlangoni nachungulia chumbani kwa witi kama atatoka nilimshuhudia mama mwenyenyumba akiiweka ndoo yake ya kudekia karibu kabisa na mlango wa witi kisha akaangaza macho yake kama kuna anaemuona au kama kuna mpangaji anatoka nje mda huo” alipohakikisha hakuna mtu aliyekuwa anamuona wala mpangaji aliyekuwa anatoka mda huo harakaharaka akajitoma chumbani kwa witi ”
niliendelea kukaa pale mlangoni kwa muda huku nikiangaza macho yangu kwenye milango ya majirani wenzangu kwani mda huo nilihisi huenda witi atakuwa amezidiwa ndio maana mama mwenyenyumba amechelewa kutoka”
msemo wa subira yavuta heri haukuwa na maana kwangu mda kwani nilihisi labda kutakuwa na tatizo lingine limetokea,
yani kama atakuwa mzima sifanyi tena mapenzi mpaka ninapopata kuoa”nilijikuta nikijiapiza moyoni mwangu na kuchukia kufanya mapenzi japo kwa mda huo nilishaanza kunogewa kufanya mapenzi na kusahau kuwa nimeshaionja asali ni vigumu kuacha kwani utamu umeshanoga,
mawazo lukuki yalikitawala kichwa changu kwa mda huo kwani mama mwenye nyumba alizidi kukawia chumbani kwa witi huku ukimya ukizidi sana chumbani mle,
nilihisi kuishiwa nguvu kila sekunde iliyotengeneza dakika hatimae lisali moja likatimia bila mama mwenyenyumba wala witi kutoka nje huku mda ukizidi kuyoyoma,
mapigo ya moyo yalianza kupungua pale nilipomuona mama mwenyenyumba akitoka huku akiwa ameshika ndoo ndogo ya maji na mswaki, macho yangu hayakuishia hapo yakatua kwa witi ambae alionekana kuchoka na mwili wake kutawaliwa na uchovu mkubwa uliojidhihirisha machoni mwangu,
hapo furaha ilinijia kwa kumuona witi akiwa mzima huku shukurani nyingi zikienda kwa mamamwenyenyumaa japo sikujua lengo la msaada wake kwa wakati huo,
kwa uchovu mkubwa niliokuwa nao mda huo kutokana na ile hali ya kujokulala usiku kuchwa nikajikuta nikipitiwa usingizi mzito ambao sikuwai kuupata hapo kabla,
muito wa simu uliendelea kusikika masikioni mwangu japo kwa mbali kiasi
taratibu nikajivuta hadi mezani kiuvivu huku nikijikohoza kusafisha koo langu kisha nikaipokea simu ile na kuipeleka sikioni mwangu bila shuruti,
“hallow babe nipo mtaani kwenu hapa nimekuletea zawadi na natarajia nawe utanipa zawadi zaidi ya ile ya jana”
aliongea manager kwa madaa huku akijichekeshachekesha simuni,.Nilikaa kimya kwa mda huku nikifikilia cha kufanya mda huo kwani maneno yale ya manager kuniambia yupo karibu maeneo ninayokaa yalinikata maini na kujikuta nisijue cha kufanya kwa mda huo,
“hallow babe mbona kimya au hautaki nije kwako”,
aliongea manager na kunifanya nitoke katika hali ile ya mawazo iliyoniteka kwa mda huo,
“umeniambi upo sehemu gani, nilimuuliza ”
“nipo hapa wanapaita kifua wazi sijui”,
alinijibu huku akideka simuni,
“aaah poa nakuja”, nilimjibu huku nikifata shati yangu na kuivaa,haikuchukua mda nikawa njiani kuelekea kifua wazi ambapo hapakuwa mbali sana na ninapokaa,
wakati nipo njiani naelekea sehemu ambapo manager yupo mawazo kadhaa yakaanza kunijia akilini endapo manager angeng’ang’ania kupajua ninapo kaa ningemjibu vipi,
nikiwa bado nipokwenye lile lindi la mawazo mara simu ikaanza kuita mpigaji ni yeye manager harakaharaka nikaipokea ile simu kisha nikabonyeza kitufe cha kupokelea na kuiweka sikioni ile simu,…Usikose sehemu ijayo
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: