UTAMU WA JIRANI 09
UTAMU WA JIRAN
SEHEMU YA 9
nikiwa bado nipokwenye lile lindi la mawazo mara simu ikaanza kuita mpigaji ni yeye manager harakaharaka nikaipokea ile simu kisha nikabonyeza kitufe cha kupokelea na kuiweka sikioni ile simu, Tiririka nayo…
“babe nimechoka mimi naondoka”, ilikuwa sauti ya manager iliyokuwa kwenye mahadhi ya kulalama ikipenya masikioni mwangu hali iliyosabibisha mwili wangu kuongeza spidi kuwahi bila kutaraji,
“upo wapi babe”, nilimuuliza manager baada ya kufika mahala pale bila kumkuta
“nimeshaondoka wewe si umechelewa”
“aaah poa ila siku nyingine usiludie kufanya hivyo”, nilimwambia kwa sauti ya kukaripia kidogo
“teh teh teh teh”
“umeamua kunicheka sindio”, nilihoji kwa hasira za kuigiza elhali moyoni nilihisi maombi yangu yamesaidia kwani sikuwa na mpango wa kuonananae
“hamna nilikuwa nakudanganya kwani hujui kama leo sikukuu ya wajinga”, alinijibu manager huku akiendelea kucheka na alipoona kicheko kimemzidi nikakata simu
“kweli mimi ni mjinga” nilianza kujikosoa mwenyewe huku nikiludi nyumbani kwa mwendo wa taratibu
njaa kali iliyonipata nikiwa bado njiani naelekea nyumbani ndiyo iliyonikumbukusha kuwa sikuwa nimetia chochote tangu asubuhi hivyo nikaanza kutembea harakaharaka ili nikachukue pesa niwai mgahawani kabla chakula hakijaisha”
hatua za haraka nilizopiga ziliendelea kurahisisha safari kwa mda huo na kwakuwa nilikuwa na namba za yule dada muuza chakula nikamuagiza aniwekee chakula kwani nilihisi kama ningeenda nyumbani nakurudi basi ningekosa chakula mchana huo kwani yule dada alikuwa maarufu sana kwa chakula chake kitamu hali iliyopelekea hadi wanawake wenzie wamchukie kwa chakula chake na sababu kubwa iliyomfanya achukiwe na wanawake wenzie ni chakula chake kilivyo wapagawisha hadi wanaume kadhaa walio kuwa wameoa kwa kukimbilia chakula kile cha kwa mama mery mtanga kama alivyozoeleka mtaani pale”
niliendelea kupiga tambo za uhakika zaidi,haikuchukua mda mrefu nikawa nimefika chumbani kwangu lakini nilishangazwa na hali niliyoikuta chumbani kwangu kwani nilikuta sahani ya udongo ikiwa juu ya bakuli ambayo sikujua inanini ndani yake huku pembeni kukiwa na maji ya baridi yaliyowekwa kwenye jug na kufunikwa kwa juu ili kutunza ubaridi ule wa maji”
maswali kadhaa yakazunguka akilini mwangu juu ya kupata jibu nani aliyeleta chakula chumbani mwangu nilikampigia simu witi kama aliingia kwangu ila alikataa hali iliyoendelea kujaza mtafaluku wa mawazo kichwani mwangu”
mmh sasa ninani nilijiuliza bila kupata jibu na kujikuta nikikaa kwenye kochi huku mawazo yakinipeleka mbali kuwa yawezekana ni jini aliyefanya yale yote kwani hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya witi aliyeweza kuingia ndani na kama witi mbona amekataa au nae kaniona mjinga kama manager nilijiuliza na kujikuta nikitoa tabasamu lisilo nipa majibu sahihi”
nikiwa bado nipo pale kwenye kochi nikiwaza mara mlango wangu ukafunguliwa na mama mwenyenyumba akajitoma ndani bila uoga huku usoni mwake akitoa tabasamu la haja
“umeshiba?”, aliniuliza baada ya kuniona nimebaki nikiduwaa
mamamwenyenyumba alipitiliza hadi katika sahani na kufunua ile ya juu kisha akaitoa juu ya ile bakuli na kukuta mapaja mawili ya kuku yaliyonona yakiniangalia huku yakionekana kunivutia
“karibu tule baba chanja” aliongea mama yule kwa sauti ya puani yenye kubembeleza iliyonitoa katika mawazo yale
“hiki chakula umeleta wewe”
“ndio mmewangu”alinijibu huku akilegeza macho yake
“mbona huku nitaarifu”nilihoji
“bwana mbona maswali mengi wewe njoo ule baba watoto”, aliongea mama yule ambae alionekana mkubwa kiasi kwangu kwa sauti ya puani”
baada ya kuniona nimekaa bila kufanya lolote mama yule asiye na haya akaanza kuninawisha na alipomaliza akaanza kunilisha hadi pale chakula kilipoisha
“ahsante mama kwa kunijali mpangaji wako nahisi unataka kupandisha kodi kama unatoa hadi huduma ya chakula tena kwa kumlisha mpangaji” nilimwambia mama mwenye nyumba kwa sauti ya utani,
“usijali handsome boy” alinijibu huku akinisifia na kuanza kuvua nguo yake ya juu akisingizia joto kaki hali iliyoletamtafaruku ndani ya boxer yangu..
Je, nini kitatokea? usikose sehemu itayofata
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: