UTAMU WA JIRANI 13






                  SEHEMU YA  13

               

endelea……..niliingia chumbani kisha nikaweka lile kopo mahala pake kisha nikatoka kuelekea mgahawani
hatua za harakaharaka nikazidi kuzipiga kwani nilijua kama nitachelewa supu bhasi siku haitakuwa sawa kwa upande kutokana na kupoteza mafuta kwa kiasi kikubwa kwa vitendo nilivyokuwa nafanya kwa siku kadhaa zilizopita
supu ipo?”nilimuuliza mmoja wa wahudumu wa mgahawa ule huku macho yangu yakiangaza huku na kule kutafuta sehemu ya kukaa kwani kwa mda huo watu wengi walijazana pale mgahawani
katika hali ya kuangaza huku na kule mgahawani pale macho yangu yakatua kwenye meza moja ambayo kulikuwa na msichana akinywa supu taratibu huku maramojamoja akiwa anajibu msg zilizokuwa zinaingia kwenye simu yake
“ngoja nikakae pale” nilijiapiza kimoyomoyo kisha nikaanza kuhesabu hatua ambazo hazikuwa jasiri hadi pale mezani
“mmmh mmmh” nilijikohoza huku nikimwangalia yule dada kama atanyanyua sura yake kuniangalia kwani mda wote alikuwa ameinama
“za asubuhi dada”  nilimuongelesha yule dada lakini hakuongea chochote mawazo yakanipelekea nifikili kuwa yule dada anaweza kuwa kiziwi kwa jinsi alivyokuwa ameuchuna
“supu hii hapa na chapati zako hizi zishike vizuri maana za moto”  aliongea muhudumu wa mgahawa ule lakini sikumjibu zaidi nilikuwa namuangalia yule msichana kwa jicho la wizi japo yeye hakuwa na mawazo na mimi
“dada nakusalimia”  niliongea kwa nguvu kiasi hali iliyofanya baadhi ya wateja walio kuwa karibu na meza niliyokuwapo wageuke na kuniangalia kujua nini kilichokuwa kinaendelea pale mezani
“pouwa”  alijibu kwa dharau huku sehemu ya juu ya mdomo wake akiibetua kisha akarudisha sura yake kwenye ile supu
baadhi ya wateja walioona lile tukio la mimi kudharauliwa na yule msichana walicheka kichinichini huku wengine wakininyooshea vidole
nilijisikia aibu sana kujibiwa kwa dharau na yule msichana nilijiona kama amenivua nguo mbele za watu sikutaka kuendelea kukaa tena na yule msichana kwani nilijua ningeendelea kukaa pale bhasi siku yangu ingeharibika nikanyanyuka na kuelekea kwa yule dada aliyenihudumia
supu ambapo nilimkuta akisukuma chapati
“mmh vipi umeshamaliza”  aliongea dada yule punde tu aliponiona nimesimama mbele yake
“hamna ni…”  kabla sijamalizia sentensi ile yule dada niliyemuacha pale mezani naye akaja huku akiwa ameshika noti ya elfu tano mkononi
“supu yako ni nzuri”  aliongea kwa madaha yule dada huku akitoa ile pesa na kumpa yule dada muhudumu wa mgahawani
“ahsante ila tangu juzi nakuona hapa mgahawani umekuwa mteja wangu sasa”  aliongea yule dada aliyekuwa anauza chakula huku akiludisha chenchi kwa dada yule
wakati yote yanaendelea nilikuwa nimekaa kimya nikimwangalia yule dada
zile hasira nilizokuwa nazo zikayeyuka ghafla baada ya kuona tabasamu lililoleta vishimo kwenye mashavu yake maharufu kama vidimpo
“mtoto mzuri sana huyu itakuwa ni kosa la jinai kama nikimkosa”  niliongea mwenyewe kwa sauti ya chini huku nikitoa kitabasamu cha haja
“mbona unacheka mwenzetu” aliongea yule dada huku akiniangalia usoni mwangu nilijikuta nikikosa kujiamini baada ya macho yangu yalipogongana na macho ya yule msichana
“hamna” nilimjibu huku nikiangalia chini
“sasa dada baadae bhasi”  nilimuaga yule dada anayeuza chakula kisha nikaanza kupiga hatua chache kuondoka pale mgahawani
mawazo juu ya yule msichana yakaanza kuniteka akili yangu kwa mda huo
piiiipiiii ilisikika sauti ya pikipiki ikipiga honi kwa nguvu kuelekea maeneo yale niliyokuwepo
nilipiga hatua kadhaa za haraka kisha nikaruka mbele bila kuangalia ile pikipiki iliyokuwa inapiga honi kwa pupa
“mamamzazi” ilisikika sauti ya mtu nyuma yangu sauti ile ilinifanya nigeuke kwani haikuwa ngeni masikioni mwangu
“mmmh, mungu wangu”  niliguna kwa mshangao punde nilipogeuka na kumuona muhanga wa ajali ile alikuwa ni yule dada niliyekutana nae mgahawani…
harakaharaka nikageuka na kuelekea pale pikipiki ilipokuwa imepiga mweleka kisha nikainyanyua kwa nguvu ilikumtoa yule dada ambae alikuwa amelaliwa na pikipiki
inamaana huyu dada ndiye aliyekuwa anaendesha pikipiki nilijiuliza mwenyewe bila kupata jibu sahihi
“umeumia?” nilimuuliza kwa haraka baada ya kufanikiwa kuitoa ile pikipiki
“hapana” alinijibu huku akitikisa kichwa chake
“mmh ulikuwa unaendesha mwenyewe” nilimuuliza kwa pupa hali iliyomfanya aniangalie usoni kisha akatoa kitabasamu ambacho sikujua kilikuwa kinamaana gani
“nitoe naumia” ndiyo kauli iliyonitoa katika lindi lile la mawazo harakaharaka nikamnyanyua yule dada na kumuweka pembeni huku mguu wake mmoja akiwa anachechemea
“umeumia sana”  nilimuuliza kwa kudadisi huku nikimuangalia mguuni mwake na mkono wangu mwingine ukimpapasa
hakika aliumbika maana aliponyanyua gauni lake kuangalia sehemu ile aliyoumia nilibaki nimeduwaa sikutaka kupitisha mawazo ya kuamini kama lile lilikuwa paja la mwanamke tena yupo hapo karibu yangu mawazo yangu yaliluka mile kadhaa kutokea pale tulipokuwa tumesimama
“mbona unashangaa”  aliongea yule dada baada ya kuniona nimekodolea paja lake leupe lisilokuwa hata na chembe ya doa
“hamna”  nilimjibu huku nikitoa macho yangu yaliyoshangaa paja la mwanamke yule
“ahsante kwa moyo wako”  aliongea yule dada huku akipungia mkono bajaji kuashira alitaka kuondoka mahala pale
watu wengi waliokuwa mahala pale walikuwa wanazungumzia juu ya ajali ile iliyotokea punde
dakika chache baada ya kuiita bajaji ilifika mahala pale kisha akajitoma ndani na akaondoka mahala pale huku akiutoa mkono wake nje akinipungia
”namba ya simu”  ni wazo lililonijia kichwani mwangu kwa mda huo nilijikuta nikijilaumu kutokuchukua namba kwa msichana yule nisiyejua wapi alipokuwa anakaa
nilijiona mpumbavu sana kwa kumuachia msichana yule aondoke bila kupata namba yake
taratibu nikaanza kupiga hatua kuelekea chumbani huku nikiwa na mawazo kadhaa juu ya msichana yule ambae sikujua anaitwa nani kwani endapo ningelijua jina lake na sura yake naifahamu bhasi ningeingia facebook na kumtafuta
nilianzakupiga hatua zisizokuwa na uhakika uku mara kwa mara nilikuwa nikigeuka nyuma kuangalia labda yule mwanamke anaweza kurudi mahala pale kwani nilitamani sana kupata namba yake kwa mda huo kwa mara nyingine nikaanza kujiona mpumbavu kwa kukosa namba za mtoto yule asiyeisha sifa kedekede mawazoni kwani nilimuona kama malaikaú
“d….” ilisikika sauti ya kike ikiniita kwa nyuma …..itaendelea



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: