BIBI HARUSI MTARAJIWA MALAIKA SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA SEHEMU YA SITA : huku Martin akionyesha mwenye wasiwasi sana, akauliza kama Malaika yupo ndani, akajibiwa hakuna mtu mwingine pale nyumbani, zaidi ya mama yake Malaika, hapo Martin akachekecha akili, akaona endapo ataingia ndani, atamwambia nini yule mama, akapata wazo kuwa atoke hapo nyumbanni kwa kina Malaika, akakae mashujaa bar, iliyopo njiani, ni mtaa wapili tu! toka mtaa wa wakina Malaika, ili akimwona Malaika anapita, amuwai aongee naye, ikiwezekana ampigie magoti kabisa ili amsamehe, Basi Martin akatoka, na kuelekea Mashujaa bar, hapo akatege mingo yake ENDELEA ........
huku akishushia pombe, macho barabarani akitazama magari yanayo pita, ***** Ilikuwa saa sita na nusu, mda ambao Edgar na Malaika waliposimamisha gari, nje ya nyumba moja kubwa wastani, iliyozungukwa na miti mingi ya matunda ya kila aina, na mazao mengine mengi “waooo! kumbe kuna matunda, naweza kuchuma machenza?” aliongea Malaika huku akizima gari na kushuka, hapo moja kwa moja akaelekea kwenye miti ya matunda, akimwacha Edgar akishuka taratibu kwenye Gari, nakuanza kumfwata kwa nyuma, “haaa! kumbe kuna matunda mengi hivi” Malaika aliduwaa baada yakukaribia eneo la nyuma ya nyumba hiyo, aliona aina nyingi za matunda, vyakula na mboga, Malaika akavua koti lake la suit, na kumkabidhi Edgar amshikie, iliaweze kuchuma machenza, Edgar alipoke koti toka kwa Malaika, huku macho yake yakiganda kifuani, kwa yule binti mrembo, Malaika alikuwa anajaribu kurukia chenza moja aliloliona lipo chini chini kidogo, lakini akuweza kulifikia, akajaribu tena na tena, akuweza kufikia, zaidi alizidi kumchanganya Edgar, maana kila Malaika alipo ruka na kutua, msambwanda wake pamoja na maziwa yake makubwa yaliyo simama na kujaa vyema ifuani kwake, vilitikisika kwa fujo, hapo Edgar akaona kama atomsaidia mwanamke huyu, anaweza kuingia majaribuni, dakikachache zijazo, napengine kumbaka binti wawatu, Edgar akasogea karibu na pale alipo simama Malaika, kiasi cha kumgusa mgongoni kwa kifua chake, kitendo kilicho msisimua sana Malaika, maana akuwai kuwa katika ukaribu kama huo na mwaname yoyote, hapo mwanzo, Malaika akageuza shingo na kumtazama Edgar ambae alianza kumtilia mashaka, akawona akimwonyesha ishara ya kusogea pembeni, Malaika akafanya vile huku ana jichekesha, kisha aka mwona Edgar akinyoosha mkono wake juu na kuruka kidogo, akalichuma lile chenza, akamkabidhi Malaika, “santeeeee” alisema Malaika akiachia tabasamu mwololo, na bila kuchelwa, akalimenya nakuanza kulila, huku akipepesa macho huku na kule, kuangalia mandhari ya kupendeza ya sehemu ile, huku wakitembe taratibu kuzunguka mleshambani, huku wakichuma tunda ili na lalile, “si uchume ya kutosha ili uwapelekee nyumbani,” alisema Edgar ambae alikuwa anatembe sambamba na Malaika, “nitachuma wakati wa kuondoka” aliongea Malaika huku akionekana kuvutiwa na mdhari yapale, kauli ile ya Malaika ili mfanya Edgar agundue kuwa Malaika alikuwa na mpango wakukaa sana pale kwake, basi wawili awa walizunguka mle shambani, huku wakiongea mambo mengi sana, mpaka wakajikuta wakizoweana kwa muda mfupi sana, nakuwa kama watu waliofahamiana tangu utotoni, wakafiakia hatua yakufanyiana mizaha midogo midogo yakupendeza, kama Malaika alipo mnyang’anya pera wakati Edgar alipo kuwa anataka kulipeleka mdomoni, pia Malaika mala nyingi alionekana kumpiga piga vingumi vya mgongoni Edgar waati akiongea au kucheka, akika kwamda mfupi waliokuwa pamoja walijikuta wakisahau masahibu yao,
Ilishatimia saa saba mchana, walikuwa wamesha tumia saa limoja toka wafike pale kwakina Edgar, “kaka Edgar, kwani hapa anakupikiaga nani?” aliuliza Malaika, huku akijiegemeza kwenye bega la Edgar, “napika mwenyewe, vipi una taka kuonja mapishi yangu” alisema Edgar kwasauti nzito ya utulivu, huku akisikilizia arufu ya manukato mazuri aliyojipaka Malaika, “ndiyo, nenda kanipikie, mimi najisia njaa bwana” aliongea Malaika kwa sauti ya kujidekeza, iliyomaananisha kama vile anaongea na mpenzi wake wa siku nyingi, na kwa jinsi walivyo kuwa wame kaa, kwa kukaribiana kabisa, huku Malaika akiwa ameegemeaza kichwa chake kwenye bega la Edgar, huku akimtazama usoni, kama ungewaona, ungezani ni wapenzi, tena wamuda mrefu, kumbe sivyo, ni watu walio kutana leo hii tena mdamfupi uliopita, huku Malaika akiwa mschana bikila anae subiri mchumba wake autoe uscha wake siku ya ndoa yao, kiukweli masihara hayo yaliwalegeza wote wawili, bila wao kujijuwa kuwa, hisia zao zinaenda kubaya, waliganda wame tazamana usoni kwa macho yaliyo jaa usingizi kama siyo uvivu, “Kweli ata mimi najisikia njaa, sasa nika kupikie nini?” Edgar aliongea, huku bado macho yake yame mtazama Malaika, “Kwani wewe unapendaga kula nini?” ilikuwa sauti ya Malaika iliyojawa na utulivu, huku macho yake bado yame tazama Edgar “Husijari kuhusu mimi wewe mgeni ndo uchague” bado macho yake malegevu, yalikuwa yakimtazama Edgar, hapo Edgar alianza kuona macho mazuri ya Malaika, ya kianza kama kusinzia, nakuwa kama mtu alievuta ile sigara ya bob Marley, “ok! mimi nachaguwa ugari, na wewe chagua mboga” mpaka hapo Malaika, alisha anza kuhisi hali flani ambayo aijawai kumtokea hali ya kutamani kitu flani, toka kwa kijana huyu aliekutana nae njiani, kitu ambacho ameweza kuvumilia mpaka anafikisha umri huu alionao, alikwepesha macho yake, yasi endelee kutazamana na macho ya Edgar, alijikuta katika hali ya aibu akihisi Edgar amesha gunduwa hali aliyo nayo, nichagulie wewe mboga nzuriiii, kwaajiri ya mgeni” alisema Malaika wote wakacheka, “poa usijari, twende ndani” hapo wote wawili kwapamoja wakaongozana kuingia ndani, ile kuingia ndani tu! macho ya Malaika ya katua mezani, akaona bakuri kuwa lililofunikwa vizuri, “wewe siulisema unakaa peke yako?” Malaika aliuliza kwa mshangao na hamaki, akilifwata lile bakuli pale mezani na kulifunuwa, akakutana na mayai ya kuku yaliyo kaangwa, viazi vya kukaanga na kachumbari pembeni “He! nani amekuandalia chakula kizuri hivi?” aliuliza Malaika, huku akichukua kiazi, na kachumbari na kuanza kula, Edgar akabaki ana mshangaa huyu mdada, ambae ni mtoto watajiri, isitoshe na yeye mwenyewe ana fedha nyingi, “yani anakula niviazi vya kukaanga, ni chakula kizuri?,” aliwaza Edgar, kisha akazuga kama amwangalii, yeye akaendelea na maandarizi ya mapishi “Nimepika mwenyewe, vipi unakionaje?” alisema Edgar, “kumbe unajuwa kupika, yani Kitamu sana, siku nyingine nikija niandalie, kama hivi, ujuwe viazi vya kukaanga nilikula zamani sana, mala ya mwisho kabla sija maliza shule yamsingi” aliongea Malaika huku akiendelea kula vile viazi na kachumbari, “usijari, ukitaka ni takuandalia viazi, uende navyo nyumbani wakakukaangie?” aliuliza Edgar, “Tena usisaau kuni chumia na machungwa na machenza, uwa nayapenda sana” aliongea Malaika akionyesha kufurahi sana uwepo wake pale, mbele ya kijana huyu mtaratibu na mcheshi, sasa Malaika alikuwa amesogea karibu na Edgar akiwa na kiazi mkononi, Edgar alimtazama usoni na macho yao yakagongana, wakajaribu kutazamana kwa nukta chache, kila mmoja alihisi kitu moyoni mwake, miili yao ikasisimka, huku ule ukaribu wa miili yao ulichangia, kwasauti nzito ya utulivu, Edgar akamwambia Malaika “usijari Maraika, nitakupa kila utachoitaji, mladi kiwe ndani ya uwezo wangu, ili uzidi kufurahi na uendelee kuja hapa kwetu, maana umefanya nijione mwenye bahati” maneno ya Edgar yalimfanya Malaika ahisi kitu kama shot yaumeme, ikitembea mwilini mwake, kuanzia kifuani mpaka tumboni “mh! kwanini unasema hivyo Ed?, kwani mimi nimekufanyia nini?” Malaika mwuliza Edgar, huku akisogea pembeni na kwenda ilipo redio kaseti, huku Edgar anamsindikiza kwa macho, macho kwenye msambwanda wa Malaika, huku moyoni mwake bado akuamini kama kweli huyu binti, ambae kila siku alikuwa anamwona kwambali akipita na gari lake, au akiwa ktk shughuri zake nyingine eti!, leo yupo nae nyumbani “dada Malaika umenipa furaha kubwa moyoni, mama yangu alinifundisha kurudisha furaha kwa mtu alienipa furaha”Edgar alimwambia Malaika, ambae alikuwa ameinama pale kwenye meza ya TV na redio anachagua kanda (tape) za music, na kusababisha msambwanda wake uonekane vyema, huku bado akiendelea kula kile kiazi na kachumbari, kwa maneno yale ya Edgar Malaika akakukumbuka kitu, akainuwa uso wake na kumtazama Edgar, ambae alizuga kama hakuwa anatazama msambwanda wa Malaika, “Hivi Edgar, unaamini kuwa unapompa mwenzio furaha unajiwekea nafasi yakuwana furaha pia?” aliuli Malaika “ndiyo naamini hivyo, lakini siyo watu wote wenye kuweza kurudisha furaha kwa furaha,..…Hoo! angalia hapo, kwenye shati lako umejichafua na nyanya” alisema Edgar akimwonyesha Malaika sehemu iliyo dondokewa na nyanya kwenye shati lake jeupe, “hoooo kweli nime chafuka, hayaa! hauna kanga hapa nijifunge kwa juu? nisije kuchafuka zaidi” aliuliza malaika huku akijaribu ujifuta kwakile kitambaa chake cheupe,“dah! kanga itokee wapi?, labda ingia chumbani ukavae tishert yangu” Edgar aliongea kwa utani huku akicheka, kicheko flani cha kiutani, lakini ikawa tofauti na alivyotegemea, “Chumba chako kipowapi, alafu kaniwekee nguo zenyewe nikabadirishe, maana nikichafuka zaidi nitashindwa kurudi ofisini nikitoka hapa” aliongea Malaika huku akiweka tape kwenye redio, na kubonyeza kidude cha kuiruhusu ianzekuimba, inasikika sauti ya bob Marley, wimbo wake turn your light down low,****** Wakati Malaika na Edgar wakiwa Seed farm, Sophia nae alikuwa na mawazo mengi ya liyoambatana na uchungu, sasa SOPHIA alikuwa anakaribia kwenye nyumba aliyopanga yeye na Janeth, mtaa wamajengo, lakini ghafla akapata wazo, kuwa arudi haraka kwa Edgar akaombe msamaha, kwani aliamini kuwa Edgar bado anampenda sana, lazima ata msamehe, kweli bwana bila uoga wala ahibu, Sophia akageuka nakuanza kurudi alikotoka, Wati huohuo Mama yake Edgar alikuwa naingia pale kijiweni kwakina Edgar, wanapouzia viatu, anawakuta wakina Jastin, wanampoke kwa adabu na heshima, wanamsalimia kwa heshima, rafiki wa mwanae wana adabu nzuri, Lakini tokea amefika hapa mwanae amwoni kabisa “Jastin Edgar yupo wapi?” Jastin bila kujiumauma akajibu kama alivyo ambiwa na Edgar, mama naye akalizika, akaaga nakuondoka akiwasisitiza kukkumbushaEdgar kupitia nyumbani kwani anamzigo wake, Sophia naye alikuwa amesha fika eneo lile, akasimama mbari kidogo, akijishauri namna ya kwenda pale, maana kwajeuri aliyoionesha, masaa machache ya liyopita pita, na akakumbuka maneno ya Edgar “Sophia nilikufwata sababu ulionyesha kunipenda, na mimi nikakupenda, tukawa wapenzi, kwa sasa sina sababu yakukufwata kwasababu unipendi, unampenda mtu mwingine, nimesha ushinda moyo wangu, sikupendi tena, nakuomba usiongee neno linguine, pengine litaleta matatizo, tafadhari nakuomba ondoka mala moja” mpaka hapo Sophia akaona bora aende kwa Jeni, pengine akampa ushauri afanye nini *** huku nako, Nyuma ya nyumba walionekana Malaika naEdgar, wakiwa chini ya mti wa mwembe, wamezunguka jiko dogo la kuni, walilolitengeneza muda mfupi uliopita, kwakuona jiko lamkaa lingewachelewesha, kuivisha kuku waliomchinja, kwaajili ya mboga, juu yajiko kuna sufulia lililofunikwa, napembeni manyoya ya kuku wakienyeji, pia muhindi mbichi ukiwa umeegeshwa kwenye figa moja, ukiva taratibu, sasa Malaika alikuwa amevalia tishert lamikono ya kukata, ile yawacheza baskert ball, na bukta kubwa pana, nayo ya wachezampila wa kikapu, Edgar naye alikuwa amevalia kaptula fupi ya jinsi, na singland iliyombana na kumkaa vyema mwilini, walikuwa wanapika huku wakifanyiana michezo ya utani, kwakweli iliwafanya wasaau matatizo yaliyowatokea, nahiyo ilikuwa nisiri ya kila mmoja, “Edgar nenda kalete bakuri la supu” Malaika alimwambia Edgar kwa sauti ya kubembeleza “Ngoja kwanza ichemke tena, utakula nyama mbichi” Edgar alimjibu huku akichochea kuni “mh! maini yanaiva mapema bwana ebu! nenda kalete bakuri, yani mtoto mbishi huyu, anatumwa namama yake anakataa, basi me naenda mwenyewe” Malaika aliongea huku akiingizia utani, kisha aliinuka nakwenda ndani kufwata bakuri, Edgar akuacha kumsindikiza kwamacho, mala akatoka nabakuri pamoja nakijiko, akakaa pale alipokaa mwanzo, kiukweli kila mmoja alikuwa katika hali yafuraha kuwepo pamoja pale muda hule, ilifikia kipindi macho yao yakikutana wanahishia kutabasamu, na pengine kucheka kidogo “Nipakulie basi nionje chumvi” aliongea Malaika huku ameshikilia bakuri, “ha! Kwani mtoto anampakulia mama, au mama anapakua mwenyewe?” alongea Edgar kwa utani, “Hiloooo! mtoto mwenyewe mkubwa, kama m’baba, nipakulie bwana” Wote wanacheka kidogo huku Edgar anafunua sufuria, nakuchua kijiko kisha anaanza kuchagua nyama y akumwekea rafiki yake, ananyanyua paja “Hapana bwana siyp hiyo hizo kubwa kubwa za ugari, tafuta maini na filigisi, mimi nakula maini wewe filigisi”alizuwia Malaika “Kwanini?” Edgar akauliza huku akimtazama Malaika usoni, macho yao yakakutana wakachekaka kidogo, malaika akatazama pembeni akiona aibu kuna hali flani alianza kujistukia, “He! kwani we! ujuwi” alisema Malaika huku akimpiga Edgar, kingumi flani begani “Me sijuwi ebu! niambie, kwanini tule hivyo” aliuliza Edgar akimtega Malaika, “Bibi aliniambiaga kuwa, nikiwa nimeolewa, niwe nampa mume wangu filigisi, alafu mimi nile maini” Edgar alikuwa anamsikiliza Malaika,huku akiwa ameshikiria bakuri na kijiko, ameacha kuchagua nyama, macho yote kwake, wakati Malaika alikuwa anaongea hayo, alikuwa akijitahidi kukwepesha macho yake yasikutane na macho ya Edgar, lakini mwisho wakatazamana kwa sekunde chache, kisha wote wakatabasamu, kila mmoja alionyesha kuvutiwa na tabasamu la mwenzake, “usiniangalie bwana, tafuta maini huko, mimi nataka kuonja” sauti ya Malaika iliyotumika hapo, niyakumtoa nyoka shimoni,, bila ubishi Edgar alianza kupeku apekua kwenye sufulia mpaka akaibuka na maini, akaendelea tena huku Malaika akimsaidia kwamacho mpaka alipo ibuka na filigisi ******* Akiwa meshakunywa bia ya nne, Martin Johnson Komba, alikuwa bado pale Mashujaa bar, huku macho yake ya kiwa barabarani, lakini akumwona Malaika wala gari lake, alipoangalia saa yake aliaona imetimia saa nane kasolo dakika kumi na mbili, alikuwepo hapo toka saa sita kasolo “Atakuwa wapi huyu mwanamke?” alijiuliza Martin huku akijisonya sonya, mala akapata wazo la uelekea ofisini kwa Malaika, na kweli akaelekea ofisini kwa Malaika, akaambiwa Malaika aliaga anaenda ofisini kwake yeye Martin, lakini akarudi na kuondoka tena bila kuaga, hivyo awakujuwa alipoelekea, maana wao wanajuwa yupo nae yeye Martin, hapo Martinakaondoka zake na kuelekea ofisini kwake, akaingia moja kwamoja na kunyanyua mkonga wasimu yake yamezani, (kipindi hicho akukuwa nasimu za mkononi) akabonyeza namba flani flani, kisha akasubiri kidogo, alafu akaanza kuongea “eti! Malaika yupo hapo?” ilikuwa swali la kwanza baada ya simu kupokelewa upande wapili, akasubili jibu “haa ni mimi Martin na mwulizia Malaika” akaweka kituo kusubiri jibu “Hooo samahani mama, nimepitiwa kidogo shikamoo” aliongea Martin huku akibetua midomo kwa zarau “Labda alikuja akanikosa, maana nilitoka kidogo” alionge nakukata simu bila kuagana na mtu aliekuwa akiongea naye, huku akitukana “Mpuuzi nini, salamu ndonini? Kwenda kule” kitu ambacho Martin hakukijuwa kutokana na pombe alizoanza kuzinywa, ni kwamba, alikuwa ajaweka simu vizuri (maalipake) kwa hiyo, akuwa ameikata,******* Upande wapili, Mama yake Malaika alikuwa bado ameiweka simu sikioni, akisikiliza matusi ya Martin, kjana ambae anajiandaa kumwoa mwanae, hapo mama Malaika akajaribu kuita lakini haikuwa najibu lolote “Vipi mama simu mbovu?” mschana wakazi alikuwa akipita sebuleni, na kumwona mama akiangaika nasimu “hapana ni huyu Martin, mkwe wangu, mh!.. sijuwi” mschana wakazi akakumbuka “Tena alikuja akamulizia dada Malaika, nikamwambia hayupo akaondoka” hapomama Malaika akastuka kidogo, “Kwani Malaika amerudi hapa?” aliuliza mama huyu kwa mstuko kidogo, “Hapana ajarudi” hapo mama alielekea chumbani, huku kengere ya hatari ikigonga kichwani kwake “lakini mwanangu nikama tunamlazimisha kuolewa na huyu mshenzi, yani ananitukana mimi mama mkwe wake, sasa huyo mkewake itakuwaje?” **** Sasa Edgar na Malaika walikuwa ndani wamekaa kwenye kochi moja, lawatu wawili, nakuwafanya wawe karibu sana ata miili yao kugusana, Edgar akilihisi joto la Malaika, kwa Edgar ilikuwa bahati kwake, kuwa karibu vile na mwanamke ambae hakuwai atakuota kama kunasiku atakuwanae karibu, lakini Malaika kwake aliona kama yupo na mtuwake wakaribu, na aliemzowea toka zamani, japo wamekutana na kuzoweana leo leo, walikuwa wamemaliza kula, na sasa waliburudishwa kwa kutazama music wataratibu kabisa, toka kwenye tv kubwa ya nchi 24, huku wakishushia maji na matunda, pia walisimuliana story zao za zamani, sasa basi wakati wakiendelea na story zao, Malaika akapandisha miguu juu yote miwili, juu yakochi lile dogo walilo kaa wote, na kuikunja kama mtu aliekaa chini au kwenye mkeka, akisubiri ubwabwa, hapo akisababisha mambo mawili, kwanza bukta aliyu vaa ikasidi kupanda juu na kuruhusu mapaja yake mazuri na mapana, kuonekana wazi wazi, pili paja moja la mrembo huyu, kulala kwenye mapaja ya Edgar, japo kilikuwa ni kitendo cha hatari sana, lakini Malaika akujuwa, aliona nikawaida tu! kutokana kuzoweana kwa kufanyiana utani na michezo kwakipindi chote walichoshinda pamoja, Edgar alilisikia joto la Malaika likipenya kwenye ngozi yake, na kumsisimua vilivyo, akavunga kama ni kitu cha kawaida kwake, lakini aikuwa lahisi hivyo, na aijawai kuwa lahisi atasiku moja, kwani ilifikia kipindi, kila Malaika alipo jitikisa kidogo paja lake lilisugua kwenye dudu ya Edgar, wakati huo bukta ya Malaika ilikuwa imezidi kupanda na kusaabisha ata pido za chupi ya mrembo huyu, kuonekana, wakati story zikiendelea, Malaika alihisi kuna kitu kigumu amekigusa kwa paja lake, akajaribu kupapasa kwa kutumia paja lake, akahisi labda ni remote yaTV, hapo akainuwa pajalake na kupeleka mkono wake, “Kwani uliweka remote hapa? siutaivunja sasa” alisema Malaika huku akikamata kwanguvu kile alichihisi ni remote, na kujaribu kuivuta, hapo mwili wa mrembo huyu uka sisimka, Malaika alikamata kitu kigumu chenye joto flani hivi, lakini kilikuwa ndani ya nguo aliyoivaa Edgar, Edgar aliruka kwa mstuko kutokana na Malaika kuikamata dudu yake iliyo kuwa imesimama vibaya mno, tena aliishika kwa nguvu na kujaribu kuivuta kwa nguvu, hapo Malaika akajuwa alicho kishika, kuwa aikuwa remote, ilikuwa dudu, hivyo akautoa mkono wake haraka sana, kama ameshika moto au nyoka, na kujiziba uso kwa aibu, huku akashusha miguu yake chini nakukaa vizuri, alafu akajiegemesha kifuani kwa Edgar, mikono akiwabado hipo usoni “samahani nilijuwa umeweka remote” alisema Malaika kwa sauti yachini, yenye ahibu ya kike, huku bado akiwa amejiziba uso, na kujiegemeza kifuani kwa Edgar, kiukweli lilikuwa nijambo la kustukiza na la ghafla maana katika maisha yake Malaika ukiacha kuona chulu chulu za watoto wadogo sana, hakuwai kuiona ata ya mvulana wa miaka mi nane nakuendelea, (kumbuka kipindi hicho mitandao ilikuwa adimu sana atasimu za mkononi hazikuwepo Songea) sasa leo ameishika kabisa, itaendelea......HAYA SASA WAKATI SOPHIA ANAANZA KUAMGAIKA, NA MARINI ANAMSAKA MCHUMBA WAKE MALAIKA, HUKU BIBI HARUSI HUYO MTARAJIWA YUPO KWA EDGAR, UNAZANI MAMAYAKE MALAIKA ATAFANYA NINI?, kwa story zaidi like page yetu ya Hadithi ZA MBOGO EDGAR UPATE STORY ZETU MWANZO MWISHO
No comments: