Jinsi ya kuishi na mpenzi wako Akupende zaidi

Mwanamke kuachwa na mwanamke ni kujitakia mwenyewe, fatisha njia hizi ili uweze kuishi na mpenzi wako hadi mwisho wa maisha yenu
Mpige kiss taratibuuu
Jaribu kuwa karibu na mpenzi wako kila wakati au akiwa mbali na wewe basi pale atakapokuwa karibu na wewe mkumbatie, mkisi, na
Mvute taratibu, mkumbatie,mweke kifuani na cheka naee
Jibebishe kwa mpenzi wako kwa kumpikia vyakula vizuri, cheka nae muda wote na umbembeleze kila wakati unapokuwa nae
Mkaribishe sehemu ambayo utakuwepo na marafiki wako pamoja
Ukiwa na mpenzi wako karibu na marafiki zako lazima mwanaume atajihisi wa thamani kwako na atajua kuwa mnaaminiana na hapo lazima mapenzi yenu yatakuwa ya furaha siku zote.
Cheka nae, piga picha na yeye pamoja
Ukiwa unaonyesha furaha muda wote lazima mwanaume ajihisi mwenye amani na anayependwa hata ukiwa unapiga naye stori za kufurahisha hiyo inapendeza zaidi, pia uwe unapiga nae picha na kuzipost hata kwenye status za whatsapp.
Mpige kiss kwenye lips zake
Kila unapokuwa na mpenzi wako mpige kisi hata mara 3, ukifanya hivyo mwanaume hawezi kuchomoka na kweda kwingine




No comments: