Mwanaume achana na Alkasusu kula ndizi mbivu mbili kwa siku utaona mabadiliko
Moja kati ya matunda ambayo upatikanaji wake ni rahisi kwakua tunda hili halina msimu achana na ndizi za kupika hapa tunazungumzia ndizi mbivu ndizi zile ambazo zilimponza Sungura, Hizi kila sehemu zinapatikana na bei yake ni salama na kila mmoja anaweza kuimudu sasa tuangalie faida za tunda hili kwenye mweli hasa upande wa mahusiano maana wanaume wengi wansumbuliwa na shida hii wakati dawa ipo magengeni
1.Ndizi Ni Chanzo Kikubwa Cha Nguvu Mwilini
Ndizi mbivu zina kiwango kizuri cha Glucose ambayo huingia kwenye damu moja kwa moja na kuleta msisimuko na kuongeza utendaji wa kazi wa mwilini si unasikia wachezaji wanamniwa wabugie Glucose kwenye kipindi cha mapunziko sasa ndizi ni glucose salama zaidi tena sio glucose peke na faida zingine kibao
2.Ndizi ina madini kiasi kikubwa ya Potassium
Unasikia unaambiwa kila siku kuwa ukiwa na kisukari (BP) uwezo wako wa kucheza mechi kitandani unakuwa mdogo basi ndizi ina madini ya potassium ambayo yanasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini ndugu yangu kama ukila ndizi mbivu mbili kwa siku unadhani hiyo sukari inashushwa kiasi gani Stuka bwana
3.Ndizi husaidia Mfumo wa Mmengenyo wa Chakula
Unajua kitambi kinasababishwa na nini ni wingi wa mafuta ambayo yapo mwilini yameshindwa kuchanywa vizuri na mfumo wa mmengenyo sasa sikia ndizi ila isaidia mfumo wa chakula kufanya kazi yake vizuri na kwa haraka sasa unapokula ndizi inaenda kuongeza nguvu kwenye mfumo huu na mafuta ambayo yanashindwa kutumika mwilini yatatumika kwa kiasi kwenye mfumo huu hivyo kukusaidia kwenye mambo ya kitandani maan mlundikano wa mafuta husababisha Presha inayozuia kufanya vizuri kitandani shtuka bwana
Hizo ni faida kuu za ndizi mwilini lakini haimanishi kuwa ukila ndizi mchana usiku wake mambo yatabadilika ni swala la muda na mazoea pia usisahau mazoezi na vyakula vyenye wingi wa protine na vitamin
No comments: