Nawashwa Chini 09






SIMULIZI - NINAWASHWA
SEHEMU - 09
ILIPOISHIA
Iliishia pale ambapo boss lady susan alipokuaa ndani ya chumba cha jeff akimuomba wafanye mapenzi ya mwisho mwisho kwa kuwa mume wake boss amerudi na kama unakumbu kumbu sawa, jeff ni mda mchache tu alitoka kufanya mapenzi na maria. je alifanikiwa kufanya tena?
ENDELEA NAYO
"hapana maddam leo nimechoka sana na isitoshe huu ni usiku unatakiwa kuwa na mume wako kwa siku ya leo ili kesho hata ukitoka sio mbaya" nilimjibu boss susan huku nikijitahidi kwa kila namna asije kunishawawishi kufanya nae mapenzi "We yule achana nae amejaza kitambi tu huwa hanifikishi popote ananichafua tu nakuniacha na hamu please jeff we ndio unajua nikiwashwa unikune wapi" boss susan bado alindelea kushikilia msimamo wake ule ule. "jeff mbona leo hutaki kunishika??" maddam alinitupia swali lilionitoa kwenye dimbwi la mawazo kisha kwa wasi wasi nikamjibu "bado nahofia kuhusu mumeo kwanza hukuniambia kama unamume alafu leo umenishtukiza tu naona mtu" nilimjibu huku nikimkazia macho "nisamehe kwa hilo lakini jeff...!!" kabla hajasema chochote kwa nje ilisikika sauti ya mume wake akiongea na mlinzi kwa sauti kubwa "WE MLINZI BOSS WAKO AMEKATIZA HAPA??" "hapana boss sijamuona, kwani ndani hayupo?" "Endelea na kazi yako" big boss alimjibu ikionyesha wazi amekasirika na endapo angempata mda huo sijui angemfanya nini? "sinilikwambia unaona sasa haya ndio uliyoyataka" jeff aliongea huku akizidi kumchungulia boss wake kupitia dirishani mwake ambapo alikuwa akimuona alivyokuwa anatapa tapa kumtafuta mke wake, "huu msala alafu anakaa hapo mlangoni haya humu ndani unatokaje? na pale mlangoni unapitaje?" nilimuuliza maswali mfulululizo kitendo kilichomfanya boss lady azidi kuchanganyikiwa alibaki kuzunguka t mule chumbani akipiga plan namna atakavyoweza kulisolve hili tatizo, "yeessss nimepata plan nazunguka huku nyuma ya hili banda naenda kujifanya kama nilikuwa nimeenda kuangalia koki za mabomba ya bafuni kama ziko sawa" baada ya kumark time ya mda hatimae boss lady alipata ufumbuzi "lakini kumbuka bado amekaa mlangoni na mlango wangu ukiufungua tu pale alipo atasikia sauti za geti likiwa linafunguka sa nambie unapitia wapi" nilimjibu tena "daah!! kweli nitaumbuka kwo nifanyeje??" boss lady aliuliza huku akinitazama na kunisikiliza kwa makini "iko hivi mi nitafungua mlango nitauacha wazi nitaenda pale kumzebeza wewe utapita kwa kuwa mlango utakuwa upo wazi zunguka kwa hiyo njia yako alafu kabla sijaondoka pale uwe umekuja na koki moja iko huko ile iliolegea kama ushahidi" nilimweleza boss lady susan "aisee!! kijana unakipaji cha ajabu kweli" maddam alisema. kweli kama tulivyoplan ndivyo nilivyofanya baada ya kufungua tu mlango boss aligeuka na kukaza macho getini kuona ni nani anaetoka kisha akasimama kabisa kuangalia kwa makini nilichomoza nikiwa na jagi la maji nikijifanya kama vile naendea maji ndani "heeh!! boss mbona usiku hivi umekaa nje kwenye baridi na mbu kiasi hiki??" baada ya kumsogelea boss nilianza kumzebeza huku nikihesabu namba kwa kukadilia ndio utakuwa mda boss lady anatoka ndani "hapana ndani kuna joto kari sana yani hadi feni naona haitoshi" alisema boss huku akiakaza macho kule mlangoni "anhaa!! kumbe ndio unalala kwenye kile chumba??" aliuliza huku akisimama, nilishtuka kwani ile style yake yakuuliza na lile jicho alilolielekezea kule mlangoni lilinipa presha kiasi kisha nikamjibu "ndio nipo karibu na yale mabanda nami kam kuku" nilisema huku nikijichekesha kinafiki ili boss huyo asigundue kama kuna kitu nimeficha, baada ya kuhesabu mpaka kumi nilijua wazi tayari ameshatoka hivyo nilimuacha boss akiwa amesimama pale pale nami nikaingia ndani haraka nikienda na muda kisha nikatoa maji kwenye friji ya baridi nakukijaza kijagi changu kisha nikatoka wakati natoka tu ndio muda nae boss lady akifika pale alipomume wake akiwa na ile koki "heeeh!! mume wangu kulikoni tena hapa nje??" aliuliza kama vile hajui kitu chochote "ulienda wapi usiku wote huu??" big boss aliuliza huku akimwangalia kwa jicho kari "ah! mume wangu nilikuwa uwani huko nikiangalia koki hii ya mabomba ya bafuni kwani yalikuwa yanatoa maji kidogo kidogo" alisema boss lady "dah! pole mke wangu ila ungesubiria kesho tungemleta fundi akaitengeneza vip bado linavujisha maji?" boss aliuliza akionyesha kuridhika na majibu ya boss lady "okey pole mume wangu sikujua kama nitakutesa hivi tuingie ndani hapa nje kuna baridi sana" alisema boss lady huku akimshika kiuno mume wake waingie ndani lakini alipanda ngazi mbili kisha akageuka nakutoa iahara ya kiss kwa mdomo wake, nilishusha pumzi kubwa kwa kulishinda hilo,
kesho yake tulikuwa pamoja katika meza tukipata kifungua kinywa maria alikuwa akinitizama sana huku nae jackrine akimtizama maria kwa jicho baya nae boss lady alikuwa akinyanyua kikombe cha chai mkono unakuwa mzito kukisogeza kinywani kwa kuniangalia tu mpaka pale ambapo morine aliekuwa amepangana nae kumshtua kwa kumgonga kidogo na goti ndio fahamu zikamjia. baada ya kumaliza kunywa chai jackrine alimtoa maria nje nakwenda kusimama nae pale bustanini "we maria hilo jicho nimeliona sikia jeff ni mali yangu wewe hapa ni kijakazi tu" alisema jackrine kwa hasira "hayo umesema wewe jackrine mi siyajui kwanj jeff ni nai yako??" maria aliuliza kizarau huku akiishusha mikono yake kiunoni "jeff ni mpenzi wangu kaa ukijua hilo" alisema jackrine "umerogwa jeff ni mpenzi wangu mimi" nae maria alirudisha "NINI??" jackrine aliuliza kwa panic, wakiwa wanaendelea na majibizano iliskika sauti ya boss lady susan akisema "NYIE KUNA NINI HAPO?" wote waligeuka kwa hofu kubwa huku kila mtu akiandaa majibu..
je boss amewasikia?? na kama amenasa majibizano yao we unafikiri nini kitachoendelea....



No comments: