Nawashwa Chini 11






SIMULIZI - NAWASHWA UKO

SEHEMU - 11
ILIPOISHIA.
kwenye nyumba ya boss lady kulianza vita vya chini kwa chini vya mapenzi baina ya maria na mtoto wa boss jackrine na baadae tuliweza kuona boss lady akitoka nje nakwenda kutapika hatukujua nini kilichoendelea..
SONGA NAYO..
..Moyo wa wasiwasi uliaanza kumtawala kijna jeff na haswa akizidi kulitafakari swali la morine aliolieema dakika chache huku akichanganya na hali aliyonayo maddam baasi alizidi kutetemeka kabisa, big boss alimgeukia jeff huku akimtazama kwa jicho la uchu lililojaa rangi nyekundu kama nyanya, "iwapo itagundulika ana mimba kijana utaozea gerezani" alisema boss yule huku akitafuta simu yake mfukoni na baada yakuitoa haraka alitafuta namba na kuipigia baada ya mda kidogo simu ya boss ikajibiwa hapo ndio niling'amua mawili matatu yaliokuwa yakizungumzwa "eeh!! doctor ni mimi asee mr antony.. yeah! natatizo kidogo, mke wangu bwana amekumbwa na hari mbaya gafla tu tupo tunapata kifingua kinywa akaanza kutapika ovyo, sijui tatizo nini mheshimiwa?" boss aliongea huku akijizungusha zungusha. "oohh!! kwa hiyo nimlete hapo afanyiwe vipimo?? sawa nakuja sasa hivi, ok thank you" baada ya mazungumzo yale boss haraka wakishirikiana na morine walimnyanyua boss lady nakumpakia kwenye lao huku boss akimzuilia jeff mlangoni asiingie ndani ya gari "sisi watatu tunatosha kufika hospitari we kaa hapa hapa usubirie majibu ya mkeo ikiwa tu itabainika anamimba..!!! narudia tena utaozea magereza" boss aliongea kwa hasira huku akizidi kunitazama kwa jicho baya, jambo hilo lilizidi kunichanganya nakunitia wasi wasi mkubwa "mungu wangu sijui akiwa na mimba itakuwaje??" nilizidi kujiuliza nafsini huku nikilisindikiza gari kwa macho likiwa linaishia, nilirudi ndani nakukaa pale sebleni huku mawazo chungu mzima yakiwa yamenizonga. alikuja maria nakuketi pembeni yangu akinitizama kwa jicho baya kweli huku machozi yakiwa yanamlenga mlenga "hivi kweli jeff kile alichokisema boss ni kweli??" aliuliza maria huku akinitizama kwa huruma, taratibu nilimgeukia maria kisha nikamshika mkono wake nakuweka juu ya paja langu kisha nikamjibu "hapana maria huyo boss ni wivu tu mi sijafanya mapenzi na mke wake wala nini yale yatakuwa ni mapombe tu yalikuwa hayajaisha kichwani hajanywa supu, alipoamka yeye ameamkia kunywa chai ya maziwa lazima iwe hivyo, kwo usinifikilie vibaya mi sijawahi kulala na boss sawa eeeh!!" nilimjibu tu maria kumpoza lakini hayajui niliyonayo moyoni kuhusu hilo swala "daah!! yani moyo unaniuma kweli nikisikia boss anavyoongea yale maneno, jeff natamani mimi ndio nikuzalie tena ikibidi hata unioe tuondoke kwenye hili jengo nilitamani sana kuondoka mda mrefu lakini nilibadili uamuzi wangu tokea ile siku ya kwanza tu umeingia kwenye hili jengo nilijikuta moyo wangu ukipigwa na ganzi nakushindwa kuuzuia kabisa hisia zangu, jeff kiukweli nakupenda sana licha ya kuwa tushafanya mapenzi mimi na wewe umeinijua nikoje lakini jeff nakupenda kweli am real love you" alisema maria kisha akaanza kulidondoaha chozi nilimsogeza maria karibu kiaha nikakilaza kichwa chake mabajani mwangu huku nikiendelea kuizechezea nywele zake ndefu taratibu nikimtumbuiza kwa maneno malaini "Mapenzi ni mfano wa ua zuuri lilipo kwenye bustani iliyofadhiwa vizuri ua lile linahitajika matunzo makubwa, nyuki na vipepeo huendelea kulishamilisha ua lile kwa kuliweea mapambo mazuri, licha yq jitihada za wadudu hawa wawili wanaopenda ua moja yupo mdudu mmoja anaelipenda ua zaidi lakini, ua mapenzi husinyaa iwapo litakosa mtunzi wa kuliw kea mbolea na kulimwagilia kipindi cha kiangazi, hii ni moja ya mfano mdogo maria mapenzi yetu yatanawili siku moja, mimi ni ua nawewe ndio kipepeo wangu endelea kupepea kwangu kwingine usipate tua" nilimweleza maria, maria aliamka kwa furaha nakunikumbatia kwa uchungu huku akiendele kulia tu maskini "nakupenda jeff. nakupenda jeff usije ukaniacha please don't leave me alone" alisema maria.
____________________
baada ya masaa kadhaa honi za gari zilisikika upande wa nje zikilia kwa kuwa nilikuwa nyuma ya nyumba nilijisogeza taratibu kisha nikajibana kwenye kona nikishuhudia boss lady akishuka keenhe gari tena akiwa safi tofauti na vile alivyoenda na sura yake ilikuwa na tabasamu tupu, lakini big boss yeye alikuwa amekunja sura na hata baada ya kushuka kwenye gari alibamiza mlango wa gari kwa hasira nakuelekea ndani, hapo nilipata nafasi ya kuwasogelea jackrine,morine na boss lady nikajue ni nini kilichogundulika "mmh!!! jeff mbona umechafuka hivyo??" nilipofika tu jackrine aliniwahi kuniona na nguo chafu "ah! nilikuwepo kwenye mabanda huko nayasaficha siunajua leo nimechelewa sana?" nilimjibu jackrine huku macho yangu yote yakielekeaj mkononi mwa boss aliposhika vikaratasi vitatu vya hospital na kibahasha kidogo cha kaki "vip umefanyiwa vipimo??" niliuliza huku nikiwa na shauku ya kuona kile kikaratasi "yeaah!!!" "ENHE!! TATIZO NINI??" niliuliza "anha! we nawe maswali mengi tu," jackrine alidakia "Nimegundulika na maleria4 na amiba tu" alisema boss huku akinipa tule tukaratasi.. nilifurahi sana kusikia hivyo na hata boss lady nae alionyesha wazi hakuna tatizo alinikonyeza kisha wakaingia ndani..story sh 1500
_____________________________________
usiku ulifika siku hiyo sikuwa na usingizi kabisa hivyo nilikaa pale bustanini nikiendelea kuutazama mwezi ulivyokua uking'ara angani lakini kidogo hivi niliskia sauti ikiniita tena ni ilikuwa ni nyuma ya nyumba na siku hiyo bahati nzuri umeme ulikuwa umekatika niliamka nakuifata ile sauti niliitambua ilikuwa ni sauti ya maria. nilifika na kumkuta maria akiwa amesimama ameegamia ukuta "maria umetoka kutafuta nini usiku hivi hujui ni hatari??" nilimuuliza maria kwa sauti ya kunong'ona "jeff nimekuja kukuaga tu" "ulijuaje nipo huku??" nilimuliza kabla hajajibu, aliusogeza mdomo wake nakuanza kuyavuta mate akifyonza kama juise ya embe, nami nikaupoke mdomo wake kimahaba tukaanza kuchezeana ndimi huku mdudu washa akianza kujinyanyua taratiiiibuu...
ITAENDELEAA



No comments: