USHAURI: SIPATI HISIA
SIPATI HISIA
SWALI
Mimi ni mwanamke mwenye umnri wa miaka 30 nimeolewa na sasa nina miaka 5 kwenye ndoa, nilikuwa naweza kusisimka mara moja tu hata kwa kupata busu (kissing) lakini sasa hakuna tena.
Je, nifanye nini?
JIBU
Inaonekana maisha yenu ya s3x na mumeo yamekuwa ni mtindo ule ule idara zote kwa muda mrefu bila ubunifu mpya. Ni muhimu sana kujaribu vitu vidogo vipya kwa ajili ya kuyapa mapenzi au mahaba yenu viungo vipya hasa suala la kuandaana kimwili (foreplay)
Pia jambo la msingi ni kwamba unatakiwa kuwa na focus ya kumsisimua mume wako kuliko kusubiri yeye akusisimue wewe kwani unapojitoa kuhakikisha mwenzako anasisimka utashangaa na wewe jinsi unavyosisimka kirahisi kama maharage ya Mbeya.
Zifuatazo ni tips ndogo ndogo za kuhakikisha mume wako anasisimka na wewe unayegeka na ukifanya baadhi au na wewe kuwa creative zaidi basi utashangaa wewe mwenyewe unavyosisimka hata kwa kushikwa tu acha kupata busu tamu la mumeo.
Mtumie s3xy message kwenye simu yake ya mkononi.
Acha message kwenye briefcase yake, au lunch bag yake au mfuko wa shati au kwenye seat ya gari kile unapenda kufanya naye usiku akirudi mkiwa chumbani au kile unataka yeye afanye kwako.
Kama upo nyumba basi anapoingia mlangoni kutana naye huku umevaa mavazi ya kuvutia (kushawishi kwamba unataka) kama kuna watoto kamtegee chumbani. Nenda naye kuoga pamoja
Mnong’oneze sikioni kwamba hapo ulipo hujavaa Chupi.
Tumia muda mwingi kubusiana kwanza polepole (gentle) then kwa mvuto wakati huo nguo bado zimevaliwa then anza kumvua polepole. Kama unaweza mfanyie massage na then mwambie na wewe unataka.
Mnong’oneze sikioni kwamba unamtamani na unampenda sana.
Pendeza mfanye s3x sehemu nyingine siyo pale mmezoea kila siku. Pia jaribu s3x position. Muulize anapenda kitu gani kipya kujaribu wakati wa s3x.
Zaidi ya yote ili kusisimka kumbuka mambo yafuatayo:- Ikiwezekana anza wewe kuomba sex usisubiri kila siku akuanze yeye. Jiandae mwenyewe kwa s3x siku nzima. Wakati wa kubusu busu bila haraka. Uwe na muda wa kutosha kwa ajili ya s3x. Focus mawazo yako kwenye tendo (kama kuna mgogoro hakikisha umeisha kwanza) Jaribu kitu chochote kipya.
No comments: