ππππππππ: πππππππ π ππ ππππππ πππππ ππ..... 17
πππππ ππππ....
Alizidi kunipapasa hadi akaridhika.. aliitoa uume wake na kunipa niushike.. ulikuwa ni mkubwa hadi nilikuwa natetemeka huku mkono wake mmoja ulikuwa unanivua chupi yangu..
Jamani... we kaka niachie mimi mbona unakuwa hauna adabu.. nimekwambia niachie mimi tafadhili.. sitaki ujinga wako
niliongea kwa shida sana lakini yule kaka aliendelea kunivua chupi.. alianza kunipapasa kitumbua changu wakati huo mimi nilikuwa nimebana miguu..
"Tanua miguu.. nitakunyonga hapa ufe we mtoto... Aliongea yule askari huku amenikazia macho.. mimi nilikuwa tayari hata nife pale kuliko nimtanulie miguu yule jamaa.. niliendelea kujikaza kuzuia miguu yangu asiweze kupenyeza mikono yake.
Ghafla nilisikia mlango umefunguliwa wakaingia askari kama watagu..
"hivi afande unaakili kweli unataka umbake dem wa boss.. boss yupo hapo njee katuagiza tuje kumchukua hapa... hivi angekukuta hapa siangekuua wewe.. 'aliongea askari mmoja miongoni mwa wale watatu walio ingia ndani..
yule jamaa baada ya kuona vile alivaa aliirudishia mashine yake kwenye suruali na kufunga mkanda.. mimi pia nilivaa chupi yangu.. nilipewa nguo zangu na simu yangu kisha kupewa tahadhari ya kutopiga sim popote...
Nilitikisa kichwa kuashiria nimewaelewa. nilionyeshwa mahala pakuoga nikapewa na sabuni..
nilioga na kuvaa nguo zangu haraka.. niliishika sim yangu na kuiangalia ilikuwa na mesg nyingi sana na misdcall.. nilitamani kumpigia baba ila nilisikia sauti pale ndani ikiniambia.. "weka simu yako mfukoni Hajra..
Nilishtuka sana na kuangalia kila kona sijaona mtu ila kutazama juu ndio nikaona kuna kamera na spika ndogo sana.. kumbe kuna mtu chumba kingine alikuwa anafuatilia kila hatua yangu..
baada ya kuwa tayari nilitoka njee na kumkuta nic.. alikuja kunikumbatia na kuniambia tuende kwake..
sikuwa na kauli.. nilipanda gari na safari ilianza..
Tulifika mahali usiku ule akapaki gari.. Nic alinisogelea na kuanza kunipapasa maziwa yangu na kuanza kuyanyonya kwa hamaki. alianza kunipapasa hadi kitumbua changu na kujaribu kupitisha kidole kimoja ndani kikagoma.. hapo ndio akaamini kuwa na mimi ni bikira..
"Baby.. mbona unaharaka kiasi hicho.???
mimi ni wako tukifika nyumbani nitakupa vizuri na utafurahi tu.. nilimwambia Nic na kumwangalia kwa jicho la mahaba huku nawaza nini cha kufanya..
Nic alinitaza kwa muda na kunipiga kofi zito.. nadhani alishajua kuwa namchora tu kwa kujidai tukifika nyumbani nitampa.. Askari na wanajeshi kuna mafunzo huwa wanapatiwa ambayo huwa yanawasaidi kumtambua mtu kwa kumtazama tu.. nadhani nic alivyoniangalia tu aligundua maneno yale hayakutoka moyoni bali niliongea tu.. na kweli niliropoka tu ili aache kunishikashika...
***
Nic aliniachia na kuwasha gari.. aliendesha kwa kasi sana.. alibadili njia na hakupitia njia ambayo inaeleke tofauti kabisa na kwake.. tulipita na kutoka nje kabisa ya mji.. Nikiwa ndani ya gari niliona kibao kimeandikwa "MSALATO GIRLS HIGH SCHOOL... niligundua tutakuwepo maeneo ya msalato...
Gari lilipita na kuacha barabara ya lami kisha kuanza kuingia porini sana.. baada ya muda gari likiwa linatembea alizima taa na kuanza kuendesha gizani.. alipita umbali mrefu kiasi katikati ya pori..
"nic tunaenda wapi huku.?? nilimuuliza nic.. mda huo nilikuwa nikitetemeka kwa hofu.
Nyamaza malaya wewe... aliongea nic nakuendelea kuingia katikati ya msitu...
Tulifika mbali sana porini.. alifika mahali akasimamisha gari..
alinishusha na kuanza kunivuta mkuku mkuku kuingia ndani zaidi ya pori.. alinivuta na kunisogeza ndani zaidi hadi tukakuta sehemu kuna nyasi mafupi kias..
"Vua nguo lala hapo chini na utanue miguu.. aliongea nic kwa ukali kwenye giza kile kinene.
Nilifungua kifungo ya juba niliyoivaa na kuinyanyua juu kisha kujilaza chini na kutanua miguu..
Kulikuwa na giza sana pale katikati ya pori.. nikiwa nimelala chini nilianza kupapasa kwenye zile nyashi taratibu wakati nic anavua suruali yake.. Nilikuta kuna jiwe zito kiasi fulani na kukivuta kusogeza karibu yangu..
Nic alikuja na kunitanua miguu kabisa kisha kuanza kuigusisha mashine yake juu ya kitumbua changu.. nilikuwa nikikasirika sana kwa kile kitendo.. nilijitahidi kumsukuma lakini alinishinda nguvu.. baada ya kuona nahangaika sana kwenye matope pale chini na zile rasharasha za usiku ule nic alinipiga ngumi ya uso na kuniambia nitulie..
Nilitulia kweli na kuishika vizuri ile jiwe... akiwa bado anahangaika kutafuta tundu lilipo nilimpiga kisogo na lile jiwe akadongoka pembeni akiwa anatapatapa tu..
Nilimuwahi na kuzidi kumpiga za kichwani hadi akatulia kimya.. Niliendelea kumponda kichwa hadi nikajiridhisha kuwa sasa ameishaa... nilimsachi na kukuta anayo kitita fulani cha pesa.. niliiweka kwenye juba yangu japo zililoa matope.. nilizidi msachi na kukuta tochi ndogo mfukoni kwake...
Niliwasha na kummulika.. niliona anahema kwa shida sana na dam zilikuwa zimemzagaa kila mahali.. nilijimulika pia nguo yangu ilikuwa imechanika chanika na kujaa matope na dam kila mahali.. sikujua hata viatu vyangu vilipo..
Nilihisi kichwa kizito na kumbukumbu za wapi nilipo zilianza kunipotea.. nilijikuta naongea tu na kuimbaimba vitu nisivyo vijua.. jina maarufu mdomo mwangu lilikuwa ni jina la Martha na monika...
nilitoka katikati ya lile pori kwa kutembea upesi.. nilikuwa nikitupa tupa tu mikono huku naimba. nilifika hadi kwenye barabara ya lami na kuanza kuifuata kurudi mjini...
Nilitembea mwendo wa haraka sana.. ilikuwa ni saa nne usiku nadhani kwasababu hata idadi ya magari ilikuwa imepungua sana.
Nilifika mahali nikaona jengo ndefu sana linawaka taa.. Niliwahi kuambiwa kuwa jengo ndefu kuliko zote kwa dodoma kwa wakati ule ilikuwa ni CHUO CHA MIPANGO.. nilisogea hadi mitaa ile kweli niliona vimbweta vya kusome.. niliamini kama ni chuo.
Nilikuwa nikipishana na mtu nacheka tu bila kujua nini kinanichekesha.. Baadae niliamua kwenda kwenye migahawa kutafuta chakula lakini mingi ilikuwa imefungwa..
Niliona banda moja tu la chips lipo wazi. Juu yake kulikuwa kumeandika NGONYANI BAR... Nilisogea na kumwambia anipe chips kuku.. watu walipo pale walisogea pembeni kwasababu nilikuwa nanuka matope tu...
Nilijisachi mfukoni na kukutata kile kitita cha hela. niliifinya na kutoa noti moja kisha kumpa yule jamaa...
'jamaaa alishangaa sana kuona kichaa katoa noti ya elfu kumi.. ilikuwa bado mpyaaa japokuwa ilichafuka kidogo kwa matope..
"Atakuwa usalama wa taifa huyu.. siunajua kesho kuna mkutano wa makamu wa raisi humu ndani na wakuu wote wa mikoa.??" nilimsikia jamaa mmoja akimwambia mwenzie..
Watu waliniogopa sana pale na kunipisha.. nilipakuliwa na kula..
Baada ya kushiba nilikwenda hadi karibu kabisa na geti la kuingilia chuoni na kujilaza kwenye nyasi.. Nilipitiwa usingizi na kushtuka asubuhi walinzi wanamwaga maji kwenye nyasi..
Niliamka haka kwa Hofu.. "Eti kaka Monika kwani ameshapasuliwa tumbo.??? je na martha alishasafirishwa kwao same kufanyiwa mazishi.??
niliongea kwa umakini huku namwangia yule kaka alievalia sare kama za polisi lakini zilikuwa zakijani..
Yule kaka alinitazama na kucheka tu kisha kuendelea kumwagilia maua..
Nilisonya na kuondoka pale hadi kwa jamaa mmoja ambaye ni wakala wa kusajili Laini..
"mambo kaka.. unazo namba za babaangu.?? kama unazo mwambie baba nic alitaka kunibaka mimi.. Niliongea na kuanza kulia..
watu walinishangaa sana.. nilitulia baada yakuona hakuna anaenijibu na kwenda kukaa pembeni ya geti kwa upande wa kushoto..
Magari ya wakuu wa mikoa yalianza kuingia ndani ya geti la ukumbi wa chuo.. Baadae niliona gari limeandikwa mkuu wa mkoa wa Morogoro.. Nilicheka na kulikimbilia..
Askari walinizuia lakini baadae yule mkuu aliwaambia waniachie... Mkuu wa mkoa alishuka na kunitazama nikiwa nimepiga magoti nalia..
"Hajraa!!!! aliongea mkuu wa mkoa na kutoa sim yake mfukoni kumpigia baba..
walikuwa wakifahamiana na baba kwasababu baba alikuwa ni mwanasheri kwenye mahakama ya rufaa ya mkoa wa Morogoro pia..
ITAENDELEA...
No comments: