ππππππππ: πππππππ π ππ ππππππ πππππ ππ.....21
πππππ ππππ....
"T-3037 nakuomba usishtuke.. kwasasa nipo kwa amani na tupo kwenye majukum ya Taifa.. tutaongea mengi kwasababu tupo pamoja hapa kwa miezi mingi sana... 'Aliongea irene na kwenda kwenye kitanda chake...
Kulitulia nikiwa bado nina mawazo nikiwa sielewi nini kinaendelea kwenye nchi ya watu..
Baada ya muda walikuja wahudumu na visahani vyeupe walivyokuwa wamevifunika na taulo..
"kila mmoja aweke simu yake hapa na ziwe zimezimwa..
Walikuwa ni Wadada wawili wa kizungu lakini walikuwa wakizungumza kiswahili fasaha kabisa..
Wote tulibaki midomo wazi kuwashangaa wale wazungu..
Mnashangaa nini warembo. wekeni vifaa vyenu vya mawasiliano hapa.. mnaona ajabu sisi kuongea kiswahili.
sisi ni wana intelijensia tunaongea lugha kubwa duniani zaidi ya 30.. ikiwemo kiswahili kwasababu ni lugha pekee ambayo inaongelewa na mataifa zaidi ya 10 afrika.. nchi nyingi Afrika zinaongea kiswahili.. kwahiyo kiswahili tunakijua chote sawa jamanieee....
Aliongea yule dada na kukunja vidole kama mwimba taarabu anaechamba...
"Hakuna aliesahau kuhusu sim au kifaa chochote cha mawasiliano.?? maana ukibainika unauliwa.. aliongea yule dada na kubadilika sura kuwa na uso wa kazi zaidi ile kuchekacheka ikapotea ghafla..
"Sasa hapa hakuna mawasiliano heyote na kwenu hadikazi ikamilike.. baada ya miezi sita mtapata sim zenu..
Hiki chumba kila sehemu inayo kamera.. hadi ukienda chooni kunya unaonekana...
sasa ukibainika unayo chochote baya tutaanza na wewe.. Tumesaini mikataba na nchi yenu.. nyie ndio wateule wakwenda kuliokoa taifa lenu kwahiyo ukikosea mashart inamaanisha haupo makini hautorudi kule kwasababu utatoa siri za nchi yako... tutakachofanya ni kukuia tu..
Tuweni makini na haya majukumu.. Maelekezo yote mtapewa na huo ukuta hapo ni TV kwahiyo mkihitajika mtaona imewaka na kuwapa muongozo wapi pakwenda..
Duuuhhh walimaliza kukusanya sim zetu kisha wakaondoka.. milango ilijifunga yote na taa zikawaka kwa mwanga hafifu sana..
Tulikaa kuanzia asubuhi ile hadi jioni bila kupata taarifa yeyote.. Tulikuwa na njaa sana.. Niliinuka nilipolala na kuanza kujaribu kufungua ile milango lakini ilikuwa ni migumu sana kufunguka..
Tulikaa hadi usiku umeingia na kulala.. hatukuwa na hata kitu chakuchezea kama simu wala nini.. tulihangaika sana huku wenzangu wakianza kugaagaa vitandani wakishika matumbo yao kwasababu hatukula kuanzia usiku wa jana tukiwa Tanzania..
Asubuhi ilifika tukiwa hoi.. mimi pia nguvu zilianza kuniisha.. Irene ndio alibaki kidogo ananguvu kwasababu alishapitia mafunzo ya kijeshi..
Nilianza kutambaa kwenda bafuni.. nilifungua mlango na kuingia kwa taabu sana.. nilifungua bomba la maji na kukinga mdomo pale.. nilikunywa kisha nikatulia kidogo.. Maji yalikuwa na ladha ya utamu utadhani yamewekwa sukari, baada ya muda nilihisi kuchangamka na kuchukua kopo la chooni kisha kuiosha vizuri na kwenda kuwanywesha maji wenzangu.. dakika kadhaa pia na wao waliamka na kukaa...
Nilikaa na kuwaza sana kwanini nilikubali nilishaanza kujuta kwanini nilikuja kwenye mateso kama haya.. nikiwa bado nawaza zile taa ziliongeza mwanga na ukuta ukawaka kama TV vile.. ilianza mwanga wa Bluu na baadae mweupe kisha ukaanza kutoa maandishi..
"Hongera T-3037... Mtihani wa kwanza umefaulu na tumeona unaweza kuwa kiongozi wa wenzio kwasababu umeokoa maisha yao.. Maji mlio yanywa ni salama kabisa na tulichanganya Gluecos ili mkinywa mpate nguvu.. lakini hakuna alieweza kugundua hilo tangu jana.. ila hongera T-3037 kwa kuwa na akili ya kufikiria mbali.. Hili kundi lote litakuwa chini yako na maagizo tutakuwa tunakupa wewe uwape wenzio..
Wavulana wote mliokuja nao bado wanahangaika na hatujui nani ataweza kugundua yalipo maji.. wakishindwa watafia mule ndani... Tunaandaa jeshi na wapelelezi ambao ni imara na wenye akili zilizokuwa sawa...
T-3037 tunakuomba ingia mlango wa kushoto kisha kata kulia ili tukupe maagizo mengine na mafunzo yaanze..
Yalikuwa ni maandishi yaliyokuwa yakipita kwenye ukuta...
nilikuwa nikisoma huku natabasam baada ya kuona namba yangu ndio inazungumziwa....
wenzangu walinikumbatia kisha kuniruhusu niende kupewa maelekezo.. nilipita kila kona ya ile nyumba kama nilivyo elekeza na ilikuwa nikifika karibu na mlangoni tu kabla sijaishika ilikuwa ikijifungua yenyewe na nikipita inajifunga..
Nilifika kwenye Chumba kimoja kuna mzee fulani mweusi yaani mwafrika tu kama mimi ila nywele na ndevu zake zilikuwa nyeuoe kwa kujaa mvii..
"HAJRA HUSEIN hongera sana... jukumu la kuwalinda wenzio lipo juu yako kwa sasa.. Weka mkono wako wa kulia kwenye kioo cha hiyo TV hapo mbele yako..
Aliongea yule mzee na mimi nikafanya vile...
Niliona mwanga mwekundu umewaka kisha zikatoka alama kama za Finger print pembeni kidogo ya mkono wangu...
"Sawasawa Hajra jina lako nitakuita mimi tu kwasababu ndio ninalijua ila wenzio wote na wafanyakazi wengine watakuita kwa namba zako kama kawaida..
Mkono wako utakuwa ni Ufunguo kwenda kwenye mlango wowote.. na unao uwezo wakuingia popote humu ndani kwasababu tayari alama za vidole vyako vimerekodiwa humu ndani..
Mlango wa kuingilia chumba cha mazoezi au kwenye mafunzo ni ukuta wa upande wa kushoto.. ukiushika tu unafunguka..
Mlango wa chumba cha kulia chakula ni upande wa Kulia.. ukiushika tu ukuta utafunguka na mtakuta wahudumu watawapa chochote mtakacho..
Pia sheria kuu ni kwamba.. kulala ni Masaa matatu tu kwa siku.. yaani dakika 180.. haitakiwi izidi hapo.. Ikifika mda wa kuamka magodoro yote yanaloa maji.. na mda wakulala ukifika mtakuta yamekuwa makavu.. namkishika kitanda kabla ya mda wa kulala mtapigwa na shoti ya umeme...
Haya maelezo ninayokupa yanasomeka pia kule chumbani kwenu na wenzio wanayapata kwahiyo hauna jukumj kubwa la kuwaelekeza...
UNAWEZA UKARUDI NDANI KWAKO HAJRA...
alimaliza kuongea yule mzee na kuniruhusu niondoke..
"kulala masaa matatu..?? huyu mzee kavuta bangi eti... miezi sita tunalala masaa matatu tu kila siku.. mbona atatuua huyu mzee jamani..
Nilifika chumbani kwetu na kushika ukuta wa kulia.. palifunguka kisha wote tukaingia kula.. baada ya hapo tulirudi chumbani na kukuta magodoro yote yameloa maji..
Nilitazama kwenye ukuta wa TV na kuona imeandikwa mda wa kulala ni saa sita hadi saa tisa kamili usiku... mda mwingine ni kazi na mafunzo...
Nilishusha pumzi na kwenda kushika ukuta wa upande wa kushoto.. Tuliingia chumba cha mazoezi na kukuta Wanajeshi wengi na wengine wapo na mbwa... baada ya kutuona walianza kucheka sana na kuja hadi tulipo.. Mmoja wao alisogea na Mabuti yake makubwa na kuja hadi nilipo simama mimi.. "Your a leader of this Group" (wewe ni kiongozi wa hili kundi)
aliniuliza yule askari jeshi...
"yeesss sir" ndio mkuu... nilijibu na kunyamaza kimya kusubiri maagizo...
Upande wa dar es salam mambo yalikuwa bado ni patashika nguo kuchani' waswahili husema hivyo wakimaanisha mambo ni balaa..
Nic alibaki kwenye jumba la UASHERATI na kuiacha ambulance waliyo mleta nayo Arafa iondoke... Baada ya muda walikuja madaktari bingwa na kumpasua tena arafa kisha kumtolea yale madawa.. baada ya hapo Arafa alishonwa vizuri na kupata matibabu vizuri ili arejee kaenye hali yake ya mwanzo...
Tayari mzigo wao wa mamilioni ya pesa ulikuwa umewasili pale kwenye jumba..
Baada ya muda wageni walianza kuongezeka na magari ya kifahari.. wote walikuwa ni wauzaji wa madawa. walikuja kufuata mizigo yao...
Walianza kujitambulisha kwa majina yao kamili na kila mmoja alikuwa na msaidizi wake wakike..
Lakini kadiri walivyoendelea kukaa mule ndani wale wasichana walianza kuhisi kuwashwa kwenye sehemu zao za siri.. walikuwa wakijisugua kwakubana miguu lakini baadae walizidiwa na kujikuta wanaanza kuingiza mikono kwenye sehemu zao za siri..
ile hali ilizidi kuwasumbua hadi wakaanza kuvua nguo zao na wanaume pia walianza kuhisi tofauti na kutoa nguo zao.. ulikuwa ni mwendo wa kusuguana tu..
Nyumba ilikuwa ikisikika kwa keleleza mahaba hadi mlinzi akaamua kwenda kuchungulia kulikoni..
Aliona mkasa kama kawaida umeanza.. alizama pia ndani na kumtafuta mmoja mzuri kisha kuanza kumpa ladha..
Msukuma ambaye ndio alikuwa mlinzi wa geti aliendelea kugawa dozi na kuhama kwa kila mwanamke hadi akamwaga..
Kwa haraka alikimbia na kurudi getini.. lakini kabla hajatulia alishangaa kumuona boss wake yule mwana mama ameshafika na yupo uchi anataka kupata kazi.. aliizoea muhogo wa msukuma kwasababu ulikuwa ni mkubwa wakutosheleza kumkuna..
Msukuma alimshika boss wake na kumuinamisha kisha kuanza kumsugua.. zile kelele za boss ziliendelea kupenya njee hadi muuza duka mchaga akahisi kuna kitu kinaendelea..
mchaga aliwahi na kumwita msukuma amfungulie geti.. Msukuma alifungua kisha kuendelea kumchangia boss wake hadi boss akapoteza faham lakini bado wao walikuwa hawajaridhika... waliendelea kumsugua hivyo hivyo kwakupokezana pale chini hadi boss akaamka..
"Nyie wapuuzi mnanifanya nini mimi.!!!!??? ... aliongea bos kwa ukali... mchaga kuona vile alikimbia na kupotelea gizani...
Msukuma nimekuajiri hapa ili unichezee mimi..?? uchawi wako wa kila siku kuniloga mimi nimeuchoka na kuanzia leo sikuhitaji hapa.. aliongea boss akimwambia msukuma...
Msukuma haraka alikusanya vyake na kwenda hadi geto kwa mchaga ambaye ndio alikuwa rafikiake.. hakutaka kusubiri boss aongee tena maana anajua ukatili alionao boss wake.
wauzaji wa madawa wanakuwaga na roho za kipekee sana.. adhabu ndogo kwao ni kukuua endapo umewakosea.. kwasababu wakikupa adhabu kubwa unaweza ukajuta kuzaliwa..
*
Boss aliingia sebuleni na kukuta wageni wake wamekaa vizuri.. walifanya biashara kisha kilamtu akaondoka usiku ule. alibaki Mmoja tu ambae alikuwa ni wakala wa mkoani "morogoro....."
Huyo bwana alikuwa ni rafiki wa karibu sana na Nicson ambae alikuwa ni wakala mkuu wa dodoma..
walibaki wakiendelea kupiga story mule ndani hadi saa nne usiku..
"Vipi ndugu yangu hii mizogo mlisafirisha vipi hadi huku dar??? aliongea 'Mzee Husei wakala wa mkoa wa morogoro..
Ndugu yangu ni ujanja tu.. siunajua kuna ule usemi unaosema ni heri afe mmoja ili mia waishi vizuri.. Tunaua mtu mmoja anatubebea mizigo kisha sisi tunaendelea kuishi kwa raha...
"Sijakuelewa Nic rafikiangu...
aliongea Mzee husein...
Huwezi kunielewa haraka kiasi hichi mzee... hembu inuka kwanza twende ukaone mtu alie tufikishia mzigo na upasuaji tulio mfanyia... ila uwe na moyo mgumu sawa mzee..
" aaaahhh nic bana mimi ni katili siwezi kuogopa kuona damu.. kwani tumeua mangapi mwanangu.??
aliongea Husein na kumfuata Nic...
Waliongozana na kuingia kwenye Chumba alichohifadhiwa Arafa.. waliingia na kwenda moja kwa moja hadi kitandani..
Arafa alikuwa amefunikwa shuka na anahema kwa shida sana...
Husein alisogea na kumfunua shuka.. lakini Ghafla kabla hajaziba pua kwa harufu mbaya ya tumbo la arafa alishangaa kusikia mgonjwa anamuita jina lake..
"Husein mume wangu.. na wewe ni mwanachama wa hili kundi.??? Mwanangu Hajra yupo wapi au mmemuua pia.???..
aliongea yule mwanamke alie funikwa kitandani...
Husein kwa hofu alimwangalia kwa umakini na kugundua kweli ni mke wake wa zamani Arafa ambaye walizaa nae mtoto wa kike aitwae Hajra..
"Mama hajra.. Ni wewe.???? Hapana mke wangu.. Nisamehe mimi.. Aliongea husein huku analia...
kwa hasira Husei aligeuka nyuma kumtazama Nic lakini alishangaa Kumuona Nic Kamnyooshea Bastola....
ITAENDELEA...
Nitafute whatsapp nitakuunga na kukupatia ep.. 22 hadi 25 ili uwe sawa na wenzio...
nitafute sasa Nafasi ni chache ......
NAWATAKIA IJUMAA NJEMA
No comments: