HADITHI: RED BIKINI SEHEMU YA 14.
ILIPOISHIA👉🏽 Edwin akila raha na mama mwajuma mara mlango uligongwa. ENDELEA👇🏽
"Nani huyo?" Mama mwaju aliuliza huku akimtumbulia macho Edwin. Edwin hakuwa na jibu sahihi zaidi ya kumuangalia tu mama mwaju.
"Hodi humu ndani?" Ilisikika sauti ya mama Edwin.
"Mama huyo." Edwin aliongea huku akikusanya nguo zake haraka haraka.
"Amejuaje kama humo humu?" Mama mwaju aliuliza.
"Sijui sasa."
"Nenda kwenye kile chumba." Mama mwaju akamuonesha pa kukimbilia na Edwin haraka alielekea na nguo zake zikiwa mkononi.
Mama mwaju alifungua mlango kisha mama Edwin akaingia, ile anaingia tu huku nako Edwin akawa anamchungulia mama yake kwa kutumia pazia.
"Karibu jirani."
"Asante shoga yangu." Huku akikaa kwenye sofa.
"Karibu sana." Huku akionekana hajiamini.
Edwin alipochungulia vizuri akashtuka na macho akiyatumbua baada ya kugundua amesahau begi lake la madaftari sambamba na saa yake ya mkononi. Moyo wake ulianza kuongeza kasi ya kudunda na mwili mzima ulikufa ganzi huku akinyayo kikianza kumtiririka.
"Shoga nimekuja mwenzangu." Huku akikaa vizuri.
"Mmmh!"
"Kuna muda ukifika ni bora tuakaambiana ukweli kuliko mtu kukaa na kitu rohoni." Kauli ya mama Edwin kidogo ilimshtua mama mwaju na kujikuta taratibu akianza kupoa ghafla.
"Maana nimevumilia nimeshindwa, leo nimeamua kukwambia nimechoka kushuhudia uchafu." Alitulia na kushusha pumzi.
Mama mwaju huku moyoni hana hali akijua fika mama Edwin tayali kishajua ukweli ya kwamba mwanae yumo ndani. Huko na Edwin moyo ulizidi kumdunda na kujikuta akiloana kwa jasho huku akiwa anavaa nguo zake taratibu na masikio yakiwa varandani walipo mama yake sambamba na mama mwaju.
"Hawa ni watoto wetu sote, sasa kama ukiona mtoto wa mwenzanko anaharibika sio vizuri ukae kimya, na huaga sipendi mwanangu afanyiwe uchafu...." Akameza mate kisha akatulia na kumtizama mama mwaju, aliyekuwa amelegea huku akiwa ameshika khanga yake vizuri.
"Kwani kuna nini kimetokea?" Mama mwaju ilimbidi ajikaze kisabuni na kuuliza.
"Inamaana hujui chochote?" Mama Edwin aliuliza, na mama mwaju akaishia kuitikia kwa kichwa.
"Mwanao mwaju kila siku iendayo kwa Mungu huaga namuona akiingia na kutoka guest na yule mzee Kongoni....na huaga sielewi kwanini na kwa biashara gani wanazozifanya mpaka wakutane kule na ukizingatia binti yako ni mwanafunzi." Mama Edwin alipozungumza vile kidogo akamshusha pressure Edwin mpaka akajikuta akikaa chini na kushusha pumzi kubwa.
Huku nako mama mwaju kidogo roho yake ikatulia kwa kugundua ya kwamba mama Edwin hakujua kama mwane yumo ndani na ametoka kurusha nae roho muda si mrefu. Lakini pale pale pressure ilipanda tena baada ya kusikia kaka yake wa tumbo moja akiwa anaingia nyumba ya kulala wageni na binti yake.
Akatulia kwa muda huku akiwa amejishika kichwa na kujiinamia.
"Shoga habari ndio hiyo, acha nifike nyumbani maana ndio natoka kazini hata nyumbani sijafika." Huku akisimama na kumuaga mama mwaju.
"Sawa shoga yangu, na asante sana kwa taarifa." Huku nayeye akinyanyuka na kwenda kumfungulia mlango jirani yake.
"Mimi hata sikuzindikizi kwa maana nahisi hadi kuchanganyikiwa."
"Usijali bwana."
Akaufunga mlango na kujikuta akiishiwa nguvu baada ya ile habari ya mama Edwin kumfikia. Alishusha pumzi huku akijishika kiuno kwa maana hakutarajia kama angepewa ile habari mbaya.
"Dah! Kweli dunia imeisha yani kaka yangu? Tena wa tumbo moja aingie guest na binti yangu?" Huku akikaa.
"Hapana haiwezekani hata kidogo."
"Ameshaondoka?" Edwin aliuliza huku akichukua begi lake na kuliweka mgongoni.
Edwin hakutaka hata kuagana na mama mwaju maana hata yeye alihisi mama yake akiwahi kufika nyumbani kabla yake basi itakuwa msala. Na kichwani aliwaza vipi ataweza kumuwahi hali ya kuwa mama yake anatumia gari ndogo.
Kile kitu alichokifanya mama Edwin ni kama kukimbiza mwizi huku kwako ukiacha mlango wazi na mbaya zaidi aliyempelekea taarifa ndiye anayemuharibia mwanae. Hata mwanamuziki mmoja aliwahi kuimba na kusema "naziba huku kumbe kule kuko wazi."
Mambo tu hayo jamani yani dunia hii, wanakwambia ukistaahajabu ya mussa basi utayaona ya filauni.
**********
"Unajua mwajuma hiki kitu tunachokifanya sio kizuri na endapo mama yako atakuja kujua, basi ujue italeta utata mkubwa." Anko ben alizungumza huku akiwa amelala na mwajuma akiwa kifuani mwake akimchezea chezea ndevu.
"Kwani shida yako iko wapi Anko Ben?"
"Shida ni mama yako."
"Atajuaje bwana? Hebu acha uwoga na wewe." Huku mwaju akinyanyuka na kumkalia tumboni Ben na kuanza kuyakata mauno balaa.
Ben akashindwa hata kuendelea kuzungumza akajikuta akichanganyikiwa na yale mauno ya mpwa wake na kuanza kukishikilia kiuno mpaka akawa kama anakichungulia fualani hivi.
"Mmh! We mtoto wewe."
"Nini?" Mwaju alimuuliza mjomba wake huku akimuinamia na kuanza kumpiga busu la mdomoni kiufundi.
"Taratibu basi, jua wewe ni mwanafunzi?"
"Bwana! nishakwambia tukiwa hapa masuala ya uwanafunzi uwe unayaweka pembeni basi." Huku akivua na chupi yake aliyokuwa amevaa na kubaki mtupu.
"Njoo tufanye yetu haraka haraka turudi nyumbani." Huku akijimanua na kumvuta mkono mjomba wake.
Mjomba hakuanaga kuvunga akapanda kifuani kula zao la dada yake. Unaambiwa mwaju alikuwa fundi kuliko hata mama yake yani mtoto alizidi manjonjo na madoido, hata katika filamu za mapigano masta huaga lazima afe lakini aliyecundishwa huaga mkali na mara nyingine humua hadi mwalimu wake. Sasa unataka kubisha? Kama hutaki hebu tafita ile filamu ya mkali Jet Lee inaitwa " *_The Mask_*" halafu utaniambia.
Mwaju alizidi kumeng'enyuliwa na mjomba wake huku akibinuliwa kila mikao ya hatari, tena ukizingatia mtoto bado mbichi basi alikunjik vizuri kitandani. Wahenga kwani si walishaga sema "samaki mkunje angali mbicho" basi mjomba alikuwa akijikunjia samaki wake angali mbichi kabisa.
"Aaahhhhaaaa mmmmmmmmhhhaaaaaaaaaa.........siiiiiiiii...uuuuwiiiiiiiih aaah!" Mwaju alilalamika huku miguu ikiwa hewani na kaitanua na mjomba akiwa mgodini akitafuta madini.
"Hapo hapo ANKO Ben" kwa sauti nyororo huku mikono yake ikiwa inampapasa mgongoni na kumfanya Ben azidoshe maufundi.
Kula kitu roho inapenda wewe sio unajibana bana dunia yenyewe ndogo hii na maisha yanyewe mafupi sasa kwanini usijiachie?. Anko Ben alizidi kutindua huku na huko, mara ambebe mara amshushe basi ili mradi burudani ikolee.
"Tia yote anko Ben?" Alisikika mwaju akiomba apewe yote baada ya kuona mjomba wake anambania unyunyu wa utamu.
"Nitomb.....mpaka akili inisogee Malaya mimi aaah! Nyege zangu ziishe.....aaaaasiiii....anko Ben nitomb* nitomb* mpaka nichoke" yeye tena? Mwaju alizidi kuyatupa maneno. Na shida ya huyu binti ni kutukana tu pale mambo yanapimfika haaapaaah! 😊😋🤪.
Yani unaambiwa kila mtu ana hatua yake ya kufurahia raha ama utamu, sasa sishangai mwajuma yeye akawa anatukana utamu ukimpanda kichwani. Wengine hujikuta wakikemea pepo, wengine hupiga kelele kama wameshikiwa kisu ama bastora, na wengine huaga kimya kimya, ila wengine nao hujikuta hutaja majina ya babu zake wote wa ukoo wake.😂😆🙌🏽
Hayo ndio mapenzi bwana basi ili mradi kila mtu afike anapopataka. Ila mwenzenu Mimi utamu ukinikamataga na kunipanda kichwani, huaga Nina.......🤫🤫🤫 acha umbea turudi kwa anko Ben na mwaju.
"Asante Anko Ben, asante! Asante!" Huku akikinyonga kiuno chake kwa kasi na kumng'ang'ania mjomba wake utazani kagundishwa na gundi.
Kitu kikamwagwa na wote walijikuta wakiwa kileleni mwa mlima tena kwa mafanikio makubwa.
"Ooooh!" Ben akishusha pumzi na kujilaza pembeni ya mwaju.
"Asante mpenzi" mwaju alizungumza huku akimpa na busu kama zawadi ya ile shughuli aliyompatia.
*********
Edwin aliusukuma mlango taratibu huku akiwa kama ananyata.
"Eehee! Na wewe vipi?" Ilisikika sauti ya mama yake. Kidogo Edwin akashtuka na kusimama.
"Ulikuwa wapi mbona leo umechelewa kufika na sio kawaida yako?"
"Nilipitia kwa kina Frank..." Huku akiwa kama anababaika.
"Kwa kina Frank gani?" Huku akimsogelea mwanae.
"Hapana kwa kina Sudi" aliamua kubadilisha kwa maana alikua fika mama yake lazima apite kwa kina Frank kila anapotokaga kazini kwa ajili ya kupeleka funguo za ofisi.
"Umeanza ujinga eti?"
"Hapana mama." Huku akiwa amepoa na kurudi nyuma maana alimjua mama yake kwa jinsi alivyo mkorofi na kurusha makofi.
"Nakuuliza tena ulikuwa wapi?" Safari hii aliuliza kwa sauti ya mkazo na akimsogelea Edwin.
"Nilikuwa kwa kina Sudi!"
"Unauhakika?"
"Ndio" Edwin alijibu kwa kujiamini huku akizidi kurudi nyuma.
"Sudi!?" Mama yake akaita na Sudi akaitika na sauti ikitokea katika chumba cha chakula karibu na jikoni.
"Njoo!" Mama yake akamwita huyo Sudi mwenyewe.
Edwin alichoka kabisa na pale pale akakumbuka ya kwamba walihaidiana na Sudi kuja kujadiliana maswali ya Chemistry nyumbani. Hapo ndipo unaambiwa ukiwa muongo basi karibu kuwa na kumbukumbu, kwani wahenga wanakoseaga basi.
Sudi alikuja hadi varandani na kusimama nyuma ya mama Edwin na kuangaliana na rafiki yake.
"Ulikuwa wapi kwa mara ya mwisho?"
Safari hii Edwin hakuwa na jibu zaidi ya kubaki ametulia na kwa aibu sura ikiwa imeinamishwa chini.
"Unaweza ukaniambia begi lako lilifikaje kwa kina mwajuma?" Mama yake akauliza.
Edwin alishtuka kidogo kisha akajikaza. "Begi langu?" Kwa mshangao.
"Inamaana hujui?"
"Mimi sijui, lakini mama mabegi si yanafanana jamani." Alijitetea mbele ya mama yake.
"Sawa mabegi yanafanana haya vipi kuhusu hii saa yako? Niliyoichukua kwa mama mwajuma?".
ITAENDELEA
No comments: