HADITHI: RED BIKINI SEHEMU YA 15.



ILIPOISHIA👉🏽 Edwin alibanwa na mama yake juu ya kuwepo kwa mama mwaju. ENDELEA👇🏽

"Hii saa yako ilifikaje pale kwa kina Mwajuma?"

Edwin hakuwa na jibu cha zaidi ya alibaki akitetemeka na kumuangalia mama yake usoni kwa aibu kudhihilisha amekamatwa uwongo.

"Umeanza ujinga si ndio?"
"Hapana!"
"Mmh! Ulienda kufanya nini kwa kina Mwajuma?"
"Aliniita nikamsaidie kufungua  mlango wa chumbani mwake."
"Kwanini ulijificha baada ya kuniona?"

"Si nakuuliza wewe?" Huku akimsogelea mwanae.
"Sikujificha."
"Ila ulifanya nini?"
"Mama!?"
"Kelele mpumbavu wewe!" Huku akimsukuma na akaenda kuangukia kwenye meza.

"Sasa kuanzia leo hakuna kurudi nyumbani kwa miguu, utanisubilia mimi turudi wote." Huku akimrushia saa yake na kwenda chumbani mwake. Edwin alibaki akimtizama rafiki yake huku akiwa kama anamlaumu kwa kuwahi kuja nyumbani kwao.

**********
Baada ya wiki moja mama Mwajuma akiwa na polisi sambamba na mama Edwin walionekana wakiingia kwenye guest ambayo inasemekana ndimo wanapokutana Mwajuma na mjomba wake.

Mlango uligongwa katika chumba kimoja, lakini hakuna aliyefungua na chumba kilionekana kiko kimya kana kwamba hakuna mtu ndani yake.

"Sukumeni huo mlango!" Askari mmoja aliongea kwa sauti ya ukali.
"Vunjeni!" Mama Mwajuma alisikika huku akitaka kupiga hatua kwenda mbele.

Askari hawakutaka kupoteza muda, wakaamua kuvunja mlango na kuingia ndani ya kile chumba. Lakini walipoingia ndani tu kila mtu alipigwa butwaa kwa kukuta kitu ambacho ni tofauti na walivyotarajia.

Mama Edwin alibaki amebutwaa na macho kayatoa bila kuamini alichokuwa anakiona mbele yake.
"Inamaana ndicho ulichokuwa unakisema hiki?" Mama Mwajuma aliuliza huku akimtizama mama Edwin.

Alikutwa Edwin akiwa juu ya kifua cha Mwajuma, walijikuta wakiachiana na kujifunika shuka huku Edwin akiwa amabaki akishangaa.

"Edwin!?" Mama Mwajuma aliita huku akiwasogelea pale kitandani walipokuwa wamekaa wakina Edwin.

"Jamani sasa tunafanyaje?" Askari mmoja aliuliza huku akimuangalia mama Mwajuma.
"Samahani afande, nakuomba mara moja." Mwenyekiti wa mtaa alimuita askari yule na kutoka nae nje ya kile chumba.

"Hapa navyoona mambo yamebadilika, sivyo vile tulivyo tarajia." Mwenyekiti alizungumza.
"Kwa hiyo tunafanyaje?"
"Mimi nakuomba tu afande, haya mambo tutayamaliza kifamilia kwa maana wale wote bado watoto na mama zao ndio hao."
"Mmmh! Ase! Lakini sawa."
"Usijali kuhusu hilo mimi nitalimaliza."
"Ok! Sawa haina shida." Afande alijibu huku akirudi ndani ya kile chumba na kuwaamuru wenzake waondoke.

**********
"Inamaana huu uchafu ndio uliona ndio wakuja kuniambia ili nikamuone mwanao anavyofanya uchafu na mwanangu?" Mama Mwajuma aliuliza.
"Sikuwa na lengo hilo jirani yangu." Mama Edwin alijibu.

Walikuwa wako sebuleni kwa mama Edwin huku Edwin na Mwajuma sambamba na mwenyekiti wakijadiliana ile kesi.

"Jamani tumekuja hapa ili kulimaliza hili suala na sio kurumbana tena." Mwenyekiti aliongea.
"Lakini mwenyekiti ukweli ni kwamba, mama Mwajuma hana adabu na wala nizamu." Mama Edwin aliongea.
"Kwanini?" Mwenyekiti aliuliza.

Kila mtu alibaki akimtizama mama Edwin ili apate kujua alichotaka kukiongea.

"Haiwezekani mama Mwajuma amlaghai mwanangu na kuamua kufanya nae mapenzi kweli?"  Mama Edwin alizungumza huku akiwa kama anataka kulia.

Kila mtu alibaki mdomo wazi pale sebuleni na kujishika kichwa.
"Wewe mwanamke huna akili kweli, unashangaa mimi kufanya mapenzi na mwanao, unaacha kushangaa wadogo zako waliomgeuza mwanao kama mume wao na kulala naye kwa zamu kama mtu na mke mwenzake!" Mama Mwajuma aliamua kubwatuka huku akiwa amafurwa na hasira.
"Taratibu jamani nawaomba mpunguze jazba zenu." Mwenyekiti aliwatahadhalisha huku akisimama.

"Mama!?" Mwajuma alimuita mama yake huku akitaka kumzuia mama yake asiendelee kumwaga ubuyu kwa watu. Mama Edwin alibaki akishangaa na kumtazama mwanae aliyekuwa amekaa akitazama chini kwa aibu.

"Sawa sasa nimeanza kupata picha kamili." Mama Edwin alizungumza huku akisimama.
"Mwenyekiti basi yameisha, naomba tu hili suala liishie hapa." Huku akimkamata Edwin na kumwambia aende chumbani mwake.

"Sawa mathalani umeamua mwenyewe basi haya mambo yaishie hapa na kila mtu aende kwake." Mwenyekiti alimaliza mjadala na kila mtu alinyanyuka kwenda kwake.

**********
"Mmh! Ni hadithi ndefu na nzuri pia." Yule Dr aliyekuwa akisimuliwa ile hadithi na Edwin alizungumza huku akimuangalia usoni.

"Kwa hiyo unataka kuniambia hayo yote ndiyo yanayokufanya uwe hivi ulivyo?"
"Nazani?" Edwin alijibu.
"Nakuomba ufanye kitu kimoja Edwin." Alitulia kidogo Dr na kuanza kufunua funua baadhi ya vitabu vyake kisha akakishika kitabu kimoja na kumkabidhi.
"Nakuomba ukakisome hiki kitabu halafu baada ya wiki moja urudi hapa."
"Asante sana Dr." Huku akisimama na kuondoka zake.

Edwin alianza kukata mitaa hadi karibu na mlango wa kuingilia hostel anayoishi.
"Edwin!?" Sauti ya kike ilisikika ikimuita.

Edwin aligeuka huku akiwa kama anamshangao na alipogeuka tu akakutana na rafiki wa Frola aliyepewagwa namba zake za simu.

"Waaaoooh!" Edwin alibaki akijisemea huku akigeuka kwa mapozi na kusimama.
"Mamboo?" Cathe alianza kwa kusalimia.
"Safi, nambie mrembo." Huku akimpa mkono.
"Fresh but sorry, ninamazungumzo nawewe."
"Ooh! Kumbe" huku Edwin akisimama vyema mbele ya hostel yao.

"Hapa hapa?" Cathe aliuliza.
"Popote utakapohitaji."
"Ingependeza kama tungeenda kuongelea ndani." Cathe alijimaliza mwenyewe bila kujua mtu anayemchezea huaga hajaribiwi hata kidogo.
"Ok! Haina shida, twende ndani." Huku akianza kupiga hatua kuelekea ndani na kuanza kuzikwea ngazi.

Dakika tano tu ziliwatosha kufika mbele ya mlango wa chumba wanachokaa Edwin na rafiki yake Sudi. Edwin alipotaka kushika kitasa ili kusudi afungue mara ukafunguliwa na Sudi akawa anatoka na mdada mmoja anayefanyaga usafi kwenye ile hostel.

Sudi na Edwin waliangaliana huku wakikonyezana kwa kupeana ishala walizokuwa wanazijua wao wenyewe.

"Karibu ndani!" Edwin alimkaribisha Cathe aliyekuwa akimfata nyuma yake.
"Asante sana." Huku akikishangaa kile chumba cha machinjioni.
"Karibu sana, kama hautojali unaweza ukakaa kwenye kiyi hapo, au juu ya meza au ukipenda zaidi hata kitandani." Huku akikaa kitandani na kuchomoa simu yake aliyokuwa kwenye suruali.

"Yani kama bahati, upele umeota kwa mwenye kucha." Edwin alijisemea moyoni huku akimuangalia cathe kwa jicho la tamaa. Kiukweli hata yeye mwenyewe Edwin hakujua kwanini Cathe alikuwa pale.

"Edwin!?" Cathe alianzisha maongezi.
"Niambie mrembo Cathe." Huku akikaa vizuri kitandani na Cathe akiwa amekaa kwenye kiti mbele ya Edwin.

"Samahani lakini kwa hili nitakalotaka kukwambia."
"Bila samahani, usijali unaweza ukaniambia tu." Huku akitabasamu.
"Nimejikaza lakini nimeshindwa kuvumilia, na nimeona leo bora nije nikwambie tu ukweli."
"Usijali Cathe."
"Sitojali kwa vyovyote utakavyo nichukulia lakini ukweli wangu nitakuwa nishausema." Huku akianza kuona aibu na kuangalia chini.

Edwin alianza kuhisi kitu na kujipa moyo ya kwamba yule msichana aliyekuwa akimtamani muda mrefu leo anataka kujichinja mwenyewe bila kisu.
"Cathe?" Edwin aliita kwa sauti ya upole.
"Naam!"
"Najua unachotaka kukisema." Huku akianza utundu wake wa kumshika mapaja yake na kwa kuwa alivaa skin jeans iliyochanwa chanwa mapajani basi ilimpa urahisi kuyafikia.

Cathe alibaki akimtizama Edwin usoni kwa macho malegevu na ya kimahaba. Edwin akajua tayali kishauwa tembo kwa Chelsea, pale pale alianza kumsogelea na kumpiga busu la mdomoni huku Cathe akiwa katulia na macho yake akiwa ameyafumba kihisia.

Edwin akaona hana cha kusubili akamvuta taratibu na mtoto akajisogeza hadi kitandani na kuanza kumpa denda la kibaharia huku mikono yake ikiwa inaminya minya matiti ya Cathe. Taratibu walijikuta wakipandishana midadi huku Cathe akianza utundu wa kumpapasa Edwin kwenye uume wale ulioanza kusimama taratibu.

Edwin akaona haitoshi, yanini uchague machungwa yakiwa kwenye mfuko na kwanini asiyamwage chini akachagua kwa Uhuru. Ndipo alipomtoa ile brauzi yake ya juu na kubaki na kisidiria cha kiaina, nako akakavuta na kukatupia chini na mtoto kifuani akabaki kama alivyo na chuchu zikiwa zimemsimama juu ya titi.

Edwin akaanza kuzifakamia kwa kuzinyonya kwa zamu huku Cathe akiwa anampapasa mgongoni kwa kumchombeza jamaa aendelee na kazi yake. Watu waliendelea kurushana roho kwa utamu wa aina yake huku Cathe akianza kumfungua zipu ya suruali Edwin ili kusudi aivue. Yani mtoto anataka mwenyewe, na ni sawa sawa na kuku akatafute kisu halafu akuletee mchinjaji kisha akaelekea kibra mwenyewe.

Edwin aliivua ile suruali haraka haraka na kuitupa chini huku akimvuta na Cathe ile suruali yake na kubaki na Bikini nyekundu ambayo ndio ugonjwa wa Edwin. Edwin alipagawa mara mbili mara baada ya kuona rangi ya chupi ya Cathe.

Cathe akamchomoa jamaa aliyekuwa ndani ya boksa na kuanza kumchezea kwa madaha huku akimfanya Edwin kuugulia kwa utamu. Cathe nayeye alionekana kuwa mtundu kwa maana alikuwa akiupapasa uume kwa madaha yote kisha akaanza kuulamba kama mtu anavyolamba zile ice cream za azam. Aaamu! aaaamu! Kama anataka kuing'ata lakini anaipitishia ulimi kwa juu, basi ili mradi kumpa midadi Edwin aliyekuwa akiwa za kuuchomeka tu msumari wake ukeni mwa Cathe.

Akaona haitoshi akaanza kuubugia mzima mzima huku akiulamba kwa mbwembwe na kuuwacha kisha akaanza kupitisha ulimi hadi kwenye uvungu wa uume na kukutana na zile korodani mbili zimetulia zikisubilia mtanange kwa hamu zifanye ushuhuda.

Catje hakutaka kumpa nafasi Edwin ya kunyanyuka akazidi kuzilamba zile korodani taratibu na kumfanya Edwin aanze kupiga kelele kwa raha apatazo. Sasa unaweza ukasema leo fundi kakutana na fundi mwenzake basi hakuna kitakachoharibika. Huku jamaa zinanyonywa na upande wa pili mkono ukiendelea kumchumua mjamaa wa Edwin aliyekuwa amesimama balaa hadi misuli ilionekana.

Edwin kwa mara ya kwanza ulishindwa kujizuia akajikuta akimwaga nje ya uwanja na kuishiwa nguvu kabisa na kulegea.

"Tuendelee!" Cathe aliongea kwa sauti ya upole na ya kimahaba huku akimtandika denda la kichokozi.
"Wait kidogo babby." Huku akimsukumia pembeni yake kisha akachukua taulo lake na kuanza kujifuta uume wake.

Huku Cathe kichwanj akiwa za ya kwamba kishampunguza makali Edwin lakini alishangaa kuona jamaa anarudi uwanjani huku akiwa amesimama vile vile na kumlaza chali kisha akamtanua miguu yake.

ITAENDELEA



No comments: