SIMULIZI: NITAKUFA NA BIKIRA YANGU EP..... 04





ENDELA NAYO.......
Walikuwa wametapika vyote kwenye sakafu chini,
Brenda ndio kabisa alikuwa ametapika kila kitu kwenye godoro lake kitandani,......

Ni mateso ya aina gani haya.. hii ni starehe au ni shida,

"niliingia bafuni kuoga na kuvaa upesi kisha kwenda chuo bila kumwamsha hata mmoja,

nilielekea benki na kulipa ada kisha kubadili risiti na kukamilisha usajili kwa awamu ya pili,

Muda ulikuwa umeenda sana,
 ilikuwa ni saa saba kasoro mchana,
nilipitia cafe kula na kwenda chumbani,

nilikuta wameshaamka wenzangu na kufanya usafi,
 chumba kilikuwa sawa japo godoro la brenda lilikuwa limeloa sana,

"Mambo zenu jamani...

'poa vip 

Safi, kama kuna mtu amekamilisha ada akafanye usajilji leo hamna foleni...

"sawa mamy,
ngoja tuone namna ya kwenda...
(alijibu asha)

kimya kilitawala mule ndani kwa muda...
nilitoa juba langu na kufunga kitenge ili niendel kuoga...

 nilivyotoka tu nilijua lazima wangeongea chochote,

kwahiyo baada ya kufunga mlango nilitulia njee niweze kuwasikiliza...

"Shost, hivi mtu alie fanywa jana alafu alikuwa bikira kweli leo angeweza kutembea kiasi hiki,
mbona hata hachechemei.?

nilisikia sauti ya martha akiwauliza wenzake...

nilirudi nyuma kidogo kusikiliza kwa umakini..

" mmmhhhh shost hamna kilichofanywa hapa,
ukute sam katudanganya,
au kama alifanya basi huyu mtoto hakuwa bikira,
ni lizoefu tu,
tunaeza tukawa tunahangaika kumbe mtu anapigwa mambo tu..

'lakini kweli kama Sam jana katuthibitishia kamtia sasa inakuaje leo atembee vizuri tu..
nadhani alivoenda likizo katiwa huyu mtoto...

' hembu tusipotezeni muda kwa ujinga kama huu,
ukute mtu ni malaya tu alafu sisi tukawa tunahangaika...
(alidakia brenda kwa sauti ya upole ya usingizi)

Nilirudi  nyuma na kuufungua mlango kama nilikuwa nimesahau kitu kwenye begi,
niliingia na kuwafanya wasitishe ile mada...

"Mashost,
mwenzenu si nimepata danga jipya,
 mkaka hendsome huyo...
kabla ya kwenda likizo niliendaga ndani kwake...
siku hiyo hiyo alinlazimisha anataka mzigo...
na mnavyojua udhaifu wangu mwanaume akinishika tu lazima nitoe....
 (asha aliongea)

'hahahahhahah,
ndio muda wake kwenye wiki hii nenda tena akakupe raha maana tukianza masomo hata hisia za mapenzi hutopata...
' brenda aliongea kwa msisitizo....

"mwenzenu kitambo sana sijafanya jamani..
likizo nzima nimekaa bila kuguswa...
 inabidi jioni nikauze sura kule Cafe labda naweza nikaombwa namba.....
 hahhahahaha..
yaani atakae niita tu kabla hajanikaribisha room kwake ntaenda mwenyewe...
(martha aliongea huku anacheka)

Nilitulia nawasikiliza tu...
 "Brenda akadakia kunichokoza..
Shosti Hajra wewe lini mwisho mamy...

" hahahhaha...
nilicheka kidogo...!!
mimi jana tu mlivyoenda town nimepigwa mambo na mkaka mmoja hivi,
yaani anajua mambo huyo....

Nawewe brenda utuambie mwisho kufanya lini siyo kuwauliza wenzio tu...

" mimi jamani nyumbani ilikuwa kila siku maana kuna Binamu yangu pale mtoto wa shangazi sijui alinishawishi vipi..
basi wazazi wakilala tu nyumbani sisi ilikuwa kumekucha kwa kuanza kupeana utam..
siku naondoka bina alikuwa analia kabisa.....

hahha mwanaume analia...??.
(nilidakia kuonyesha kuwaunga mkono)

ndio.  alilia sana..
mnadhani ni mkubwa basi,
ni mdogo tu yupo form three,
lakini anayo mtarimbo huyo,
daaaahhh nampenda sana binamu wangu..

Hahhahahha,
we mjinga kweli,
siyo kwamba mlikuwa mnafanya mapenzi,
sema ulikuwa unambaka binamu yako..
 sasa mkaka wa watu wa form three unafanya nae mapenzi..
umenshinda tabia Brendaa 'aliongea Martha..

Tulicheka kwa pamoja kisha mimi nikatoka kwenda kuoga....

nilimaliza na kupanda kitandani kwasababu nilikuwa na usingizi sana..
 usingizi ulinipitia na kushtuka jioni kabisa saa kumi na mbili jioni

nilisikia kitanda changu kinacheza na hapakuwa na mtu mwingine mule ndani..
Vitanda vilikuwa ni double deka (vitanda vya gorofa)

mmmhhhh,
nlijiuliza ni nini kinatingisha kitanda na kwasababu kitanda changu kilikuwa ni chajuu nilifofia sana kisije kikaanguka,

niliinuka na kukaa kitandani,
 nilichungulia kitanda cha chini anapolala Martha na kuona kumezungushiwa shuka kama pazia vile mtu asione kinachoendelea kitandani kwake...

mmmhhh
"niliguna kidogo na kujiuliza ni mwanaume gani mwenye ujasiri wa kufanya mapenzi na mwanamke ndani na wakati kuna mtu mwingine humo ndani...
nilitaka kushuka kitandani lakini nilikuwa naogopa sana...



Kitanda kiliendelea kucheza kwa kasi huku miguno ikianza kutoka kwa sauti ya juu kidogo...

ile hali ilinifanya na mimi kuhama kimawazo,
nilijikuta naanza kuloa maji kwenye uchi wangu..
nilibaki nageuka geuka tu pale kitandani...

hapo ndio nikaamini hisia hazina mjanja....

weeeeehhhhhh jamani taratiiibuu, uuuhhhhh, mamaaaaa...
Martha alizidi kulia kwa hisia sana.. aaaaaahhhhhhhh jamani ooohhhh

Nilibaki nimejikunja na mikono yangu nimeingiza katokati ya mapaja nikiwa naugulia hisia nilizo nazo....

taratibu my... aaaaahhhhooiisss jamani Jaaaaahhh plz.... ingiza yooootee, namwaaaaagaaa jamaniiiiiihhhhh

waliendelea kupiga kelele hadi wakafika kileleni,

***

kimya kilitawala mule ndani na baada ya muda nilishuka na kwenda kunawa kisha kurudi,
nilikuwa naogopa hata kuvaa kwasababu kulikuwa na mwanaume mule ndani,
japo alikuwa ndani ya pazia....

"martha mwambie mwenzio akae vizuri nataka kuvaa mimii... 
(niliongea kwa upole sana)

Hali ya mwili wangu ilikuwa mbali sana,
sikuwa najielewa kabisa...
hisia zilikuwa zimenibana sana... nilitoka pale room na kwenda kutafuta chakula nilikuwa kama mwehu kwa muda ule,
kila sehemu ya mwili wangu ilikuwa inaniwasha,
nilihitaji kuguswa tu na mkono wa mwanaume

Hapana haya mateso mwisho wake ni lini jamanj...

hadi machozi yalianza kunilengalenga nikiwa njiani naenda cafe kula jioni ile...
yeyote atakae taka mimi nampa, siwezi jamani... aaahhhh..

hisia nilizo nazo zilikuwa hazielezeki kwa kweli....

Nikiwa cafe alikuja CR (kwa shule ya msingi tulikuwa tukiwaita Monta) kiongozi wa darasa,
sikujua alikuwa ametoka wapi kwa muda ule...

"mambo Hajra,
nlikuwa nimekaa kule nakula nimekuona mda sana hapa unashika tu kichwa unaonekana haupo sawa....

Ndio Cr lakini ni mambo binafsi tu.. usijali kuwa na amani...

" lakini ni vyema kuwa muwazi ili nijue namna ya kukusaidia..
au shemeji kakuacha...
njoo kwangu mtoto mwenyewe nakupendaga kukwambia tu ndio huwa nashindwa...

Hembu acha vituko vyako CR,

" basi yaishe maana huchelewagi kununa,
waambie basi wakufungie chakula tuende room kwangu tukale kwasababu nipo mwenhewe, wenzangu bado hawajarudi kutoka likizo,

uniambie na shida yako sawa Hajra..

Sawa...
niliitikia na kwenda kuwaambia wakifunge chakula changu.....

ITAENDELEA....

Ofa ya leo Asubuhi... kujiunga group la SKY stories 500/= utasoma story kila siku kwa mwezi mzima....

sehemu ya tano na sita ya story hii vitatumwa whatsapp Leo

NITAFUTE WHATSAPP: 0788294399  AU  0769365667



No comments: