NITAKUFA NA BIKIRA YANGU EP..... 05

SIMULIZI:





 SONGA NAYO...
Sawa...
niliitikia na kwenda kuwaambia wakifunge chakula changu.....

Nilibeba chakula  na kumuangalia CR kwa ishara nikimaanisha tuende,
aliinuka na kutoka,
alipitia kaunta na kuchukua juice kubwa ya matunda (Tropical).

taratibu tuliongozana tukipiga story mbili tatu,
lakini tukiwa njiani na ile baridi pamoja na hadithi za hapa na pale ilinifanya ile hali mbaya niliyo nayo ianze kupungua.

tulifika chumbani kwenye hostel zao,
 tuliingia ndani na kuweka chakula mezani,
tulikula na kunywa juice tukiwa na furaha sana..
hali yangu japo haikuwa sawa lakini nilikuwa nikijikaza sana ili CR asitambue chochote,,

mikao niliyo kuwa nikikaa ilikuwa ni hatarishi sana,
sikuwa na uwezo wa kumuangalia Cr machoni kwa zaidi ya dakika...

***

"hivi hajra kwenu hasa ni wapi mamaangu.?? 
'aliongea CR kwa furaha sana kwasababu hakutegemea kama ningeenda kwake..

Mimi kwetu hasa ni Morogoro.. 
Maeneo ya Mazimbu..
jirani sana na Shamba la serIkali la mazimbu...

" ndio unaishi na mama na baba yako.??..

'mbona maswali mengi mheshimiwa CR..

Oky..!!
mimi naishi na baba yangu mzazi na mama wa kambo..
namtafuta sana mama yangu mzazi,
nilisikia aliondokaga na kuja kuishi dodoma baada ya kutengana na baba miaka ya nyuma mimi nikiwa mtoto...

Mmmhhh...

kwahiyo nani kakulea Hajra.??

Nililelewa na bibi yangu na baada bibi kufariki nilienda kumtafuta baba hadi nikampata..
nashukuru alinipokea na alifurahi sana kwasababu kwa mwanamke alie muoa hawakubahatika kupata mtoto hadi leo..

"kama ni hivyo mama wa kambo si anakuchukia sana.??

CR nmekwambia punguza maswali,
mambo mengine ni yanyumbani,
ni mapema sana kwa wewe kuyajua kwa sasa..

" mmhhh haya mama yaishe..

Enheee nambie sasa na wewe habari za huko kwenu....
Nilimuuliza huku namuangalia kwa mahaba..
Nilitegemea nikifika tu CR angetaka chochote kwangu lakini ilikuwa tofauti kabisa..

alikaa umbali kiasi na mimi hivyo ilikuwa ngumu kumshawishi...

CR mwenyewe hakuwa akijiamini kabisa...


***

'mimi kwetu Mwanza,
naishi na wazazi wangu wote..
nashukiru wanapendana hivyo sijawahi kuonja jiwe la mama wa kambo.. (alionge Cr)

aaahhh,
ujue zile ni dhana fulani tu watu wanajijengea kwa Stepmother's (mama wa kambo) kuwa ni wabaya lakini siyo..

mimi naishi na mama yangu wa kambo kama rafiki yangu..
napiga nae story kama mtu na dada yake..
ananijali na kuniheshim sana...

'sijui lakini.....
maana wengi wao ni wabaya eti...
(aliendela kuuliza CR)

hakuna mama mbaya CR,
mimi nitasimama kuwatetea tu..
pia jamii huwa inakosea sana kuwaaminisha watoto kwamba mama wa kambo ni wabaya..

Mtoto anakuwa na dhana ya kujua huyu mama ananionea kwasababu siyo mama yangu.
kwahiyo akichapwa hata fimbo moja tu anahisi ni uonevu kafanyiwa...
Unanielewa lakini CR..??

'Daaaahh..
hapo naanza kukuelewa Hajra,
kuna siku niliwahi kupigwa namama yangu hadi mkono ukavimba karibu siku tatu..
kwenye jamii hakuna alie shtuka waliamini ananikanya tu mwanae.. (alisema CR)

Lakini angekuwa ni mama wa kambo kanipiga vile ingekuwa kesi mtaa mzima na mimi ningemjengea chuki ya maisha..

Huwezi amini kichapo nilichopigwa na mama ni kwasababu nilikuwa sisomi,
lakini sasa nipo chuo kikuu,
unadhani bila vile vichapo ningekuwa wapi best....
(aliongea CR kwa msisitizo sana)

Ndio inabidi uwe balozi wa kuelimisha watoto wawaheshim mama zao wa kambo kama mama zao..
Mama wa kambo ndio anamfulia na kumpikia baba yako,
anamhimiza baba kufanya kazi ili mle na kupata mahitaji mengine..

kwanini tuwachukie wale wamama.??

Siamini katika hilo CR,
wale ni mama tu japo ni baadhi ambao ni makatili..
Hujawahi kusikia Mama kazaa mtoto akamtupa, au mwanamke katoa mimba..

na huyo unamchukuliaje anae muua mwanae.??

"Kwahiyo tufute ile kauli ya mama wa kambo siyo mama.?" (aliongea CR akicheka)

ndio ile kauli ni mbaya sana..
Mama wa kambo ni mamaa kama mama wengine..

Story ziliendelea mule ndani hadi saa mbili na nusu usiku,
hisia zilipotea kabisa na kuwa sawa...

Nilishukuru sana kwa Cr kunisaidi kuulinda Uschana wangu kwasababu angetaka  nimpe atakacho kwa mara ya kwanza nisingeweza kumnyima...


***

Saa tatu na nusu usiku CR alinisindikiza kwenda chumbani kwangu tukiwa na furaha sana...

'asante hajra kwa kampan yako..
nimejifunza mengi toka kwako..
nakuomba sana usisite kuja tena kwangu.,

Usijali Joel..
nitakuja  kikubwa nimeshapajua.
(niliongea kwa furaha sana)

Cr alinifikisha hadi kwenye mlango wa chumbani kwangu kisha yeye akarudi..

Niliingia chumbani na kuwakuta wote wapo lakini kitanda cha martha kilikuwa bado na pazia..

Nilishtuka kidogo kuona vile lakini wenzangu walikuwa wamejiachia tu kwa uhuru na nightdress zao wakati kuna mwanaume mule ndani..

Niliweka kopo langu la juice pale mezani na kumshika mkono Asha kutoka nae njeee..

"hivi nyie asha mnaakili kweli kukaa uchi humu wakati kuna mwanaume.??

we unasema mwanaume..
wakati yupo kwaajili yetu..
ulivyotoka katutia wote humu ndani..
nakushangaa wewe unajishaua..
(aliongea asha na kurudi zake ndani)

" hembu acheni upumbavu..
inawezekana vipi ujinga huu Asha..
Hivi mmelogwa nyie mabinti au.???

Daaahh nliongea kwa hisia sana na kuingia ndani..

Nilipanda kitandani na nguo zangu zote kisha kuvaa Earphone na kusikiliza redio huku nacheza gem..

Baada ya dakika kadhaa niliona taa imezimwa..
nilitoa earphone na kujifunika shuka..

Baada ya muda kidogo nilianza kusikia miguno huku Asha na Brenda wakisema..!!!!!!

Shemeji muingizie yote jamani..
mtie vizur sisi tunamshika maziwa huku..

Mmmmhhhh.
Niliguna na kuinuka kukaa..
nilichukia sana kile kitendo wanacho fanya wenzangu..

Nilinyoosha mguu hadi kwenye Switch na kuwasha taa..

Haaaa!!!!! wewe,

walibaki wameduwaa tu..

nilishtuka sana kumuona ni yule sam alietaka kunitongoza jana nikamkatalia..

"mbona unashangaa shost, siuliktaa utam mwenyewe, tuache sisi tujilie ujana...

"Astakafirulahhh..
nilijilaumu sana kuwasha taa na kuona uchi wa Sam..
Nilijikuta naanza kulia hadi machozi.

nilichukua ushungi wangu na kujifunika uso kisha kwenda chumba cha pili kwaakina Monica..

"Vipi shost mbona unalia.? 
(aliniuliza monika huku ananifunua kuniangalia uso wangu..)

Monika kuna nafasi huku ndani kwenu.??

Ndio "tunaishi sisi watatu tu..
hatukupata mtu wa nne humu ndani kwetu..
(aliongea monika na kunisogeza kwenye kiti)

"Naombeni niishi na nyie Monika...

"Waaaooohh karibu shost tuishi wotee..
alidakia dada mmoja rafikiake monika anaitwa 'Paulina'

Nilifufahi sana kwa yale mapokezi..
nilitulia kidogo na baada ya kama dakika ishiri nilirudi ndani kwangu..

kila mmoja alikuwa kwenye kitanda chake kalala..
nilikusanya nguo zangu zote na mabegi yangu kisha kuhamisha kwaakina Monica..

"Huna lolote... unajidai mpolee kumbe kicheche tu Hostel nzima inakujua.. (aliongea Brenda na wote wakacheka)

ITAENDELA....






No comments: