NAITAFUTA FURAHA YANGU 26
Story ;NAITAFUTA FURAHA YANGU
---sehemu ya 26---
Tulipo ishia jana, Lakin ile tu wanatoka suhaila na zumra kwa mbali juma akiwa amevaa koti lake kubwa na kofia alikuwa anatembea na mtu ambae nae alivaa kofia nae ilizuia usiweze kuzitambua sura zao.,walikuwa wanatembea taratibu taratibu na kuelekea iliko nyumba ya akina adinani wakati huo mudrick ndio wameachwa na mdogo wake nusra pamoja na shangazi yao.
Zumra alikodi piki piki ili awahi masaki nyumbani kwao mahali adinani yuko na baba yake na anataka kumuua ili asiweze kuwa na mahusiano na binti yake.suhaila nae hakupenda amuache rafiki yake zumra maana yeye ndie msaada wake mkubwa licha ya kuwa na wivu wa mapenzi ila bado anampenda sana zumra suhaila hakupenda amwache peke yake. Nae alichukua piki piki ili awahi kwenda kumsaidia adinani.
Tukirudi upande wa pili , akina juma walikuwa wanaangalia suhaila na zumra wakitoka mbio ,vile vile hata adinani alivyokamatwa na musa kijana aliyepewa kazi amkamate adinani na baba yake zumra .juma na wao walikuwa maeneo yale walishuhudia akikamatwa ,hivyo juma alijua akienda nyumbani atawakuta akina nusra na mudrick hivyo anauwezo wa kuwafanya chochote.
Juma akiwa na rafiki yake alifika na kusukuma mlango kisha wakaingia ndani,juma alimkuta nusra na mudrick wanakula ,juma hakuwa na haraka alijua kabisa kama adinani atakuwa amepelekwa mbali basi hadi warudi atakuta ashamaliza kazi yake.
Juma alifika akavua viatu kisha akakaa kwenye mkeka na kuanza kula ,alimsalimia nusra ,alimwita nusra nisamehe mamaa siku ile nilishidwa kukupeleka kwa mama kuna mtu alikuja akanikata kisu hapo mkononi kisha akakuchoma na sindano wewe
Ona alivyonikata ,juma alivuta koti lake kweli mkononi alikuwa na jeraha kubwa la kukatwa na kisu ,lile jeraha lilimfanya nusra aaimini ni kweli juma alikatwaga na kisu.
Nusra aliacha kula na kumwambia juma pole,kisha juma nae alianza kuwaza ilikuwaje huyu mtoto hakufa mbona ile sumu ni kali ?niliomdunga nayo ,juma akamwangalia mudrick ambae anakula huku anamashaka na juma.
Mudrick ashaelezwa na kaka yake ,kuwa siku ukikutana na juma usikubali kufanya jambo atakalo kuambia maana huyo ndio alimuua mama na baba.
Juma alitoa pili pili akaweka kwenye mboga kusudi akina nusra wasiweze kula ,maana yeye alikuwa na njaa ya siku mbili ,basi nusra na mudrick waliacha kula ,lakin mlangoni kuna mtu alikuwa amekaa na alikuwa kimya hakuongea na mtu yeyote.
Mudrick alijishikiza kwenye ukuta akainuka na kumwambia "jumaa wewe ndio ulimuua mama na baba kwa sasa nishakugundua niambie kwetu umefuata nini?,
Juma alivyo ambiwa hivyo kwanza alishituka ,alichukua ubwabwa na kubugia kama mtu mwenye njaa kali ,
Alitafuna baada ya kumeza juma alimwambia mudrick ,wewe bado mdogo sana ,halafu mguu wako hujapona ,na leo nakupeleka kwa mama yako ki nguvu,wewe si umejua kuwa mama yako nimemuua
Sasa na wewe nakuua,mudrick alivyo ambaiwa vile alilia kwa nguvu huku akiita suhaila ,kakaaaaa jumaaaa anataka kutuua,zile kelele.za mudrick zilimwamusha shangazi kisha nae akaja sebuleni ,
Juma alivyomwona shangazi alimwambia yule mtu aliyekuja nae afunge mlango kisha afanye tukio la dakika moja na yeye apotee dar es salam.
Yule kijana aliinuka mlangoni ili afunge mlango ,ile anageuka tu aufunge mlango,alishangaa anapigwa teke akaingia ndani.
Suhaila aliita majirani jamani tumevamiwa ,majambaziiiiiiii kwa nguvu.
Juma kusikia vile aligeuka nani huyo alishangaa kumwona ni suhaila amerudi yaani anahema juu juu ,sijui amesahau nini ,anatirifika majasho,juma akaona si vyema kutoka hivi alinyanyua panga ili ampasua mudrick kichwani kabla hajafanya vile ,suhaila alirusha simu yake aina ya aifoni na kumpiga nayo juma usoni kitendo cha juma kufanya kama anakwepa ile simu alishangaa inatua usoni kabla hajakaa sawa alishangaa teke linatua kwenye mkono ambao umeshika upanga.
Panga lilidondokea karibu na nusra ,suhaila alimwambia nusra okota hilo panga kisha juma akija usiogope mkate tu.
Yule mtu aliyekuja na juma alitabasamu alijaribu kurusha ngumi ,suahaila ni mwepesi mno aliruka juu na kumpiga teke kifuani ,suhaila alivyotizama dirishani aliona kijiko alikikamata alikikita kwenye bega la yule mtu ,kijiko kikazama nusu.
Jamaa nae aliachia upanga ,
Juma alivyoona vile alinyanyua stuli na kuirusha kwa suahaila ila suhaila anaikwepa ,juma aliwahi na kuufungua mlango alitoka na kukimbia alikuta watu nje wamejaa ,watu walimkimbiza ,lakin juma hakuja kizembe ,kuna piki piki ilimfuata haraka kisha alipamda juma na kutoroka eneo lile.
Alibaki kijana yule ambae amemchoma kijiko kwenye bega,yule jamaa alikuwa mbabe akajaribu kurusha teke ,suhaila alichukua ile stuli ambayo juma alitaka kumpiga nao na kumpiga yule jamaa chini ya goti ,sauti ya mguu ilisikika khooooo.
Mguu ulivunjika jamaa alikaa chini na kutulia ,bega halina kazi mguu nao umevunjika.
Wakati huo akina nusra na mudrick waliingia chumbani na kujifungia pamoja na shangazi yao ,huku suhaila amefunga mlango wa njee.
Watu nje walijaa huku wakisema jaman watoto wawatu watakuwa wameuliwa maana walikuwa wanasikia vishindo vya stuli zikitupwa ,vile vile akina nusra baada ya kuingia chumbani walikaa chini kimyaaa,
Watu nje waliona wakizubaa watakuta watoto wameuliwa ,ndipo raia walichukua hatua za kuuvunja mlango ,ile wanafanikisha kuuvunja mlango walikuta suhaila amekaa kwenye stuli wala hana shaka ,alimwambia yule kijana ,toa hio kofia niweze kuitambua sura yako .
Jamaa akiwa hana ujanja panga ashanyang'anywa ,bega limechomwa na kijiko halafu limeteguliwa ,pia mguu umevunjika basi alikuwa amekaa chini huku akiugulia maumivu,
Alianza kujitetea ,"binti nimekubali leo ndio mwisho wangu ,nimepambana na wanaume wenzangu wenye nguvu niliwashinda na kuwajeruhi vibaya tena ukatili usio stahili kwa binadamu ,lakin leo wewe binti wakike dakika mbili umenivunja mguu ,umenitegua mguu ,nimekubali leo ndio mwisho wangu wa kuishi.
Wakati huo wananchi washaingi,yule kijana aliitoa kofia yake ili suhaila aweze kuitambua sura yake.suhaila ile anamwangalia vile.alikumbuka tukio la miaka kumi na saba iliyopita ,huyo mtu ndio alihusika na kifo cha baba yake pamoja na mama yake.
Nusra alikumbuka ,huyo mtu alikuwa na ukatili ,akishirikiana na juma ,alimshika baba yake na kukata sikio kisha anamwambia "wapi ulipo weka pesa ,
Baba alilia mno baada ya kukatwa sikio ,vile vile huyu mtu hakuishia hapo ,alichukua nyundo ,aliushika mkono ya baba yake na kuponda ponda vidole alivunja vunja ,vidole mkono mzima uligeuka damu ,yaani kama vile mtu anatwaga magome ya mwarobaini aloke kwenye maji ili kutibu kuku wenye mdondo.
Yule mtu hakuishia hapo ,alitoa kisu alimkata baba shavu kidevu ,huku akimwambia tunakunyoa ndevu hadi useme pesa ulizoziweka baba alichunwa ngozi ya kwenye kidevu pamoja na shavu moja walikata.
Sura ya baba haikutamanika,kijana alikuwa zaidi ya katili alichukua misumari ya nchi sita alipigilia kwenye kifua cha baba huku akisema aseme pesa alizoziweka ,baba aliwatajia pesa zake zote ziliko hadi kadi za benki aliwapa ila hawakurizika hadi hati ya nyumba aliwapa ila hawakurizika.
Nusra alikumbuka jinsi baba alipigiliwa misumari kifuani ,msumari anagongwa na nyundo baba amelazwa chani ,hadi msumari anaishilia ndani ,kisha wanachukua mwingine hadi misumari mitatu.
Daniel alimwita ,dokuu ebu angalia huyu mama tumfanyeje ,dokuu alitizama na kukuta mama yake suhaila amepasuliwa matiti ndipo dokuu alichukuaga bastola alimpiga mama risasi ya kichwa ,pamoja na baba nae walimpiga risasi ya kichwa.
Yote hayo suhaila aliyakumbuka akainuka ili alipize kisasi mateso yote aliyowafanyiwa wazazi wake hadi akawaua lakin suhaila tayari alishachelewa wananchi walimbeba dokuu na kumtoa nje ,matairi ya gari sijui waliyatoa wapi upesi wakamwaga petrol ,dokuu akachomwa moto mchana kweupeeee.
Jinti ilipigwa na kurushwa kichwani ,dokuu aliwaka baada ya dakika 30 palikuwa majivu ,tu wakati huo suhaila aliwafungia akina nusra hakutaka waone maana ange waathiri ki saikolojia
Polisi walifika na kukuta dokuu anateketea na moto ,polisi walichukua maelezo kisha wakapewa zana ambazo walikuja kuvamia nazo
Dokuu habari yake iliishia hapo .tukirudi masaki baba yake na zumra aliruhusu vijana wake wamchape adinani hadi akiri anaachana na binti yake lakini ,adinani aliwaambia akiwa hai hawezi kuachana nae .na adinani alisema hivyo maana zumra aliomba amsaidie watengeneze mahusiano feki ,ili asikubali kuolewa na mohamed.
Baba yake zumra aliwaambia vijana wake mtajua mtakachomfanyia huyo kijana ,maana nampa pesa hataki kuachana na binti yangu,nami sitaki awe na binti yangu maana masikin tu huyo lazima atamfilisi mali zake.
Basi vijana wa baba zumra walichukua jukumu la kumtupa chini ,yaani kutoka juuu kabisa ya gorofa ,basi walimwinua adinani akiwa hoi baada ya kuchapwa sana ,tena akiwa amefugwa kamba halafu walimrusha adondokeee chini.adinani alifumba macho na kusema kwa sauti ya nguvu,zumra nakufa kwa ajili yako basi walinde nusra na mudrick na uhakikishe wanaipata furaha
Adinani amerushwa sasa kutoka juu ya gorofa na anaenda kudondokea chini ,isigoshe chini pana umbali mno.
Je nini kitaendelea?
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: