SIMULIZI: NAITAFUTA FURAHA YANGU 04







Story ;NAITAFUTA FURAHA HANGU

_______sehemu ya 4_____
      Tulipo ishia jana ,baada ya Adinani kurudia kuhesabu ile pesa alikuta laki moja,adinani aliwaza agonge geti amrudishie pesa yeye abakiwe na elfu 25 tu.mara mlinzi alitoka na kumwambia yule dada uliyemleta kasema asante maana kasahau kukuaga.
Kisha mlinzi alirudishia geti .

Adinani aliona isiwe kesi ,alijisemea moyoni binadamu hukutana isipokuwa milima tu ,aliweka laki moja mfukoni alivaa element na kuwasha piki piki na kurudi kijiweni anakofanyia kaz.

Adinani alikuwa kijana mdogo mwenye umri wa miaka kumi na saba hivi,basi Alifika kijiweni na kupokelewa na maneno ya bodaboda wenzako ,oya adinani tueleze hicho kizizi gani unatumia yaani yule demu bomba karuka boda boda zote na kuja kwako tena ulikuwa umelala.

Ha ha adinani alitabasamu na kusema huenda ilikuwa riziki yangu,hassani aliuliza swali ,yaani huyo demu alivyomkali kakupa shilingi ngapi maana anaonekanika wakishua mno.adinani alitabasamu na kuwaambia boda boda wenzake kanipa laki moja hii hapa kisha akaitoa hio pesa,
Zilikuwa elfu kumi kumi mpyaaa,yaani boda boda walishangaa ,hasani aliuliza ,vipi namba yake umechukua?

Adinani aliwajibu "kwanza hata sikuongea nae chochote ,namba sijachukua ,hassani alimlaumu sana adinani " yaani wewe boya kweli mtoto mzuri hivo hata namba huombi ,ungetuachia sisi ,hao ndio watoto wakishua ndio sisi tunawatakaga mzee baba.

Adinani aliona wanamkera hakutaka kukaa tena kijiweni aliwasha piki piki na kurudi nyumbani ndipo aliwakuta wadogo zake wakifua nguo zao za shule.yaani adinani kila akirudi nyumbani lazima machozi yamtoke.

Ki ukweli aliwakuta mudrick na nusra wanafua nguo zao huku wamejipaka mapovu usoni kwenye nguo ,aliwaonea huruma,,kwa umri wao bado wadogo wanahitaji malezi ya wazazi,lakin ndio hivyo wazazi wametangulia mbele ya haki.
Alipaki piki piki kisha aliwaambia mudrick na nusra haya sogeeni niwafulie nguo zenu ,
Basi alizifua huku akiwauliza mambo walio jifunza shuleni.nusra alitoa daftari lake la hesabu na kumwambia "kaka unaona leo nimefanya hesabu mwenyewe nimepata zote.

Adinani alifurahi na kumwambia " kwakuwa leo umepata hesabu niambie unataka zawadi gani?,nusra alimwangalia kaka kisha akamwambia "kaka mimi sitaki kukusumbua ,sitaki utumie pesa ulizozipata vibaya mimi sitaki zawadi mara mudrick alidakia " kaka tumekaribia kufanya mtihani wa kufunga shule hivyo naomba unifundishe hesabu .

Adinani aliwaambia usijali nitawafundisha ,alivyomaliza kufua alipika kisha walivyokula alianza kuwafundisha hawakuchukua nusu saa nusra kwakuwa mdogo alianza kusinzia basi ,aliwalaza na kuwafunika.

Usiku wote wakiwa wamelala ,shangazi alimuuliza adinani swali"inamana juma atapangisha hii nyumba kwa muda gani?,adinani alishusha pumzi kisha alianza kumweleza shangazi

"Nimeongea nae kwasasa nitakuwa namlipa pesa kidogo kidogo huku akiendelea kukata na pesa ya kodi deni litakapo isha basi tutakua huru kwenhe nyumba yetu.

Shangazi aliongea " daniel amesema na wewe unanunua umeme  kama yeye anavyonunua,adinani alimwambia shanganzi lakin mbona wanatuonea jamani

Sisi tunatumia taa tu chumbani yeye anafriji ,anawasha tv ,vile vile feni anablendi vitu mbona anatufanyia hivi ,adinani aliwaza na kujesemea kwakuwa nishajua mnachokitaka sitaki kubishana nanyi nitanunua umeme .

Walilala asubuhi palikucha adinani aliingia kwenye kazi yake,kama kawaida ,kwasasa alishapata abiria wake wanampigia simu na kuwapeleka mahali wanapotaka. 

Siku zilisonga hatimae miezi mitano tena ilikatika,adinani aliwapeleka wadogo zake shule ,kisha yeye akaenda kazini,alivyoondoka ndipo juma alimfuata tena danieli nyumbani

Basi walitoka nje kama kawaida yao na walianza mazungumzo
"NDungu yangu danieli mimi bado nitaendelea kukusumbua ,huyu mtoto adinani nilimpa mkataba kwenye piki piki nilijua hata weza kulipa elfu kumi kwa siku lakin ananilipa vizuri tena kwa wakati ,tena nasikia anapata pesa. Nyingi sana .
Danieli alimwambia juma mbona unaongea sana nenda moja kwa moja kwenye point.
Juma aliangalia kulia na kushoto kisha akauliza mke wako yupo ama kaenda kwenye mgahawa wake.
" huyo kaenda kwenye mgahawa wake bana ,hivyo kwenye hii  nyumba nipo mimi na yule kipofu.

Aah huyo kipofu hana shida japo ana shapu namtamanigi sana ila tuachane nayo,nataka unitafutie mwizi mmoja hodari ila umpange akaibe piki piki ya adinani,
Najua akisha iba hataweza kunilipa,kwakuwa nilimsainisha mkataba kwenye hio boda boda basi lazima anilipe hio boda boda ikipotea ,
Najua hana pesa ya kunilipa basi nitaichukua hii nyumba kiulain na nitawatoa sasa hapo kwakuwa nimefanya madili mengi na wewe na sina pesa ya kulipa sasa nataka ufanye hili dili ukifanikisha kuiba hio piki piki basi nyumba hii nikiichukua nitakupa na tutakuwa hatudaiani si unajua mie nimechukua ile nyumba niliyojenga na marehemu ally basi nawe hii itakuwa yako.

Danieli alitabasamu na kusema hio kazi ndogo ataifanya upesi na nyumba wataweza kuipata kiulain ,basi juma aliaga na kwenda zake kinyerezi huku akimwacha danieli akisuka mipango ili waibe piki piki anayofanyia kazi adinani.

Daniel alimpigia simu kelvin yule ambae alikuwa dereva na ndie alimgonga ally pamoja na mkewe na kupelekea kupoteza maisha ,alimuulia adinani wazazi wake kwa mara nyingine anapewa kazi na danieli akaibe piki piki ya adinani ambayo amepewa mkataba na bwana juma.

Oya kelvin ninakupa mchongo njoo hapa tabata bima ,nikuoneshe boda boda flani uibe ,ukisha iiba ,tutauza ,ila tutakuwa watatu mimi ,juma na wewe pesa tutagawana mtu wangu.

Upande wa pili kelvin alijibu"haha danieli usijali nakuja muda si mrefu halafu sasa hivi sina pesa basi itakuwa poa sana ngoja nakuja asaiv.
Kelvin anakaa gongo la mboto alipanda dala dala hadi maeneo ya tabata alikutana na danieli kisha walienda kijiweni anakofanya kazi adinani
Basi danieli alimwonesha kelvini piki piki yenyewe ile pale,halafu huyo dogo mwenyewe ndio wa wale wazazi ulio wagonganga na gari.kelvin alitabasamu aliuliza "kwahio nikimpora piki piki nimuue na huyu kijana au nichukue piki piki tu.

Danieli alijibu" haina haja ya kumuua we chukua piki piki akizingua mtulize na upanga kisha chukua piki piki sepa.kelvin alimwonesha daniel unaona huu msumeno ee sasa namchukua hapa kiulain halafu namwambia anipeleke mahali nikisha fika kwenye maeneo yangu ntamuwekea msumeno shingoni piki piki ataachia mwenyewe.

Basi daniel aliondoka na kurudi nyumbani  huku kelvin alimfuata adinani "oya dogo nataka unipeleke ununio mara moja ,kuna mahali naenda kujenga vipi itakuwa bei gani dogo.

Adinani akiwa hajui lolote alimwambia " bosi hapo unanipa elfu 20 tu nakupeleka chapu.kelvin kwakuwa anajua kusudi lake wala hakubisha alitoa elfu 20 na kumpatia adinani kisha akamwambia dogo twende zetu.

Adinani aliwasha piki pik safari ya kuelekea ununio,basi tukirudi nyumbani ,daniel alivyorudi nyumbani alimkuta shangazi ambae ni kipofu na alikuwa ameacha mlango wazi,shangaz alikuwa amejilaza chini kwenye godoro huku akiwa kavalia gauni ,shangazi hakuwa mzee sana alikuwa ana miaka kama 27 hivi hivyo alikuwa ameumbika sio siri shape iliyojichora ndani ya gauni.

Daniel aliwaza "leo si ndo leo hapa mke wangu hayupo na huyu ni kipofu ngoja nimnyatie nikifika namziba mdomo gauni nachana halafu nafanya yangu,kwelidaniel  hakuwa mtu mzuri aliweza kuingia chumbani kimya kimya

Alimvamia kipofu wawatu bila ya ridhaa alimziba mdomo huku mkono mwingine akichana gauni alilo vaa shangazi.daniel alikuwa na nguvu sana aliweza kumdhibiti shangazi na hakuweza hata kufanya chochote ,alimfunga mikono na miguu kisha akamchania nguo ,daniel hakujalisha upofu aliokuwa nao ,alianza kumwingilia ki mwili shangazi baada ya kushidwa kupiga kelele ili ajiokoe akajikuta anabakwa mchana kweupe.

Daniel akiwa anamshughulikia shangazi kumbe mke wake nae alikuwa karudi ,mke aliingia kimya kimya alishangaa mlango upo wazi  ,aliita daniel palikuwa kimya,
Ndipo alisikia purukushani za mtu akihema kwa kasi sana,mke wa daniel alisema kwenye chumba cha hawa watoto kuna nini au kipofu kadondoka?
Kufika alikuta nako mlango upo wazi alivyoangalia alimkuta mme wake yupo juu ya mwili wa shangazi , wakati huo daniel anaongeza kasi sijui anakaribia kufunga goli ,kabla hajaachia shuti alivutwa na kujikuta ,anaachia risasi hewani.

Daniel alidondokea chini kucheki nani kamtoa kwenye starehe alishangaa anatandikwa kibao na mke wake,daniel hakujali kama yeye ana makosa na tamaa za mwili ,vile vile msaliti wa ndoa yake.,alimkata kibao mke wake na kumwambia "wewe mpuuzi unanikatisha utamu ,kwanza sikupendi jitu lenyewe huzai hivi nilikupendea nini wewe mbwa
Akampiga mke wake ngumi ya sikio masikin mke alishuka chini kama gunia puu.na kupoteza  fahamu ,danieli alimtizama shangazi akajisemea moyon we kipofu mtamu sijui nirudie lakin hakufanya hivyo aliondoka nyumbani na kumwacha mke wake kazimika ,vile vile shangazi kamfunga miguu na mikono kwenye tendegu mdomoni kamzamishia matambara hivyo hawezi kupiga kelele tena yupo uchi wa mnyama 

Tukirudi maeneo ya ununio nako adinani alikiwa amekaribia alifika sehemu moja ilikuwa na miti na nyumba ambazo hazitumi kutokana na eneo hilo kuwa na maji.

Kelvin alimwomba adinani amshushe maana kabanwa na mkojo,adinani nae alifanya hivyo kwakuwa ilikuwa mchana bara bara ilikuwa nyeupe,kelvin alivyoona adinani kasimamisha piki piki hakupenda kupoteza muda alitoa msumeno na kuuweka shingoni mwa adinani ,sauti ya kibabe ilisikika tu .we dogo chagua moja nikate shingo yako,halafu niondoke na piki piki au uachie piki piki nikuache salama.

Adinani alitetemeka mwili mzima kabla hajajibu chochote aliwakumbuka wadogo zake ambae wanamtegemea kula,kulala ,mavazi leo hii yeye anauliwa kisa piki piki.
Adinani alinyoosha mikono na kusema niachie roho yangu mie nishazoea mateso.

Kelvin ni jambazi asiyependa kuacha mtu salama,alipitisha msumeno shingoni shaaaaa akamsukumiza adinani mtaroni kisha aliichukua piki piki na kuondoka.

Lakin eneo lile kulikuwa na watembea kwa miguu walishangaa kuona adinani anadumbukizwa mtaroni ndipo walipaza sauti mwizi mwizi.wao hawakuwa na piki piki hivyo si rahisi kumkamata kelvin

Kelvin alichochea gia na kutokomea huku akimwacha adinani mtaroni,watu waliweza kufika mahali adinani kadondokea ,walishangaa kuona damu inaatoka kama bomba la  maji shingoni baada ya kukatwa na msumeno shingoni
Watu kwa mshangao waliogopa huku wakisema "masikini wamemchinja mkaka wawatu 
Anakufaa shingo yoote amekatwaa
Adinani hakujitambua tena kadondokea mtaroni kichwa chini miguu juu halafu shingo imekatwa na msumeno

Je nini kitaendelea?


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: