Watu Wapigwa na Kauli za Mchungaji Patience Akpabio Kutoka Nigeria..Adai Wanawake Lieni Kwa Sauti Mkiwa 6 Kwa 6

Watu wapigwa na butwaa kwa kauli ya mwanadada huyo mchungaji wa Nigeria pichani ! 

Mchungaji huyo kwa jina la Patience Akpabio amejitosa kuwapa ushauri wanandoa kwa kusema, mwanadada unapokuwa sita kwa sita na mumeo hakikisha unapaza sauti kubwa za kimahaba hadi majirani wasikie akidai sauti hizo zenye nguvu zitasababisha mzae watoto wenye nguvu na kuweza kupaza sauti wapiganie haki zao katika maisha, lakini ikiwa kinyume chake, mwanadada upo kimya tu Kwenye uwanja wa mahaba basi tegemea kuzaa watoto domo zege wasioweza kunyanyua mdomo kupaza sauti kupigania haki zao.

Huyo pichani ni mumewe na amempa ujiko kuwa sebene lake Kwenye sita kwa Sita sio la mchezo mchezo. 

Kauli ya mchungaji huyo wa kike wa kanisa la City of Praise WorldWide Prophetic Ministeries, hata hivyo, imewaacha watu na maswali mengi huku wengine wakimpinga waziwazi Baada ya post yake kusambaa, 



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: