Simulizi ya kusisimua: SIRI YANGU Sehemu: 9



Simulizi ya kusisimua: SIRI YANGU

Sehemu: 9



Inaendelea

Dada Anna:"...ulikosa nini kwanguuu, wewe ni mwanaume wa aina gani usiye lidhika na mke wako??.
Kilio cha Dada Anna kilidhihilisha machungu aliyoyapata juu ya kitendo kile.
Dada Anna: "Kaitesi ulikosa nini kwanguuu, nilikusaidia na nikakulea kama mdogo wangu leo unanifanyia hivi kwelii.
Shemeji:"Huku msichana ni malaya na kwanzia Leo sitaki kumuona hapa kwangu, Ww Kaitesi chukua ulicho nacho na uondoke hapa haraka sana".
Maumivu makali yakanikumbatia huku neno ningelijua lilikuwa na mimi mda wote, Kwelii maisha ni mawe yakikuangukia yanakusagasaga vibaya na kwangu yalinisaga vibaya.
Dada Anna:"Kaitesi mdogo wangu naomba ufanye kuondoka sasa hivi".
Amina:" Dada ntaenda wapi mimi usiku huu na sina hata ndugu, nakuomba dada ana nisikilize na mimi, Nisamehe dada angu jamani naomba unionee huruma haikua nia yangu kufanya hivyo Ila shemeji ndiyee...."
Shemeji: "Nyamaza kahaba mkubwa wewe na Ondoka kwanguuu".
Shemeji aliingia chumbani kwangu akachukua nguo zangu na kuzitupa nje pia akanishika mkono na kunivuta hadi nje.
Shemiji:"Toka na nisikuone tena hapa umenisikia wewe chokoraa??".
Niliondoka na nikaanza safari ya kwenda nisko kujua Ila wazo lilikuja na nikakumbuka kuna rafiki yangu mmoja nilimpata pale nilipo kua nilifanya kazi ile ya  M-pesa.
Nikaanza safari ya kwenda kwa rafiki yangu jina lake aliitwa (jack).
Nikifika nikamkuta na nikamwelezea yaliyo nikuta na akaahidi kunisaidia, Alipika nikala nikashiba na kiukweli nililala pazuri siku ile kwani maisha ya jack yalikua mazuri japokua aliishi kwenye nyumba za kupanga.
Nakumbuka siku moja jack aliniweka wazi jinsi anavyo yaendesha maisha yake.
Jack:"mimi naendesha maisha yangu kwa kazi ngumu kidogo Ila yenye faida kubwa sana".
Amina:" kazi gani hiyo tena jack huenda na mimi nitaifanya ili nipate maisha kama yako ??."
Jack: "kazi yangu ni Umalaya na inanipa faida".
Amina:"Mmmmh jack kwelii ndo unamaisha mazuri kwa kazi hii tyu".
Jack:"Eeh huamini???".
Amina:" na mimi nahitaji kufanya kazi hiyo ili nipate maisha yangu mazuri ".
Mda huu nilikua kama tahiraa..."

Itaendelea



No comments: