ππππππππ: πππππππ π ππ ππππππ πππππ ππ.....25
πππππ ππππ....
"mme wangu kwa mafumbo wewe.. Haya bana.. Nilijicheksha tu huku nawaza.."Laiti huyu mzee angejua mimi ndio HAJRA anaemtafuta sijui angenifanya nini mtoto wa watu.. Niliwaza na kucheka tu..
Tulizidi kupiga story mbili tatu asubuhi ile hadi mchana ikafika nikiwa nakanda kitumbua changu ili angalau kitulie.. kwasababu kilikuwa kimevimba kidogo
jioni yake tulitoka na kwenda kutembea ufukweni mimi na RC RENATUS.. mume wangu aliitwa kwa jina la Renatus..
Maisha yalikuwa ni mazuri sana Zanzibar niliyafurahia kiukweli
wiki moja ilipita na wiki ya pili tulienda kutembea kwenye mbuga ya wanyama ya SAADANI ili tukamilishe wiki mbili za mapumziko..
Tulirudi dar es salam nikiwa kwenye hali nzuri kabisa na wakati huo mume wangu alikuwa akijilia tu tunda lake kama kawaida kwasababu nilishapona kabisa..
Siku moja asubuhi MR RENATUS yaani mume wangu alipata ugeni mkubwa sana nyumbani...
walikuwa ni baadhi ya mawaziri na Mbunge mmoja ambao hata sikuwahi kuwaona zaidi ya kwenye TV tu..
alinitambulisha kama mke wake kisha wasichana wa kazi wakatuletea chai nzito tukainywa pamoja kisha mimi nikaondoka kuingia chumbani kuendelea na mambo yangu ili wao waongee...
"Nke wangu mbona unakimba.?? aliongea Mr Renatus
" Hapana nimeona niwaache mzungumze..
"bila shaka kuwa huru bana wewe ndio msiri wangu.. siku naweza kuwa nimesafiri akakosekana mtu wakunisaidi kusimamia hizi kazi...
Akiongea mune wangu na kunifanya nitoke chumbani kurudi sebuleni..
Nilikaa kwenye kochi jirani kabisa na Mume wangu ili kupata maelekezo kwa ufasaha.
Mr RENATUS ule nzigo uliisha ndugu yangu ila kuna mzigo mwingine utaingia siku kadhaa zijazo naomba uongee na askari wako wasiusumbue mzigo wangu pale uwanja wa ndege...
Aliongea waziri mmoja..
Mheshimiwa.. nimi mzigo siyo mwingi ulio baki ila askari wako wakiagizwa na watu wangu wanakuwa kama hawaelewi.. kama juzi unakumbuka nikakupigia sim watu wangu wanne waliwekwa ndani..
Aliongea mbunge mmoja kisha wote wakatikisa kichwa kumaanisha kuwa kweli askari wanasumbua sana mjini..
Mr renatus akiwa na hasira alitoa sim yake mfukoni na kumpigia mkuu wa jeshi la polisi kisha kumwagiza awaambie askari wakipewa maagize waelewe.
walizidi kuongea mambo mengi ambayo niliyashika na kuelewa vyema.. baada ya masaa kadhaa mume wangu alitoka na kwenda kazini kwake pia wale mawaziri walitoka wakiwa na furaha sana...
Mimi niliingia chumbani na kujilaza kitandani nikitafakari..
Nilichukua kalamu na karatasi kisha kuandika vitu vyote na kuweka ndani ya begi langu..
Lakini baada ya dakika kadhaa simu yangu iliita na ilikuwa ni namba ngeni yaani namba ya nje ya nchi..
Niliipokea na kutulia kwa makini kuisikiliza..
"hellow T-3037 hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya..
nilisikia bezi zito likiongea hivyo kwenye simu yangu..
nilikumbuka ni yule mzee wa kiafrika ambaye alikuwa akituongoza kule urusi.
" Ahsante Sr... nilijibu na kunyamaza kimya kusikiliza maagizo mengine..
"Huna muda wakuupoteza kazi yako nikubwa sana tafadhali ianzee kabla hali yako kiafya haijaanza kusumbua.. Kwasasa wewe ni mjamzito..
Mfumo wako wa dam wote tunao na tunakufuatilia kwenye kila hatua..
kila utakachokifanya au kuongea sisi tunakisikia...
Aliongea yule mzee na kunifanya nigune tu
"nina mimbaaa... nimeitoa wapi jamani... Niliwaza kimya kimya..
"usinichekeshe hajra. hujui umeitoa wapi mimba na ulitanua miguu... hahahaahha..
Aliongea mzee na kucheka kwa masanifu sana..
Nilizidi kuchanganyikiwa inamaana hawa watu wanafuatilia hadi mawazo yangu wanayasikia.. au ni mashetini.???
Duuuhhh kweli huu ndio mfumo wa kiitelijensia..
Nilizidi kuwaza huku tunaongea na mzee.. Hadithi zilikuwa ni nyingi sana na baadae alikata sim..
Niliamka haraka na kufungua makabati ya mume wangu kisha kuandika vituo vyote vya usambazaji wa madawa kwa hapa Tz bara na Zanzimbar kwanza..
Vilikuwa ni zaidi ya vituo 46..
Niliandika majina yake na sehemu zilipo kisha kujiandaa upesi kwaajili ya kuanza kuwaua waasimamizi wa hivyo vituo kwanza.
Hapakuwa na jambo lingine la kufanya kwasababu wao ndio wameshika mkoa.. hatakama ningewapeleka polisi wangeachiwa tu...
niliingia kuoga na kuvaa suruali yangu nyeusi ya Jeans na Tshet nyekundu kisha juu yake nikavalia kikoti simple tu cheusi..
Nilitoka na kuwasha gari langu na kushuka katikati kabisa ya mji.. "KINONDONI..
nilifika kwenye hiyo ofisi na kukuta askari kama wawili njee.. Niliwaomba nikaonane na boss wao kisha wakaniruhusu.
Nilioita na kupanda hadi gorofani..
ile nyumba ilikuwa imekaa muundo kama bekary ya kutengenezea mikate..
kumbe ndani ya mikate na maandazi walikuwa wakiweka kete za madawa ya kulevya ili kusafirisha mikoani..
Nilipanda hadi ofisini kwa Boss. niligonga na kuingia ndani.
"Shkamoo boss...
niliongea kwa nidhamu ya hali ya juu..
" Marhaba.. karibu na nikusaidie nini mrembo..
aliongea mkuu wao huku ananitazama kifua changu..
Natafuta kazi boss.. mimi nimemaliza chuo masuala ya marketing na huu mradi wenu wa mikate nitaweza kuwatafutia soki vizuri endapo mtaniajiri..
Niliongea na kujiweka vizuri kwakushika kifua changu baada yakuona ananitazama sana...
"kwanza nikusifie urembo wako.. pili nikwambie kuwa kazi ipo tena yanye pesa nyingi sana endapo utanikubalia kunipa tunda lako mrembo.. walau mara moja tu na mimi niburudike...
Aluongea na kuinuka alipokaa kuja nyuma yangu..
Niligeuka upesi kwakuhofia asije nishika makalio yangu kwasababu nilikuwa nimeficha bastola kwa nyuma..
"mbona wakimbia mrembo unaniogopa.???
"hapana sikuogopi.. nipe kazi kwanza alafu mimi nitakupa utakacho..
Niliongea na kumshika mkono wake aliokuwa akitaka kunishika kifua changu..
Kwakutumia nguvu alinivuta na kunikumbatia kisha kuanza kunipapasa mgongo..
Nilipitisha mkono wangu kwa nyuma na kuitoa bastola upesi kisha kumwekea tumboni..
Alianza kutetemeka sana...
"Nisamehe binti kazi ipo...
aliongea akiwa anatetemeka sana..
Nilimpiga na kitako cha bastola kichwa hapohapo akadondoka chini..
Nilimshika kichwa na kujivunja shingo upesi na mimi kuondoka..
" Nilitia kipande kidogo cha karatasi kilichoandikwa namba moja na kumwekea juu yake kisha upesi mimi nikaondoka..
Nikiwa kwenye ngazi niliona wale askari wa geti wanakuja mbio sijui walijuaje kama nimeua mule ndani..
Walinishika na kutaka kunifunga pingu..
Upesi nilichomoa mikono yangu na kuwatembezea kichapo cha haraka kisha nikachomoa bastola kuwapiga za vichwan
Nilishuka na kuwasha gari upesi kuondoka kwenda kwenye kituo chapili kilichopo Temeke...
Nikiwa njiani nilikuta magari mengi ya polisi yamezuia barabara na kufanya ukugizi wa haraka..
Nilijiamini na kutulia kimya hadi zamu yangu ikafika..
Nilivyofika tu nikamuona miongoni mwao kuna askari mmoja tulienda nae zanzibar kwaajili ya kutulinda tulivyomalizaga ndoa...
Nilimsalimia na yeye upesi akanipigia saluti na kuwaambia wenzake kuwa ni mke wa mheshimiwa wanipishe.
Walikimbia upesi pembeni na kuniacha nitoke pale..
Nilikimbiza gari hadi Temeke na kuingia chochoro za tandika nikiwa nasoma GPS hadi ofisi zilipo..
Nilifika na kuomba kuonana na bosi wao..
walinirusu na mimi upesi bila kuchelewa niliingia hadi ndani ya ofisi na kumkuta boss yupo harakaharaka anapanga vitu vyake ili atoke...
"Binti kwasasa sina mazungumzo na mtu.. kuna mwenzangu kauliwa kinondoni nataka nifike kwenye tukio..
aliongea huku anaendelea kuweka meza yake sawa..
"Pole boss.. muda siyo mrefu na wewe unakuwa tukio.. wenzio watukuja kukuona mda huu tu..
Niliongea na kumnyooshea bastola...
alishtuka na kutaka kupiga kelele lakini nilimpiga teke ya shingo na kudondoka chini..
Nilimnyonga pia na kuweka karatasi imeandika namba 2..
Nilikimbia hadi getini na kuwapiga bastola wale askari wawili kisha mimi nikapanda gari kuelekea nyumbani..
Nilifika nikiwa nimechoka sana..
"Niliwaita wafanyakazi wote upesi na kuwakalisha chini..
"Mkuu akija hapa akiuliza kama nilitoka mwambieni sijatoka bali nilikuwepo nimelala ndani..
Waliitika na kila mmoja akaendelea na kazi zake...
Niliingia kuoga na kupanda kitandani kujipumzisha..
Lakini kwambali nilisikia honi kwenye geti la nyumbani kwetu..
Nilishtuka sana na kuchungulia dirishani..
Niliona Gari la mume wangu na Gari zingine nne za Askari nyuma yake..
ITAENDELEAA....
No comments: