ππππππππ: πππππππ π ππ ππππππ πππππ ππ.....26
πππππ ππππ....
Niliona Gari la mume wangu na Gari zingine nne za Askari nyuma yake..
Nilijitupa kitandani na kuchukua rimoti ya AC na kuwasha kisha kujifunika Blanjet..
Nilitulia nikiwa najiamini sana.. kwa mafunzo niliyopitia hapakuwa na askari wakukabiliana na mimi hata mmoja pale..
Baada ya muda nilisikia mlango umefunguliwa wa chumbani kwangu... alikuwa ni mume wangu
"aaahhhhhh.. aaaahhhhhh. daaahhhhhh.. Mume wangu alikuwa akipiga hatu kwenda hadi ukutani na kurudi hadi mlangoni akiwa anakuna kichwa na kulalamika..
" vipi mume wangu.????
nilijifunua shuka na kuongea kwa sauti legevu sana.. nilisogea hadi karibu yake na kumshika kwanza kumtuliza..
Niachie kwanza mke wangu sipo sawa.,
Kuna vijana wangu wawili wameuliwa kwenye kambi mbili nilizokuwa naziamini sana..
Usambazaji wa mizigo yangu utapungua sana.. uaminifu kwa wateja zangu utapungua kabisa..
Sijui ni nani huyu aliefanya huu ujinga.. nimefanya upelelezi nikaambiwa alikuwa ni mwanamke..
sijui ni mwanamke gani huyu jamani.
Alizidi kuongea mume wangu huku anajifuta jasho kwakutumia lesso..
Pole mume wangu au unao ugomvi na mtu.???
+Niliongea kwa masanifu..
Hapana mke wangu.. ila nilisikia mtoto wa yule mzee nilue muuaga morogoro alikuwa urusi kwenye mafunzo na amerudi.
Nadhani ndio huyo binti.. nitafanyaje mimi mke wangu.. huyu mwanamke tayari anakuwa tatizo kubwa kwangu..
"punguza jazba mume wangu.. kikubwa ni kutuliza akili ili mjue namna gani ya kumpata...
Nakuamini mpenzi wangu hakuna kitu unashindwaga dear...
Niliongea na kwenda kumbusu...
Mr Renatus aliingi bafuni kuoga na kubadi nguo kisha kutoka na kuongozana na Askari wake...
Baada ya muda nilianza kuona picha zangu kwenye TV na vimeandikwa jina langu na kutolewa kitita cha pesa endapi mtu atasema alipo huyo mwanamke.
Nilishtuka sana lakini nilijifariji kwasababu nilikuwa nimeshonewa MASK ya ngozi iliyofanya sura yangu isitambulike na nionekane ni mtu mwingine kabisa...
nilitoka na kwenda kula chakula kisha kutoka njee na kwenda kwenye swiming pool kuogelea.,
Nilikuwa nimevaa bikini tu mda huo...
Niliogelea kushusha joto nililo nalo huku naendelea kutafakari baadhi ya mambo..
Kuna kijana wa getini akikuwa akipalilia maua nilimuona akijitahidi kunichungulia ila nikimwangalia tu anazuga na kujidai anapalilia mau...
Baada ya kugundua vile niliamua nitoke kwenye maji na kwenda kukaa kwenye kiti ili nimchanganye zaidi..
Aliendelea kunitazama hadi mwenzie akaja wakawa wanaonyesha kwa uwizi sana..
Nilicheka tu na kuendelea na mambo yangu ila niligundua haikuwa hisia bali kuna kitu walikuwa wanakijadili wale vijana..
Niliinuka na kurudi chumbani. nilikaa hadi jioni aliporudi mume wangu tulikula na kuingia kulala.
Nilitumia muda mwingi sana kumtuluza mune wangu kumtoa katika hali ngumu aliyo nayo..
Hakukuwa na njia nyingine ya kumweka sawa zaidi ya mapenzi..
Baada ya kuoga tulipanda kitandani..
Nilianza kumchezeshea kucha zangu mgongongoni huku nikimchua kwenye mabega kwa umakini..
Nilizidi kufanya hivyo na kumgeuza kumlaza na mgongo..
Nilianza kumnyonya kifua chake na tarati kuchezesha ulimi wangu karibu na korodani zake..
Nilizichezea sana kisha nikaishika mashine na kuanza kuinyonya..
Japo alikuwa na mawazo lakini mashine ilikuwa imesimama wima.
"Baby... sipendi uje nyumbani na stress za kazini.. nakupenda saba mume wangu...
Nilijikuta naongea kwa mahaba sana na kusogeza mdomo wangu karibu kabisa na masikio ya mume wangu
Mkono wangu ulikuwa ukiendela kuucheze muhogo wa Renatus...
Baada ya kuona imesimama vizuri kabisa niliamua kuikalia mashine na kuizamisha kwenye kitumbua changu...
"Ooohhhh.... love.. Fuc.... me jamani..
nilikuwa nikilalamika huku naikatikia mashine hadi ikaza yote.
Mume wangu alikuwa akirusha miguu utadhani yeye ndio ameingiziwa kumbe ni mke wake...
Nilizidi kujibinua juu yake japo sikuwa mtaalamu sana wa kukatika lakini mume wangu alifurahia sana hadi akamwaga maziwa yake.
Niliingia bafuni na kuloeka kipande kidogo cha taulo na maji ya moto kisha kuja kumfuta mume wangu huku namkanda taratibu korodani zake...
Alifurahi sana na kubaki anacheka tu...
"Mke wangu.. ndio furaha ya kuoa hii.. yaani stress zote natolewa na mke wangu.. ningekuwa single saivi ningekuwa kule baar nalewa..
Nakupenda melania..
aliongea mume wangu huku anayachezea maziwa yangu taratibu...
*
kesho yake asubuhi niliamka nikiwa nina uchovu uchovu mwingi.. nilimwandalia mume chai kisha yeye akaenda kazini..
Nilitoka njee na kuanza kukagua kwenye sehemu za maua njee kidogo ya nyumba ili nione palizi walizofanya vijana wangu..
Lakini nikiwa kwenye matembezi nilisikia sauti kama ya watu wakinong'onezana kwenye kona..
Nilianza kunyata na kusogea hadi karibu yao bila wao kuniona na kuanza kuwasikiliza.
"Jamaangu. hivi yule mwanamke alietolewa kwenye magazeti siyo mke wa bosi kweli..???
Maana kama siku ya tukio yeye hakuwepo nyumbani na alivyorudi akasema tusimwambie boss.. nakwambia ndio yeye.. tumwambie boss ili tuchukue hizo pesa. ndio mwanzo wa utajiri huu mwanangu...
"mwenyewe ninamashaka.. huoni kichwani ni mweusi kuliko mwili.. nakwambia kuna kitu kavaa kwenye ngozi ili asijulikane..
baadae tumtonye boss aende kumpima mke wake ngozi..
Hii itatuingizia hela nyingi sana kama ni kweli...
Walizidi kuongea wale vijana..
kwa hofu nikiwa natetemeka nilirudi nyuma haraka.. niliwaza itakuaje nikibainika ni mimi.. Niliingia chumbani kwaangu na kufungua milango yote..
Baada ya muda simu yangu iliita.. ilikuwa ni namba za msimamizi wangu..
"Hajraaa... waue tu sitaki uwe mtu wakufikiria sana kwenye mambo kama hayo..
Aliongea mkuu wangu mara tu baada ya mimi kupokea simu na kunitia moyo..
Nilikata simu na kutoka chumbani kwa hasira sana..
ITAENDELEA..
No comments: