SIMULIZI: NITAKUFA NA BIKIRA YANGU EP..... 07 &09






SONGA NAYO...
alimfukuza mama yako kama Mbwa..
 hakutaka kumuona kabisa na wala hakutaka kukuona wewe.....

Kile kitendo kiliniumiza sana..

nilibaki kama msichana wa kazi nyumbani kwenu wakati wazazi wako wameenda kigoma kwenye maziko kwa zaidi ya mwezi mzima...

"sasa mama kama wewe ulikuwa ni msichana wa kazi ilikuwaje ukawa mke wa baba.??

hembu naomba uneleze kwa undani kidogo hapo..
naanza kupata picha kamili ilivyokuwa...
(niliongea huku nimemtolea mama macho)

khaaa umeshachukia hajraa....

" hapana mama sasa nitachukia nini wakati tunapiga story.??

haya shostiangu..
kaa vizuri nikuhadisie mkasa wote...

***

Wiki kadhaa baada ya mama yako kukuzaa wewe alitoka na kwenda kupumzika kijijini..

nilibaki mimi nikimhudumia baba yako kuanzia chakula hadi kumfulia..

tulikuwa tukiheshimiana sana na shemeji ambae ni baba yako...

Nakumbuka kuna siku moja nilikuwa nimefanya kazi nyingi sana mchana hivyo usiku baada ya baba yako kuingia ndani kwake kulala na mimi pia nilienda ndani kwangu kulala mda huo.. sikukaa kuangalia hata tv..

nilikaa kidogo tu kitandani na kupitiwa na usingizi mzito....

Mlango wangu haukuwa na funguo, nilikuwaga nikiurudishia tu..

usiku huo nilikuwa kama naota sikujua ni nini kinaenda kutokea..
nilisikia mlango wa chumba changu unafunguliwa....

kwa usingizi nilio nao nilihisi kama naota tu..

niliendelea kulala kwa raha mustarehe...

Lakini baadae nilianza kusikia kama mtu ananipapasa sehemu za mapaja yangu..

bado nililuwa napotezea tu kwa usingizi nilio nao..
nilikuwa nahisi naota kwakweli...
kama unavyojua usingizi hauna mtaalam..

***

Lakini nilikuwa nikihsi nashikwa hadi kifuani baadae tumboni.
hapoa usingizi ulianza kukata kwa usumbufu niliokuwa nikihisi...

lakini kila nikitaka kugeuka nilikuwa nikijihisi mwepesi na sikushikwa..

usingizi ulikuwa ukinirudia tena na kujikuta nimelala kabisa..
lakini baadae sikuelewa tena kilichokuwa kinaendelea mule ndani...

nilikuja kushtuka kwa maumivu makali utadhani nimekatwa na kisu kikali kwenye sehemu zangu za siri..

nilipiga kelele sana lakini sikuwa na namna nilikuwa nimekamatwa vyema na hata kujinasua pale ilikuwa mtihani kwangu..

nilifumbua macho na hofu ya usingizi nilisikia sauti ya shemeji ambae ni baba yako akiniambia...

"tulia shemeji usiongee.
na usimwambie mtu kuhusu hii hali ya usiku wa leo.

ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuingiliwa na mwanaume na alie nifanyia ule ukatili ni baba yako...

NITAFUTE WHATSAPP 0788294399...
***

Aliendelea kuniingilia bila huruma hadi akamaliza haja zake za kimwili...

alitoka na kurudi ndani kwake..

nililia hadi asubuhi kwa sikuile..
niliumia sana..

sehem za siri zilikuwa hazinifai...
hata kutembea ilikuwa kazi...

Asubuhi Baba yako alikuja kugonga ndani kwangu na kunipa chupa kubwa ya juice na mkate kisha kuniambia kama sintoweza kupika nitumie mkate kwa mchana kisha jioni ataniletea chakula...

nilimuitikia tu kwa kumuheshim lakini nilimdharau sana..

Wiki kadhaa baadae alikuja mama yako

nilimweleza ukweli wote wa mambo yaliyo tokea.
aliumia sana mama yako baada ya kusikia ujinga alio nifanyia mume wake..

sijawahi kuona mama yako akiwa kwenye hali ile..
hadi nilijuta kwanini nimemwambia...

aliinuka na kuingia chumbani kwake kwa majonzi sana...
nakumbuka ilikuwa asubuhi...

alijifungia ndani hadi jioni ..
nilihisi anaweza kuchukua maamuzi magumu lakini jioni alitoka akiwa na tabasam tu...

"Mdogo wangu...
kuwa naamani.
nashuru kuwa mkweli na muwazi kwangu
(aliongea na kusogea karibu yangu kunishika bega)

"nakuomba shemeji yako asijue chochote kama uliniambia..
naomba amani iliyopo nyumbani iendelee daima...

Niliinamisha kichwa chini nikitafakari maamuzi na busara za mama yako..

nilitoka pale na kwenda kuendelea kupika...

hakuchelewa jioni ile baba yako alirudi tulikula kisha wakaenda kulala na mke wake wakiwa na furaha sana....

siku zilipita na wiki kama nne zilipita bila kuona siku zangu...
nilimfuata baba yako na kumwambia ule ukweli kuwa mimi ni mjamzito..
lile suala sikutaka kumwambia mama yako kwasababu lingekuwa na hatari zaidi...

Alishtuka na kuogopa sana baada ya kusikia vile baba yako....
aliniomba sana nisimwambie mtu..

lakini siku kadhaa baadae alikuja na vidonge vya kutoa mimba..

aliniambia nivinywe bila mama kujua...

Tumbo lilianza kuniuma sana kwa siku nzima huku damu zikinitoka kama maji..

kipindi kile jambo la utoaji wa mimba halikuwa la ovyo kama sasaivi...

siku tatu baadae nilikuwa sawa lakini tumbo liliendea kuniuma..

dam iliacha kutoka baada ya wiki moja kupita.. lakini tumbo lilikuwa likiuma sana..

na uvimbe mkubwa ulikuwa ukiendelea kuniota kwenye kizazi..

ule uvimbe ulizidi kuwa mkubwa na maumivu yalizidi sana lakini baadade nilishauriwa na daktari nifanyiwe oparesheni ili kutolewa kile kizazi..

"unaona hili kovu hapa tumboni Hajra.?
(aliongea mama kwa huzuni sana)

ndio mama nimeuona....

"hapa kwenye hili kovu kilitolewa kizazi changu...

Sina kizazi hajra.....

ndio maana tangu umefika hapa hujawahi kuniona na hata dalili ya mimba..
siwezi kuzaa hadi kufa kwangu
(aliongea mama huku analia)

Pole mama....
Lakini hujanijibu swali langu..
wewe ulikuwa msichana wa kazi tu kwetu ..
sasa imekuaje ukawa mke wa baba.???

ITAENDLEA..



...π’πˆπŒπ”π‹πˆπ™πˆ:

ππˆπ“π€πŠπ”π…π€ 𝐍𝐀 ππˆπŠπˆπ‘π€ π˜π€ππ†π”

𝐄𝐏..... πŸŽπŸ—

πŒπ–π€ππƒπˆπ’π‡πˆ: π˜π€π’π’πˆπ

π’πŽππ†π€ ππ€π˜πŽ...
'Sawa mama..
(niliitikia na kumwangalia kwa tabasam kisha kwenda chumbani kwake)

Tuliingia na kupiga story kadhaa kitandani lakini sikuwa na hata hamu ya kulala....

Nilijifunika shuka ila usingizi sikuupata...

Muda ulienda hadi mama akalala lakini mimi nilikuwa bado natafakari mkasa alio nisimulia mama...

***

Kwa mbali sana Nilisikia sauti ya mtu akilia kuomba msaada katikati ya msitu....
niligeuka na kutazama lakini ilionekana ile sauti inatoka mbali sana...

Ilinibidi nianze kukimbia kuelekea sauti inapotoka,
lakini chaajabu kadiri nilivyokimbia sauti ile ilikuwa ikitokomea katikati ya msitu..
nilichoka na kuamua kukaa chini...

jasho lilikuwa likinitoka na sauti ile ilizidi kuomba msaada na baadae kuniita kabisa jina langu...

niliinuka na kuzidi kutembea kuelekea mbele,,
nilianza kukimbia tene kufuata ile sauti iliyokuwa ikilia na kuniita jina langu...

Haajraaaa..!!!!  hajraaaaa!!! hajra njoo nisaidie...

Ile sauti iliita bila kuchoka...

"Wewe ni nani.?... niliongea kwa ukali sana na sauti kubwa hadi nikastuka kutoka usingizini...

nilishangaa kumuona mama yupo macho akiniangalia tu...

nilishtuka sana kwasababu nilisha sahau kama nililala chumbani kwa mama..

mama nimeota...

"nini tena hajra wangu.???

mama nimeota nipo katikati ya msitu na kuna sauti ya mwanamke inaniita ikiniomba msaada mimi..

nimekimbia sana lakini sikuikuta ile sauti..

***

" basi mwanangu.. kuna mzee mmoja yupo kule kijijini kwetu tutampigia asubuhi ili ajaribu kuangalia na kutupa jibu sahihi maana ya hii ndoto...
ukute inayo maana kubwa kwenye maisha yako mwanangu...

" sawa mama...
nakuomba sana fanya hivyo utakuwa umenisaidiaaa..

nilimwambia mama na kumkumbatia kisha kulala tena..

***

Sauti iliendelea kuniita tena kwa kwikwi zaidi na mwanamke yule alionekana anamatatizo makubwa sana...

Niliinuka nilipokaa nakuendelea kuifuatilia ile sauti lakini bado sikuikuta..

nilifika katikati ya pori zito na kuendelea kutembea.
japo kulikuwa na miiba na nilikuwa peku bado nilijitahidi kutembea kuifuata ile sauti..

"Hajraaaa... naomba msaada tafadhali...
 hajraaa nisaidie mimi...

ile sauti iliendelea kuita kwa kwikwi na majonzi sana..

lakini ghafla nilisikia mama akiniamsha kutoka usingizini...

" mama nimeiota tena ile ndoto kuanzia pale nilipoishia usiku..
kwasasa nimeenda nakaribia kumkuta huyo mtu mwenye shida....

nakuomba sana niache nilale tena nionane na mwenye shida ni nani...

" Mwanangu ni maleria imeanza kukupanda au ni kichaa.?
hembu ngoja nimpigie sim huyu mzee umuelekeze atakwambia sawa...

" sawa mama yangu...

***

baada ya muda mama aliniita njee nikaongee na sim na huyo mzee..

nilimweleza ndoto zotembili nilizoota na namna nzima ilivyokuwa..

alinambia nikate sim na baada ya muda nimpigie tena..

nilikaa kimya nikiwa na mawazo na uoga mwingi sana

Tulikaa sebuleni na kunywa chai mimi na mama kisha kuosha vyombo na baadae kuchukua sim na kumpigia yule mzee..



Hujambo bintianguu... habari za muda

"salama shkamoo tena mzee wanguu..

Marhabaa...
 mwanangu nimejaribu kuangalia.. ndoto yako ni yaukweli..

kuna mtu anahitaji msaada mkubwa sana kutoka kwako na huenda ukifanikiwa kuonana nae unaweza kumponya..

ila usipoonana nae atapoteza maisha...

" sasa mzee nitafanyaje niweze kumuonaa.???

Mwanangu siyo rahisi hili suala lina mkanganyiko mkubwa kiroho..

Utaenda lakini mwisho wa siku utakatishwa tamaa namtu ambaye hana msaada kwenye maisha yako...

ukiweza kumkwepa huyo mtu na ushawishi wake,
basi utampata unae mtaka na utamsaidia kwasababu mkono wako tu ukimgusa mtu huyo mwenye shida utamponya...

Nakutakia kazi njema mwanangu kuwa makini sana tu...

***

Nilikata sim na kukaa nikiwa nawazasana nisijue nini cha kufanya...

tuliendelea na majukumu pale nyumbani na siku ziliendelea kwenda hadi siku ya kufungua chuo ikafika..

niliwasiliana na monika na kuripoti kwa siku moja..

Tulipewa chumba kimoja pia....
tuliendeleza maisha yetu ya amani na nilisha sahau mikasa yote ya nyuma...

ndoto niliyoiota nyumbani sikuikumbuka kabisa...

Mchana wa siku ya juma mosi tulitoka mimi na monika kwenda Mjinii..

Nilimsindikiza monika awahi kuokota mitumba miwili mitatu mida ya jioni pale Nyerere Skwea...

Lakini kwa siku hiyo tulifika mapema sana...
tulipitiliza hadi ONE WAY... Kwenye barabara ya 6 hadi 8 tukizunguka tu hadi jioni soko la Skwea likifunguliwa...

Tukiwa kwenye mihangaiko barabara ya sita niliona kuna Saluni moja ya kike imeandikwa ELIZA BEAUTY PLUS..

Jina la eliza nikama niliwahi lisikia mahali..

sikujua ni wapi... Niliangalia tu ile saluni na kusonya kisha kuendelea na mizunguko yetu..

Lakini nikiwa mbele kidogo nilikumbuka jina la Eliza niliawahi kuambiwa na mama yangu mlezi kuwa ni dada mmoja mwenye saluni alimdanganya mama yangu kuja kujiuza huku dodoma...

Khaaaa... niliguna na kuanza kurudi mbio.. Monika nae  alianza kunikimbilia bila kuelewa kitu..

nilikumbuka na zile ndoto nilizokuwa nikiota na kuhisi huenda mwanamke mwenye kuhitaji msaada wangu ni mama yangu mzazi..

ITAENDELA......






No comments: